Yap! Nguvu za kiume ambazo kwa sasa ni gumzo.
Zamani tulikuwa na utaratibu kila msimu wa mwaka majira fulani tunakunywa dawa za miti shamba za kusafisha tumbo.
Naam...kusafisha tumbo manake magonjwa 98% chanjo ni tumboni.
KUna dawa fulani ya miti inachemshwa inatoa rangi nyekundu kama mti wa...