nguvu

  1. JamiiForums Tanzania Soko la mafuta haya ya nazi hapa bongo limekuwa kwa nguvu mno

    MABAHARIA WASHAELEWA🤣
  2. JamiiForums Tanzania Mziki mzuri toka nyikani unakuja tujiweke mguu sawa, unakuja kwa wema ulio wema, ukarimu Umoja na nguvu mpya!, yenye kasi mpya!

    Inshaallah tabarak!, dhamira ni kushika dola na nafasi za uongozi na si uana harakati! °Hata slogan yake inavutia kwa kweli, "CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA"
  3. R

    JamiiForums Tanzania Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu

    Lisu/Heche et all , for that matter Chadema mnajidanganya, Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Sidhani kama nguvu yenu na heshima yenu itabaki kama ilivyokuwa Na G 55 pia, Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Sidhani kama mtakako kwenda mtapata heshima kama mliyokuwa nayo chadema, likewise...
  4. JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vingeweke nguvu kwenye mabadiliko ya kiuchaguzi ili muweze kufanya ushindani wa kweli na kujenga demokrasia

    Uchaguzi wa ushindani ndio tunao utazamia pale mgombea anaposimama na kueleza yale atakayo yafanya na kuyatekeleza kwa ushindani wa vitendo kwa upinzani, na sio uchaguzi wa kujiteuwa ulipo kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia, hakuwezi kuwa na uwajibikaji hapo. Kwanini vyama vya kisiasa...
  5. JamiiForums Tanzania Utawala hatari na wenye nguvu duniani

    Salaam zenu wanaJF, Historia inatufundisha hakuna utawala hatr na wa kutisha kama wa firaun lakini bado watu wake hawakuandamana walisubir mpaka pale muumba wao alipowanusuru Unajua kwasabb gani? 1. Waliamini yupo aliowaumba ipo siku atawanusuru 2. Nguvu yao ndogo hawawezi kupigana na mtawala...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikupenda huitaji nguvu

    Inakuwaje mwanaume hutakiwi na mwanamke na bado unamlazimisha , Mwanamke akikupenda huitaji nguvu nyingi dalili utaziona, Hapa ofisini jamaa analazimisha penzi kashakataliwa mara nyingi bado anafosi. Binti akitumiwa message anakuja kunionesha Mimi, Tunakula ela za jamaa akitumiwa tunaenda kuinjoy.
  7. JamiiForums Tanzania Nguvu ya intelijensia ya Kanisa Katoliki(Roman Catholic Church)Je Ni Tishio kwa "Regime"

    Roman Catholic Church (RC) ni zaidi ya taasisi ya kiroho Kama tunavyoona au kufahamu,ushawishi wake katika nchi yetu ulianza zamani Sana kabla ya Uhuru,kulikua na Parallel state structure,.Walijenga shule nyingi, Hospitals na majengo ya mahakama..Kama umepitia kitabu Cha Sir Andy Chande A knight...
  8. JamiiForums Tanzania Kusalia madarakani kwa nguvu za madaraka ni uhaini na udikteta

    Kusalia madarakani kwa kutumia nguvu ya madaraka ni uhahini na udikteta katiba yetu inataka kufanyike kwa uchaguzi wa kiraia. Sasa endapo mtu anataka kusalia madarakani kwa kupitia madaraka aliyokuwa nayo wakati huo anakuwa kinyume cha sheria za nchi hana akili kabisa wala hafai.
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi nguvu ya kiza inavyoharibu makusudio na adhma mambo

    Wengi wenu Mmekua mukiniuliza maswali mengi kuhusu kutofanikisha makusudio ya jambo kama biashara na mengine bila sababu za msingi na hua haingii akilini kuvurigika kwake Napenda kuwambia kua jambo linalovurugika katika mwisho wake hali ya kua lilikua vizuri na likavurugika bila sababu za...
  10. JamiiForums Tanzania Unafiki wa mitandao,na nguvu yao ya soda

    Ukiitazama mitaa Kwa haraka haraka imetulia Sana yaani watu wapo makazini kama kawaida,wengine wamelewa asubuhi tu, wengine wanasafiri, wengine wanaingia misikitini n.k Yaani ni kama hakuna kinachoendelea lakini ukweli ni kwamba ukiingia mtandaoni unaweza sema Tanzania itahamia kisutu. Kila...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Viongozi wa dini wametutia nguvu kuendelea na Uchaguzi Mkuu

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru na kuwapongeza viongozi wa dini kwa ushauri kuhakikisha Nchi inaendelea kuwa na amani hususan kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu na kubariki uchaguzi huo uendelee huku, ikisisitiza kuwa haidharau maoni yanayotolewa. CCM imesisitiza kuwa haipuuzi...
  12. JamiiForums Tanzania Je waijua nguvu ya mvua kiroho?

    JE WAIJUA NGUVU YA MVUA ♦️Unajua mvua ni BARAKA ? ♦️Mvua haishukii ardhi pekee bali inashuka na kwenye nafsi pia ♦️Mvua husafisha husda ♦️Unajua kua mvua inaweza kusikia? ♦️Unajua mvua hubeba dua zako? Omba kwa sanna ukiwa ndani ya mvua ♦️Mvua husafisha huzuni zako. ♦️Mvua huosha kile ambacho...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna Nguvu Kubwa sana inayo/ itakayotumika Kumtetea Paul Makonda. Yeyote anayejaribu kuonyesha mapungufu yake, anashambuliwa Kila Kona!

    Angalieni, Kama ni Wizi kufanyika, Report ya CAG imejiweka wazi yenyeweee!!. Ila hatujawahi sikia Serikali imechukua Hatua yoyote Kwa Wahusika. Sasa angalia Maajabu, Majuzi hapa, Mbunge Mrisho Gambo, Kwa "Takwimu na shahidi" aliwekwa wazi namna gan Ujenzi wa jengo la utawala Arusha ,Kuna...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Propaganda ya AMANI imeanza kumalizwa nguvu baada ya watu kuuliza na HAKI je?

    Katika propaganda effective ambayo serikali ya CCM iliifanya kwa watanzania ni kusisitiza sana amani. Ni kama kampeni makhsusi iliyopangwa maalumu kwa ajili ya kuwadebwedesha Watanzania. Kipindi cha Mkapa ilikuwa, kila kiongozi mkuu akisimama kuongea, lazima atupie neno amani na utulivu. Hata...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tafakuri za nguvu kwa wafia dini za kuja

    Mwanafalsafa wa Amerika na Profesa Noam Chomsky, akiwa na umri wa miaka 95 anagundus:- Katika maisha ya Wafia dini wa Kiafrika zipo tafakari zenye nguvu ili kuachana na fikira za kiti cha enzi cha maneno dhana ambayo inatakiwa iwekwe wazi juu ya mifumo ya ulimwengu, ni pamoja na:- "Hakuna nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Kivuko cha MV kome III kuongeza nguvu Buchosa

    KIVUKO CHA MV KOME III KUONGEZA NGUVU BUCHOSA Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) inatekeleza mradi wa ujenzi wa vivuko vipya 6. Kivuko MV.KOME III no moja ya vivuko hivyo na kitakwenda kutoa huduma katika maeneo ya Nyakaliro Wilaya ya Buchosa na Kome Wilayani...
  17. JamiiForums Tanzania Kuwadanganya wana simba hata hutumii nguvu nyingi

    “ Kila mwaka tutasajili mchezaji mmoja ambaye Wanasimba wanamtaka, tutakuwa tunaambiwa na sisi tutakuwa tunamsajili."- Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Jayrutty Investment Company Limited, CPA Joseph Rwegasira. My take: Huu ni uongo wa wazi kabisa, jamaa hata hajatumia nguvu kuwahadaa wana Simba
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kupunguza nguvu ya CCM, mawakili wa CHADEMA pelekeni baadhi ya viongozi wa serikali mahakamani

    Kwa nchi ilipofikia bila hatua madhubiti, viongozi baadhi wa serikali wanaweza kuamua jambo lolote hatari la kuhumiza watanzania wenzao kwa kisingizio Cha kulinda amani ya nchi. Wanasahau pasipo HAKI kutamalaki hiyo AMANI wanayo ubili ni sawa na kusukuma UPEPO. Baadhi ya viongozi wa CCM...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanuni za maadili ya uchaguzi zinakuwaje na nguvu kuliko katiba?

    Yaani, Katiba ya Tanzania itoe uhuru wa vyama vyote kushiriki uchaguzi, halafu miezi sita kabla ya uchaguzi tume ya uchaguzi ijifungie ndani na kuja na kanuni za kutakiwa kusainiwa kwanza na vyama vyote ili vyama hivyo vipate sifa ya kuja kushiriki uchaguzi miezi sita ijayo! Tangu lini kusaini...
  20. JamiiForums Tanzania Chadema kupeleka saini 15 milioni umoja wa mataifa ni kutekenya mbuzi, Umoja wa Mataifa hauna nguvu ya kuingilia maamuzi ya ndani ya nchi

    Umoja wa Mataifa ni taasisi ya kidiplomasia, sio jeshi au mahakama ya dunia. Katika strategy ya hovyo ya chadema ni kupeleka saini umoja wa mataifa. Kama unaweza kukusanya saini 15 milioni, hizo ni kura za kushinda urais kabisa. Sasa kwa nini hao 15 milioni usiwageuze wakawa wapiga kura wako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…