neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. BAKITA yakemea matumizi ya neno "Habari Mpasuko"

    Tamko la Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) kuhusu neno "Habari Mpasuko"
  2. Neno moja kwa aliyekutoa bikra

    Wanawake nawakaribisha mtoe neno moja kwa dume lililokutoa bikra, inawezekana bado uko naye au yuko mbali mshaachana naye. Kupitia uzi huu nimeona siyo busara kuwasahau hawa watu muhimu katika maisha yenu. Wakumbukeni kwa maneno mawili matatu au hata neno moja tu. Karibuni
  3. T

    SoC02 Wino wangu kwa Kiongozi

    UTANGULIZI Neno Kiongozi limebebwa na neno ‘nafasi’ ambayo inakamilisha uwepo wa icho cheo yaani ‘’KIONGOZI’’ Ni vizuri kuelewa katika maisha tunayoishi leo kuna mwanzo wake vivyo hivyo kuna mwisho wake,kujikumbusha ni swala la muhimu sana hili nafasi zetu tunazopata duniani iwe ni kwenye...
  4. S

    Unaposikia ama kuona neno TOZO kwa mara ya kwanza akilini mwako anakujia mtu gani?

    Me Binafsi nikisikia ama kuona neno TOZO akilini mwangu mtu wa kwanza anaenijia ni Mwigulu sjui kwako ww mdau
  5. Neno hili 'Maendeleo'

    Ni gumu sana kulielezea au kulifahamu. Kila mtu ana tafsiri yake juu ya maendeleo. Japan imeendelea. Japan ina uwezo mkubwa wa kutengeneza magari na wananchi wake wana kiwango cha juu cha hali ya maisha. Pia wana barabara za juu kwa juu. Lakini Japan haina bomu la nuklia. Marekani imeendelea...
  6. Neno gani ambalo ulishawahi kuambiwa dhahiri likakukatisha tamaa?

    Ukweli ni kwamba kuna maneno mengi sana ambayo yanatumika na watu mbalimbali hususani pale wanapotaka kumkatisha tamaa mtu mwingine. Binafsi, kuna neno "Sio kirahisi hivyo kama unavyodhani" Hili ni neno ambalo limeachisha mawazo ya watu wengi kuhusiana na kujihusisha na jambo fulani. Mfano...
  7. Mke wa mtu anapenda hili neno "kunyandua" yaani nilimtamani lakini basi tena!

    Kwenye haya mambo hakuna haja ya salamu! Mke wa Ngosha mmoja mweny asili ya kimanga mchanganyiko na wayao alinivutia Sana siku za mwanzo. Kadri tulivyozidi kuwa karibu mdomo ukachemsha. Matamsh yalimdharaulisha
  8. Sikubaliani kabisa na hii Teua Teua ya Balozi kwa kila Mtu, kwani inatuaibisha na inadhalilisha pia Hadhi ya Neno Balozi kwa wenye Akili duniani

    Tokea mwaka 2005 hadi sasa ( Leo ) karibia 99% ya Watu wanaoteuliwa kuwa Mabalozi na Marais wa Nyakati hizo ( hizi ) ni Watu very incompetent, wana IQ ndogo na Failures pia katika Nafasi walizokuwa. Halafu ni nani aliyetulisha Sumu ya Upumbavu na Ushamba kuwa kila Mtanzania anaweza kuwa Balozi...
  9. Ni nini maana ya neno "Shikamoo"

    Nikiwa mtoto nilikua nikisema shikamoo kwa upesi sana lakini kadri navyozidi komaa kiakili napata ugumu wakulisema pale napokutana na watu walionizidi umri. "Shikamoo" ni neno la kiswahili sanifu? Ama lilikopwa kutoka lugha nyingine. Je lina maana gani. Naombeni nifahamishwe kuhusu neno hilo na...
  10. Unajua kwanini binadamu hakuumbwa kwa neno moja tu la Mungu?

    Ipo hivi mifugo wezangu, hivi kwanini Mungu hakutamka tu hivi "na awe binadamu mwanaume na mwanamke na wakaishi kwenye bustani ya edeni” ikawa asubui ikawa jioni, siku ya sita? Mbona vitu vyote Mungu alikuwa anatamka neno tu na vinatokea lakini ilipofika siku ya sita kwenye kipengele cha...
  11. M

    Anza na neno "ISINGEKUWA"

    ISINGEKUWA yule trafick usiku ule pale daraja la sarenda wale majamaa wangeniua
  12. K

    Uzi maalum kwaajili ya neno moja lenye maana sawasawa kwenye makabila tofauti

    Naomba huu uzi utumike kuelezea maneno ya aina moja yenye maana moja kwa makabila tofauti tofauti mfano neno kuigota linapatikana katika makabila ya wakurya na wasukuma na lina maana moja ya kushiba Neno kuhangua lipo katika makabila mawili ya wa sukuma na wakurya na lina maana moja ya kuwahi...
  13. M

    Hili neno la Kiswahili linaleta maana au? Sijaweza kulielewa bado

    Mfano: kwa lugha ya malkia ukisema. "I want to eat you" Labda unamwambia kuku mfano Ni sahihi kusema nataka nikukule? Hilo neno nikukule naona halileti mtiririko mzuri Kwenu wataalamu wa Lugha
  14. Wanaume mje mtoe neno moja hapa

    Can someone switch off the light he want to see something!
  15. Neno langu kwa Tajiri Yusuf Bakhressa wa Azam FC

    Umeingia kwa 'Pupa' sana katika Vita ya Kusajili ila umesahau kuwa unazungukwa na 'Chawa' wengi wa Simba na Yanga.
  16. Namna ya kumshinda Shetani anapotumia neno la Mungu kukushawishi kutenda dhambi

    “Akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe”, Mt 4:6 SUV Shetani alitumia Neno la Mungu kumjaribu Kristo kutenda dhambi. Pia lilikuwa ni jaribio la kumshawishi Yesu...
  17. Toa neno lolote kuhusu michango ya Harusi

    Hello Wadau!! Naenda Moja kwa Moja kwenye topic. Mimi binafsi naenda kwenye style ya uombaji michango, Jana mishale ya mchana ghafla najikuta nimeungwa kwenye group la kuchangia mchango wa harusi ya classmate wangu ambae sijaongea nae Toka mwaka Jana japo Kila mtu ananamba ya mwenzake, naona...
  18. Nguvu ya "NENO" katika Dunia na Katika Maisha yako

    NGUVU YA "NENO' KATIKA DUNIA NA KATIKA MAISHA YAKO! Anaandika, Robert Heriel. Isomwe Kwa hekima Kwa walio na hekima, wapate ufahamu. Pia isomwe kipumbavu na hao waliowapumbavu, wazidi kuchanganyikiwa katika njia panda za fikra zao. Andiko hili ni Kwa watu wote. Neno ni sauti yenye maana. Kwa...
  19. Nini maana ya neno hodi hodi?

    Kwa Kiingereza hodi unasemaje?? Anyways hodi humu jamvini. Mimi new member naitwa Afrocentric, kwasababu sijawa brainwashed na propaganda za Wazungu, Wachina, Wahindi, Waarabu n.k.
  20. J

    IGP Sirro awaagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavyoelekezwa na Serikali

    IGP Sirro ameagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavhoelekezwa na serikali Sirro amesema hali ya usalama Ngorongoro ni shwari kabisa ----- PICHA: IGP Sirro akiongea na wakazi wa Tarafa Loliondo Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amesema zoezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…