Akizungumza na jembe FM Bi jasmine Razack ambaye ni msimamizi wa mshambuliaji wa Yanga SC na timu ya taifa ya Tanzania Clement Mzize amesema klabu ya yanga imegoma kumwachia Mzize kujiunga na klabu ya Al Masry kwa ofa waliyokuja nayo huku Yanga wao wakitaka kiasi Cha dola million moja ili waweze...