news

  1. China yatangaza nyongeza ya asilimia 84% ya ushuru kwa bidhaa za Marekani

    Kazi bado inaendelea ni vuta nikuvute kati ya utawala wa Trump na nchi ya China katika vita vya ushuru. BREAKING: 🇨🇳🇺🇸 China announces additional 84% tariff on US goods. https://x.com/WatcherGuru/status/1909925306560885110?t=-ienhln5-MyLFFrJ4DBwBQ&s=19
  2. Mahojiano na Sky News : Msemaji mkuu wa serikali ya Israel kujibu maswali muhimu aliyoulizwa

    Moja kwa moja. Juzi juzi nilikuja na mada chini hapo kuhusiana na tukio la IDF kuua watu wanaotoa Huduma za kitabibu Gaza wakiwa kwenye ambulance na kueleza uongo wao katika taarifa ya awali waliyotoa kuhusiana na tukio hilo amabalo sasa hivi limezidi kuchafua taswira mbaya ya IDF baada ya...
  3. Simba haijawahi kutwaa kombe la NBC wala CRDB tangu yaanzishwe

    Tangu kuanzishwa kwa Kombe la Ligi kuu bara chini ya udhamini wa NBC , muonekano wa makombe haya yameshabadilishwa mara kadhaa, Lakini katika mionekano yote 5imba haijawahi hata kujua uzito wa kombe mojawapo ukoje 😀 Mara zote makombe haya yameenda kwa wazee wa kutandaza soka safi na mabingwa wa...
  4. Non threads various news Alert

    The United States has reportedly sold 1,000 “immigration gold cards” — special visas offering residency for $5 million each — generating $5 billion in just one week. According to official Howard Lutnick, the money will go toward reducing the $36.2 trillion national debt. A platform is also being...
  5. Tetesi zikikoma huwa breaking news

    Minong'ono ni mingi .. Na uzushi pia.. Yanatetwa mengi kimyakimya lakini inawezekana pia ni sehemu ya bongo movies.. Mnatengenezewa series.. Bandika bandua.. Lakini kama ikiwa ni kweli kwa kweli katika uhalisia wake.. Panaweza kuchimbika vizuri sana huku February akikenua kijino pembe.. Meno nje...
  6. Nimetoka kudownload kitabu chake last week leo nakutana na news amejiua. Nakichoma moto kitabu chake sikisomi.

    That's why the book was moving very slowly. Nilisha soma kama page 10 za kitabu chake. Mwanasaikolojia anae heshimika kama huyu anajiua? What pushed him that low? Moral of the story: Tuache kutukuza mawazo ya watu wengine. Instead tutukuze mawazo yetu wenyewe. Kwa mfano kitabu " 48 laws of...
  7. Umegundua Jinsi Ya Kupata Kipato Zaidi Kupitia Uwekezaji Katika Hisa?

    Ndugu Mwekezaji Mtarajiwa... Baada ya kusoma ujumbe huu mpaka mwisho, utakuwa na SIRI MUHIMU za kuwekeza kwenye hisa kwa faida kubwa, huku ukiepuka makosa yanayowaangusha wawekezaji wengi. LAKINI… Kabla sijakufundisha mbinu hizi, hebu nikupe STORY FUPI inayoonyesha kwa nini Watanzania wengi...
  8. Burundi kurudisha wanajeshi wake waliosalimika

    Baada ya makundi mengine kutangaza kujiunga, kuongeza nguvu ili rais wa Burundi aondolewe madarakani; Huku pia waasi wake RED TABARA wakiwa tu umbali wa kilometa 76 kutoka walipo sasa M23, Rais ameagiza wanajeshi wake hao warudi nchini. Wanaorudi, wanafikia katika bonde la RUSIZI, kwa...
  9. U

    Serikali ya Lebanon yapiga marufuku ndege za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutua uwanja wa ndege Beirut, maelfu ya abiria wakwama kusafiri

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Dozens of Lebanese nationals have been stranded at the international airport in Tehran since this morning after Lebanese aviation authorities informed the Iranian Mahar Air airline that its flight to Beirut would not be...
  10. D

    SI KWELI PreGE2025 Dr. Slaa ana siku ya pili akiwa kwenye mgomo wa kula kushinikiza kupata rufaa yake

    Shalom wana Jamii Forum. Habari zilizonifikia hivi punde kwa njia ya simu kutoka kwa familia ya Dk. Wilbroad Peter Slaa ni kwamba Dk. Slaa ana siku ya pili ya mgomo wa kula huko gerezani na ameanza kudhoofu sana. Anatumia njia hii kama hatua ya kushinikiza sheria dhidi yake ichukue mkondo...
  11. T

    Jeshi la Rwanda lashambuliwa na FARDC

    Jeshi la wanamaji(marine) la Rwanda, lilokuwa linafanya dolia katika ziwa Kivu, karibu na kisiwa cha Idjwi, limeshambuliwa na jeshi la DRC lililopo katika kisiwa cha Idjwi. Ilikuwa mida ya saa moja asubuhi ya leo. Taaraifa za mwanzo zinasema boat yao imeharibiwa. Kwa mujibu wa raia waliopo...
  12. M

    Sasa ndo naelewa maana ya fake news.

    Kumbe neno fake news lina maana tofauti na wengi tuelewavyo. Inatolewa taarifa yenye ukweli ila Kama anayetakiwa kuwajibika hasipokuwa tayari kuzungumzia inaitwa fake news ,wanaibatilisha na kuwaaminisha watu kuwa ni habari ya uongo wakati ina ukweli. Mfano hii ya wanafunzi mkoa wa Ruvuma kukaa...
  13. Kauli ya WHO kuhusu taarifa ya Marekani kujitoa katika shirika hilo

    Kauli ya WHO Kuhusu Taarifa ya Marekani Kujitoa katika shirika hilo Shirika la Afya Duniani (WHO) limesikitishwa dhidi ya tangazo la Marekani kwamba inapanga kujitoa katika Shirika hilo. WHO ina jukumu muhimu la kulinda afya na usalama wa watu duniani, wakiwemo Wamarekani, kwa kushughulikia...
  14. U

    News alert Pamoja na kutakiwa kupumzika na madaktari baada ya upasuaji tezi dume Netanyau atahudhuria uapisho wa trump 20/1/2025 Washington DC

    Wadau hamjamboni nyote? Mwamba amedai Oktoba 20 atakuwepo Washington DC kushuhudia mwamba mwenzake Donald Trump akila kiapo kuongoza taifa kubwa zaidi duniani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: January 1, 2025 Netanyahu still planning to attend Trump’s inauguration, despite surgery By...
  15. U

    Breaking News Jeshi la ufaransa lafanya mashambulizi makubwa kwa kutumia makombora ya masafa marefu syria wakilenga waasi wa Dola la Kiislamu

    Wadau hamjamboni nyote? Msako magaidi duniani kote unaendelea Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: December 31, 2024 France says it carried out missile strikes against Islamic State in Syria By Reuters Today, 12:19 pm France carried out missile strikes in Syria, targeting Islamic State...
  16. Maombi kwa Rais wetu mpendwa Samia Suluhu

    Mheshimiwa Rais Wetu Mpendwa Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania... Salaam Nyingi Zikufikie Hapo Ulipo. Natumai nawe umepumzika kwa namna fulani katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka, kama ambavyo sisi tumepumzika hapa Serengeti National Park. Nisikuchoshe sana Mh. Rais.. Maombi Yangu Ni Haya...
  17. Mahakama Kuu yamwachia huru George Sanga na Wenzake wawili, Kada wa CHADEMA walishikiliwa kwa miaka 5 gerezani kwa tuhuma za mauaji

    BREAKING NEWS NJOMBE. George Sanga na Wenzake wawili waliokuwa wanatuhumiwa kwa kesi ya mauaji wamechiwa huru na Mahakama. Mungu ametenda haki imeshinda George sanga na wenza wameachiwa huru Mahakama Kuu - Njombe Wakili Dickson Matata, Joseph Mbilinyi wazungumza Njombe. Mahakama Kuu Kanda...
  18. Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli

    Wanabodi, Hii story ya Sultan wa Zanzibar kurejea Zanzibar Ni fake news. Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni Jana baada ya kuisoma na kuchangia, nilipandisha bandiko la maoni yangu. Kaka yangu mmoja kutoka Zanzibar, Kaka Chale, akanipigia simu...
  19. Kenyan, Chinese among 15 arrested over Tanzania SGR vandalism

    At least 15 people have been arrested for allegedly vandalising standard gauge railway (SGR) and electricity infrastructure. Among those arrested are a Chinese national and a Kenyan, according to Railway Police Unit commander Gallus Hyera. Thirteen suspects have already appeared in court. The...
  20. Trump kulipwa bilioni 37 na kituo Cha TV Cha ABC kwa kumchafulia jina

    Kituo Cha televisheni Cha ABC kimeamua kukubali kumlipa Rais Donald Trump kiasi Cha Bilioni 37 za kitanzania kama fidia ya kumchafulia jina Rais huyo mteule wa Marekani. Rais mteule Donald Trump aliamua kufungua kesi dhidi ya ABC baada ya mtangazaji wa ABC Bwana George Stephaphoulous kutangaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…