necta

  1. uran

    Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yatangazwa

    Ufaulu Umepanda. Futatilia hapa. https://www.youtube.com/live/uwbLeIIRXOc?si=m-Iyj06qeAYHlPCl Kupata Matokeo fungua link hii: https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/csee/index.htm --- Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia...
  2. Minjingu Jingu

    KERO Waziri Wizara ya Elimu, Ustawi wa Jamii, Wizara ya Maendeleo Wanawake na Watoto, Katibu Mkuu, Necta, Nacte, Tie. OKOENI HAWA WATOTO TUTAWAPOTEZA

    https://harvardea.sc.tz/index.php Mimi ni mzazi mwenye mtoto ambaye anasoma shule moja ipo huko Tabata inafahamika kama HARVARD EAST AFRICA NURSERY AND PRIMARY SCHOOL. Hii shule imekuwa na maamuzi ya kibabe kwenye mambo muhimu yanayohusu mustakabali wa watoto wetu. Mwaka jana waliitisha kikao...
  3. T

    NECTA kuwa na mfumo wa kuficha majina ya watahiniwa katika matokeo, ina faida gani?

    Heri ya Mapinduzi kwa wazanzibari wotee. Necta hivi karibuni wameamua kutokuweka majina ya wanafunzi katika matokeo. Pamoja na mambo ya kulinda taarifa binafsi kwa hili hapana. Kujua ufaulu wa mtu hauishii kama mambo binafsi. Ni jambo la usalama wa taifa. Hebu fikiria kwa kipindi ambacho...
  4. Munch wa Annabelle

    Eti ni kweli CV ya huyu mwandishi wa CNN anayetrend hata ukiunganisha za wote pale jengo karibu na NECTA hawagusi?

    Nauliza TU Mbogamboga mloingia shift ya usiku mnijibu tafadhari
  5. M

    Dkt. Said Ally Mohamed aliteuliwa kuwa Katibu mtendaji (NECTA) akitokia (OUT) kama zawadi kwa kukamilisha (LLB ) ya Naibu waziri

    DKT SAID ALLY MOHAMED alikuwa ni Afisa wa mitihani (Examinational officer) wa Chuo kikuu Huria cha Tanzania(OUT) .Mwaka 2021 alichaguliwa kama Katibu Mtendaji Baraza la mitihani (NECTA). Uteuzi huu ulikuwa ni zawadi safi aliyoifanya mwaka 2018. Kwa kuhakikisha wahitimu mwaka huo wako vizuri...
  6. President of China

    Baraza la mitihani (NECTA) yatangaza mtihani wa kidato cha nne kuanza kesho

    Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne. Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
  7. ngara23

    Baraza la mitihani (NECTA) mnaangamiza Taifa, inafaa wapewe kesi ya uhaini

    Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6...
  8. N

    Nini kinaendelea nyuma ya huu ufaulu wa kushangaza wa kidato cha sita?

    DIVISION 1 - 61,120 DIVISION 2 - 49,385 DIVISION 3 - 14,870 DIVISION 4 NA 0 - 760 Watu wanasema elimu imerahisishwa kuna vitabu mitandaoni lakini haibadilishi uhalisia kuna wanafunzi hawapo serious, kuna wanafunzi wenye uwezo mdogo hata kuwe na rundo la material, wanafunzi watoro, n.k.
  9. upupu255

    SI KWELI Baraza la mitihani (NECTA) limetangaza marekebisho ya vyeti kupitia shirika la BABU LEO LTD

  10. Waufukweni

    Watahiniwa 71 wafutiwa matokeo ya Kidato cha 6 na NECTA

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya Watahiniwa 71 wakiwemo 70 wa Mtihani wa Kidato cha Sita (64 wa Shule na 06 wa Kujitegemea) na mmoja wa Mtihani wa Ualimu Daraja A (GATCE) ambao walibainika kufanya udanganyifu katika Mtihani. Akiongea Visiwani Zanzibar leo July...
  11. JanguKamaJangu

    NECTA yatangaza Watahiniwa 134,390 kufanya Mitihani ya Kidato cha Sita kuanzia leo Mei 5 hadi 19, 2025

    Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza kuwa watahiniwa 134,390 wamesajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita, huku 10,897 wakitarajiwa kufanya mtihani wa ualimu kuanzia Mei 5 hadi 19, 2025 katika maeneo mbalimbali ya Tanzania Bara na Zanzibar. Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Said...
  12. DR HAYA LAND

    Uzi maalumu kuelekea mtihani wa kidato cha nne, Maswali na majibu pamoja na Solving karibu tujiandae pamoja

    Wakuu habari , thread hii nimeanzisha makusudi kwa lengo la kusaidia walimu na wanafunzi wa kidato cha nne ambao wanajiandaa na mtihani wa TAIFA (NECTA). Here we go!. Mimi nitatoa hints au vidokezo katika masomo yafuatayo. Civics History English Kiswahili Karibu Sana , tuwasaidie vijana...
  13. Pdidy

    ULIYEMFICHIA MAJIBU NECTA NDIE MWAL WAKO VETA UTAIPENDA

    Utajua ujuiii Xyz Utaipenda
  14. R

    Wazanzibari wengi walishindwa kujaza 21% ya ajira kwasababu ya Necta, vyuma vimelainishwa tutegemee kuona wazanzibari wengi zaidi maofisini

    Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana, Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara. Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
  15. MUROSO

    MFUMO WA USAJILI WA WANAFUNZI

    Habari ya wakati huu, ninaomba msaada juu ya kitu kinaitwa mfumo kwenye elimu,nasikiaga tuu usajili ,uhamisho n.k unafanyika kwenye mfumo,huu mfumo upoje? na mbona waalimu wanautumia vibaya kwa kuhamisha hovyo watoto bila ridhaa ya wazazi na watoto? nilipost kuhusu harufu ya ufisadi shule ya...
  16. MUROSO

    DOKEZO Harufu ya Ufisadi shule ya Tunduru Jamhuri Academy

    Habari wana jamvi, poleni na majukumu ya kila siku katika kulijenga taifa letu. Naomba niende kwenye mada hapo juu, ni hivi: Shule ya Tunduru Jamhuri Academy ni shule ya serikali inayosajiliwa kama English medium na inaendeshwa kwa michango ya wazazi tangu kuanzishwa kwake, shule hii tangu...
  17. Waufukweni

    Katibu NECTA, Dkt Said: Tutaongeza somo la Lugha ya Kiarabu na Kifaransa

    Wakuu Kwanini sio Kichina, ambako tumeona kuna fursa nyingi kwasasa? == Dkt Said Mohamed Katibu Baraza la mitihani NECTA "Jambo jingine tutapima masomo saba badala ya sita kama ilivyokuwa awali na hii tunaongeza masomo ya kigeni ikiwa ni Arabic na lugha ya Kifaransa na mwanafunzi akifika...
  18. A

    Nimepata division 2 .20 nataka nisome CBG AU EGM NINA CCC KWENYE CBG HALAFU NINA CD KWENYE EGM VIP HAPA NITATOBOA KWELI

    Nimepata division 2 .20 nataka nisome CBG AU EGM NINA CCC KWENYE CBG HALAFU NINA CD KWENYE EGM VIP HAPA NITATOBOA KWELI?
  19. BestOfMyKind

    Necta na wizara ya elimu mbona siwaelewi?

    Wizara ya elimu imekua inasisitiza kuwa mitihani ya siku hizi inapima uelewa zaidi kuliko kukariri. Na necta nao wakitoa matokeo watoto wamefaulu na division 1 za hatari kuliko zamani. Sasa kama hawa watoto wamepimwa uelewa na wamefaulu kwa 1 za 7 na 1 za 3 za kutosha ina maaana wanajua...
  20. Anana_

    Baraza la mtihani NECTA liweke awamu kwa wanaorudia mtihani ya kidato cha nne

    Habari za muda huu, Wengi wetu humu mmesoma na wengine matokeo ya form four hayakua mazuri. Kuna watu wanarudia na matokeo yanatoka mapema tuu.. Kwanini kusiwe na uwezekano wa mitihani ya NECTA kwa wanaorudia(Private Candidate) kufanyika walau mara mbili kwa mwaka May na November? Ili...
Back
Top Bottom