neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Wahubiri wakristo, mitume, manabii walimu na kadhalika neno madhabahu msilitumie kutapeli watu

    Madhabahu ilikuwa ni mahali pa kutolea sada za damu katika agano la kale. Siku hizi wahubiri wakristo wakianzisha kanisa wanaita madhabahu eti watu walete pesa hapo. Huu ni wizi na watu wengi wajinga wasioijua hata hiyo biblia ndio wamejazana huko. Utapeli mtupu.
  2. “Watanionaje” neno hili linaweza kukufanya ukaishi maisha magumu sana

    Watu wengi hasa wasiokuwa na ajira wameshindwa kutoka ndani na kujaribu kufanya baadhi ya shughuli za kujiingizia kipato kwa kuwaza kuwa “watamuonaje” Ukijaribu kuangalia kuna vitu vingi vya kufanya kwa waliohitimu vyuo mbalimbali huku mkiendelea kusubiri ajira. Vitu hivyo ni kama...
  3. Ukifanikiwa kukutana na Jenerali Mstaafu Salvatory Mabeyo, utamwambia neno gani?

    Miongoni mwa mambo machache mazuri ambayo yaliwahi kufanywa na Magufuli basi kumteua Salvatory Mabeyo kuwa CDF. Hapana shaka utumishi wake jeshini na Taifa ni wa kutukuka. Moja ya jambo kubwa alilolikabili na kuhakikisha nchi inabaki salama kipindi cha msiba wa Magufuli. Ukikutana nae...
  4. Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

    unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana if we click we click if we don't we won't Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo...
  5. Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote!!

    Nishawai toka kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote!! Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja!! Ama nilizingua? BRAZA CHOGO Nikifa MkeWangu Asiolewe Han Kyul
  6. Hivi wakihubiri kwa kuchanganya Kiswahili na Kingereza ndio neno linaingia zaidi?

    Imezuka tabia ya wahubiri vijana kuhubiri kwa kuchanganya kiswahili na kingereza (broken English) na tabia hii mimi binafsi inanifikirisha sana. Kiufupi nikishajua muhubiri huyu ni mchanganyaji wa lugha huwa siwezi kumsikiliza hata nusu dakika. Sijui ndio ujanja au ndio waumini wanaelewa zaidi...
  7. VIDEO:- Neno moja kwa utamaduni huu kwa wanandoa wapya.

  8. Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

    Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya 1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize, Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe. Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike. Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata...
  9. Sakata la bandari ya Bagamoyo kuuzwa kwa Waarabu latua Bungeni. Prof. Kitila asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ajibu sakata la Bandari ya Bagamoyo. Asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji Soma: Ubalozi Wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Watoa Maelezo ya Kina juu ya Upotoshaji unaoendelea Mitandaoni "Serikali ipo...
  10. HILA SISI!; Sitii Neno Katika Hii, Hebu Soma Kwanza!.

    Alafu sema hitimisho lako linakuwaje katika mchezo huo ili huyu mama aendelee kuwa nawe?.
  11. Neno Moja kwa Mwasibu

    Kati ya watu ambao wanaumia sana na matokea ya Jana basi Mwasibu ni no 1 , sasa huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya kumtia moyo ndugu yetu Mwasibu. Uzi Tayar Updates: Inatia Uchungu kwa Mwasibu Kukosa Kikombe
  12. Angalia na Useme neno ( Symbolism ).

    Mkitoka kuswali ndugu zangu mje mtueleze Mola gani anayemuomba kijana wenu
  13. Tafsiri ya neno "drone" kuwa "ndegenyuki"

    Kulikuwa na ubaya gani kama tungetohoa neno drone la kiingereza liwe droni kwenye kiswahili? Hii kuiita ndegenyuki ni direct translation ya kijinga. Mbona wale nyuki wanaoitwa drones kwa kiingereza wanaitwa nyuki tu kwa kiswahili? Sasa hii ndegenyuki inatokea wapi?
  14. Hivi kuna mtu amewai kujua kilefu cha neno HB?

  15. Neno la Mungu

    Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. Ayubu 22:21
  16. J

    Neno Yesu na neno Kristo Inamaanisha Nini

    Neno Yesu na neno Kristo Inamaanisha Nini Neno Yesu YESU ni jina la kiuanadamu la Bwana, alilopewa na Mariamu na malaika Gabrieli (Luka 1:31). “Yesu” maana yake ni “Mungu anaokoa”. Hili ndilo neno la Kigiriki linalofanana na neno la Kiebrania “Mashiak”au "Masihi." Kuna vifungu vingi vya...
  17. Mabinti bwana, ukianza nae mahusiano meseji anakujibu neno moja moja, sasa ngoja muanze kukaa nae ndani inakuwa vice versa 😂😂

    KABLA YA KUISHI PAMOJA: WEWE: "unajua baby xxxxxxxxxxxxxxxxxx xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxccc" YEYE: "k" MKIANZA...
  18. T

    Je Nchi haina wazee wakushauri na neno lao likaogopwa na watawala? Tumechoka na Karma

    Nawaza sana Nawaza sana nawaza nasipati majibu. Nani alimtonya Mh Mpango abwage manyanga na akamsikia mapema nakung'atuka? Alafu akakosekana Mzee wakukishauri kiti badala yake akasogeza kiti kweli? Ina maana Mzee wangu Kikwete na weŵe ukatoa ushauri ambao umetuacha na giza nene kuliko mwanga...
  19. Weka neno la Faraja kwa wapalestina

    Ukiwa kwako hata kama unalala chini, ni kwako.
  20. ASKOFU Mwamakula atia neno kuhusu kuchaguliwa kwa Wassira kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Mhe. Stephen Wasira anaanza kuiongoza CCM kama Makamu Mwenyekiti akiwa na umri wa miaka 80. Pengine, huu ni umri mkubwa sana kwa mtu yeyote kupewa uongozi wa juu katika chama cha siasa. Inawezekana kabisa kuwa Wasira atakuwa kiongozi wa kwanza mwenye umri mkubwa zaidi kushika nafasi ya juu ndani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…