Hivi unajua unaweza kuwa na furaha lakini usisikie utamu?
Au ukasikia utamu lakini huna furaha?
For me, furaha naiona kama ile hali ya moyo kuwa na utulivu na kujisikia vibe fulani hivi yaani ndiyo naiona ni furaha
Then raha, naona kama ni ile hali ya kuhisi uko sawa, huna matatizo
Exp...