ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Addiction ipi ina arosto kali ukiikosa hata kwa siku moja kiu yake ni ngumu kuikabili ?

    Kucheza kamari - Kubeti mpira siku zenye mechi, Kindege, n.k. Pombe Sex Punyeto Sigara Bangi Pombe nimewahi kushuhudia kuna jamaa hio siku arosto zilimkamata sana na hana pesa, akili zilifyatuka aliiba simu ya rafiki yake. hakupoteza muda, alienda kuiuza kwa bei ya kutupa, halafu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwakani 2027 William Ruto ni ngumu kupenya

    Kwa hiyo kolabo ya wanasiasa wa upinzani naona Kasongo na Soprono watapelekwa nyumbani asubuhi mapema. Mmoja Sugoi mwingine Tharaka. Labda washindwe kuwa na umoja mpaka mwisho ila kwa Wakenya na imani nao kidogo fofauti na wanasiasa wa upinzani hapa kwetu.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Generali wa ngazi za juu anashauri Marekani iachane na vita,Hali ni ngumu.

    Hali ya vita kwa kweli sio nzuri kwa upande wa Marekani. Kama Marekani ingekua na dalili za kushinda vita basi mambo yangekua shwari,lkn inaonesha Hali sio shwari kwa Mzeebaba Marekani. Malalamiko yamekua mengi mno kutoka Kwa wanachi wa Marekani kutaka nchi Yao iondoe majeshi vitani na Iran...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Generali wa ngazi za juu anashauri Marekani iachane na vita,Hali ni ngumu.

    Hali ya vita kwa kweli sio nzuri kwa upande wa Marekani. Kama Marekani ingekua na dalili za kushinda vita basi mambo yangekua shwari,lkn inaonesha Hali sio shwari kwa Mzeebaba Marekani. Malalamiko yamekua mengi mno kutoka Kwa wanachi wa Marekani kutaka nchi Yao iondoe majeshi vitani na Iran...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msidanganyike watanzania , pesa ya madini ni pesa ngumu na kuipata kwake ni mtihani

    Baada ya harusi ya huko sijui katoro ,watanzania wengi wamehama na akili zao na kuamini pesa inapatikana kirahisi kama mtu atajichanganya kuingia kwenye chain ya biashara ya madini . Ni kweli huko pesa inapatikana sawa na maeneo mengine tu , yaani huko pia kuna hitaji commitment, Imani na...
  6. JamiiForums Tanzania Abiria wanaopenda siti za mbele Wana roho ngumu kinoma

    Sio ubinadamu wa kawaida unakaa siti ya mbele mfano kutoka Dsm to mwz Kila anachofanya dereva unakiona speed kali na overtakes za kujitoa mhanga unaangalia tu na bado upo kawaida tu. Na wakati wa kurudi unawahi tena siti ya mbele. Brother unaweza kuvaa mabomu na kujilipua wewe ni gaidi.
  7. JamiiForums Tanzania Ndoa kwa GenZ na Millennials zitaendelea kuwa ngumu ;

    Kuanzia watu wenye miaka 33 ambao hawajaingia kwenye ndoa Kuna uwezekano wakashindwa kuzimudu ndoa kabisa na kupelekea ongezeko la single mothers nchini Sahivi maisha yanaenda Kasi sana ebu fikiria matukio haya yafuatayo 1;Ndoa kwa njia ya harus za kifahari 2; Baby shower 3; 40 ya mtoto...
  8. JamiiForums Tanzania Sometimes tufundundishane tu Kwa njia ngumu ili heshima iwepo, huyu nyangwisi hatanisahau 😎

    Mwaka jana, mwezi wa 4 nikiwa katika harakati za kueneza kampeni ya kataa ndoa hapa mtaani, alitokea bishoo mmoja na kusema, "bro wewe unajifanya kataa ndoa kumbe jogoo lenyewe haliwiki, unajifanya kataa ndoa ili kuficha ugumba wako.....hivi wewe unaijua raha ya ndoa?". Aisee! Ile kauli...
  9. JamiiForums Tanzania Anusuriwe kabla kesi haijawa ngumu, mapenzi shikamoo!

    Habari na poleni na uwajibikaji! Kuna jirani yangu (Mtanzania) ndoa ya miaka 3 mpaka sasa, na alimuoa huyo mwanamke (raia wa Zambia) tayari mke akiwa na mtoto aliyezalishwa akiwa nyumbani kwa wazazi na mwanaume mwingine. Wakiwa wameoana mtoto aliachwa kwa wazazi wa mwanamke, kufikia mwanzoni...
  10. JamiiForums Tanzania Sema kuna muda kuwaamini wanaume ni ngumu sana

    Hello guys,. Hope mko poa kwa ambao mnapitia changamoto zozote ni maombi yangu Mungu awafanyie wepesi wote mkae sawa,. Referring to thread ya Dr. Mariposa mwanaume anaweza akutongoze hata muwe mnaheshimiana namna gani,. Yalinikuta ila huyu hakunitongoza. Huyu sijui nimwite mkaka au mbaba (...
  11. JamiiForums Tanzania Degree ngumu kusoma hapa Tanzania

    Na hizi ndo bachelor degrees zinazohitaji uwezo mkubwa wa kufikiri na akili nyingi zaidi duniani 1. Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS) – Udaktari Masomo mengi, muda mrefu wa kusoma, na mafunzo ya hospitali. 2. Bachelor of Aerospace Engineering – Uhandisi wa Anga Inahitaji...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mdada wa aina hii asikukubali tu kwa hali ya kawaida uliyonayo mjenge pamoja maisha? Kwanini sisi wapambanaji wa chini ni ngumu kuwapata?

    Kwanini dharau zinakuwa nyingi kutoka kwa wadada wa aina hii? kuna shida gani tukajenga wote maisha tokea chini? Kwani ni lazima unikute na gari tayari? Hatutaki wa aina yenu wa telegram, tunataka mkiwa warembo mtukabalie na tutawafanyia makubwa mambo yakiwa makubwa.
  13. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kupata mwekezaji wa USD Billion 17 wa kujenga kiwanda cha kuongeza thamani ya rasilimali za Afrika

    Ni ngumu sana kupata mwekezaji atakajenga kiwanda cha kuongeza thamani ya madini na rasilima zinazochimbwa afrika Kama nchi kuna sehemu tumekosea unamkataaje mwekezaji wa usd billion 17 sababu tokea tupate uhuru hakuna mwekezaji ambaye amewekeza kwenye kiwango hiki cha fedha Na anachojenga...
  14. JamiiForums Tanzania Huu picha ina maana kubwa sana kiroho, ama kweli hela ngumu

    Upindeeeee
  15. JamiiForums Tanzania Walimu wa afrika wamezima ndoto za wanafunzi wengi ndio maana afrika kuendelea ngumu.

    Leo mjinga ndio anakuwa na cheo na kila kitu. Kwa nini dotto magari kafikia kuziaki wenye elimu wakati anachokitumia kimetengenezwa na wenye elimu. Tanzania kama mzazi kumbatia mawazo ya mtoto wako na ndoto zake. Walimu wengi wameharibu ndoto za watoto hata mliopo hapa JF mnaweza kutoa...
  16. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Tanzania kila kitu kimepangalanyuka, imekuwa ngumu kutofautisha CCM, Serikali na dola

    Kada wa CHADEMA aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema baadhi ya wanachama wa CCM wanajiona kuwa ni sehemu ya dola, huku serikali ikijiona kama mmiliki wa dola. Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Msigwa amefafanua kuwa, kikatiba...
  17. JamiiForums Tanzania Kulea mtoto wa kiume ni ngumu kuliko wa kike,

    Tuwe makin sana Kwakuwa mmmm watoto wanaharibika sana hasa wa kiume wanaokulia pwani na dar
  18. JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaofanana na mindset yangu mbona ngumu kuwapata? Je, anapatikana vipi?

    Mindset yangu ni, Kufocus na biashara, Nidhamu ya pesa, Kuwekeza, Kutunza pesa kabla ya matumizi, Kutokata tamaa, Malengo ya muda mrefu, Kuzingatia bajeti, Kujenga vyanzo zaidi ya kimoja vya mapato, .. Kujenga mtandao wa watu wenye hizo mindset, Changamoto ni moja ni kua watu wa jinsi hiyo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ngumu sana

    Hii nchi ngumu sana! Tanganyika ukitaka kuiona basi ni hapo TAMISEMI - ila sasa tumeletewa DC huyu Mohamed Hasan Moyo ambaye kwa mujibu wa taarifa ni mzanzibari! Isitoshe kumbe ni baba watoto wa Wanu na ndo mume wa kwanza - Mchengerwa ni mume namba mbili! Yaani mmekosa nchi nzima mtu wa kumweka...
  20. JamiiForums Tanzania Nimejifunza nchi kama China na USA japo ghost town ni ngumu kuzibiti

    Tatizo la ghost town lipo dunia nzima hata kama utaboresha vipi na kulipa au kusaidia watu waishi hapo bure. Shida tunayotaka kuangalia ni nchi kuwa ya mikakati mfano kama ilivyo USA na China ili kubalance maendeleo na fursa sehemu zote. Ukiwa nchi kama china au USA wamejigawa ndio maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…