ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Wanawake wapigwa marufuku kusafiri mbali bila ndugu wa kiume

    Taliban imesema Wanawake wanaotaka kusafiri umbali mrefu (zaidi ya Kilomita 72) wasipewe usafiri barabarani isipokuwa wakiwa wamesindikizwa na ndugu wa kiume wa karibu Mwongozo huo wa Serikali ambao umekosolewa na Wanaharakati pia umetoa wito kwa wamiliki wa magari kukataa kuwapandisha Wanawake...
  2. JamiiForums Tanzania Aliyejua hatima ya ndugu yetu huyu atujuze

    Maisha ya ugomvi wakati mwingine ni ya kupuuza kabisa. Mwamba hapo juu kwa mfano sielewi hatima ya maisha yake hapo baadae ilikuwaje! Halafu huyo mgomvi wake kama vile alielekezwa kabisa mchezo ukimaliza hapa ugomvi umeshinda. Pole yake.
  3. 4

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu kanigusa,nami ngoja nishiriki na ndugu zangu wote wa jamii forum

    WATU wa Mungu jf niwasalimie kila mtu kwa imani yake Bila jali mitazamo yetu tofauti ila ni imani Yangu sie ni Ndugu tu, Usiku wa kuamkia leo nimeguswa na yule ajuaye nini makusudi yake kunifanya niwe hai leo, na nini kusudio lake kunileta duniani ,nami ni vyema share nanyi baraka hizi Ni...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Ndugu Mchengerwa (Mbunge)waziri wa Utumishi

    Habari Mhe Waziri , Mohammed Mchengerwa ,Kwanza ni kupongeze Kwa uteuzi wako ,kazi unaenda nayo vizuri ,kuna maeneo kidogo ningependa kushauri ,JF ni kioo cha jamii kitumie katika kujirekebisha. Ni ukweli usiopingika umekua mtetezi wa Watumishi wa UMMA ukitamani kila mtumishi apate haki yake...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Katibu Mkuu wa CCM ndugu Chongolo

    Kwanza nikupe heshima yako, shkamoo na pole kwa majukumu makubwa ya kuongoza chama, Siku kadhaa kabla ya sherehe ya uhuru ulifanya kikao na waandishi wa habari kuelezea mafanikio ya chama ndani ya miaka 60. Katika kikao hicho ulizungumza mambo mengi lakini kwangu napenda kuchangia kuhusu haya...
  6. JamiiForums Tanzania Tumkumbushshe tu ndugu yetu mh pole pole kila kitabu na zama zake

    Akubali tu kama walivyokubali wengine kipindi cha kitabu ambacho yeye alikuwa anasoma na wengine walikosa kukisoma wakakaa pembeni sasa kitabu iki nayeye aangalie tu juu kwenye cover ndio ilivyo.kipindi yeye anasoma na kukielezea kitabu kilichopita kuna watu walikuwa pia wanatamani nawao...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ndugu za wanaoshikiliwa ktk mahabusu mbalimbali, kwa tuhuma za Ugaidi, wazungumza na vyombo vya habari.

    ..kuna mahabusu 186++ wanashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi ktk magereza mbalimbali. ..Ndugu zao wamezungumza ktk vyombo vya habari kama wanavyoonekana hapo chini. Cc amanibaraka
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ndugu wanaCCM, Wembe alioutumia Polepole kumnyolea Membe kwanini usitumike sasa kumnyoa Polepole?

    Sote tunakumbuka ya kwamba Polepole akiwa katibu mwenezi wa CCM Taifa, alisimamia mchakato wa kumfukuza uanachama Membe kwa kosa la "kutamka" kwamba atachukuwa fomu ya kugombea Urais ili apambane na aliyekuwa Rais na mwenyekiti wa CCM Taifa ndugu Magufuli. Kwa kutumia "kanuni za chama" Polepole...
  9. JamiiForums Tanzania Makamba, unatumia muda mwingi kujibrand kuliko kupambana na mgao umeme

    Abuu Kauthar Huku ninapoishi, Mburahati Barafu, katika wiki moja, umeme ulikatika siku sita kwa saa kuanzia sita hadi 14. Katika baadhi ya siku, umeme ulikatika mara kadhaa. Kukatika huko kwa umeme sio tu ni kero kubwa, lakini pia kumeongeza umaskini wa wananchi wanaotegemea nishati hiyo...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati ndugu zetu wanaconsume 1,400 MW, Kenya ina-consume 2036 MW ya umeme na haturingi

    Yaani Kenya kwa mara ya kwanza tumeweza kutumia umeme wa zaidi ya 2,000 MW. Ukanda huu Ethiopia pekee ndio wanaotumia umeme mwingi kutushinda. Wenzetu wa kusini bado wapo nyuma kwenye matumizi ya umeme. ===== Power consumption reaches all-time high MONDAY NOVEMBER 29 2021 By BRIAN NGUGI...
  11. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi karibuni kwenye section ya MMU

    Hali vipi wanajumuiya ya Afrika ya Mashariki. Nipende kuwakaribisha ndugu zetu tajwa hapo juu, kuweza kujumuika nasi katika jukwaa la MMU (Mahusiano, Mapenzi na urafiki) ili tuweze kubadilishana mawazo kadhaa hususani katika mahusiano yetu kwa ujumla. Tunahitaji kuona mkileta hadith za bibi...
  12. JamiiForums Tanzania Ndugu Nape pokea mchanganuo wangu wa dola 9 billioni alizokula Magufuli

    NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM. Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu wa damu hana uaminifu kwenye pesa, amenidhulumu mara kadhaa

    Wakuu hopefully amjambo ngoja niende kwenye point .. Nina Kaka yangu ambae ndie first born wafamilia .. nashindwa kumuelewa kabisa .. kila Ela yangu ikipitia mkononi mwake hua airudi Ni Mara kwa Mara ili tatizo linajirudia .. Mwaka Jana nilikuw na kias cha pesa over 700k pesa niliotaka ku...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya Sana kwa hawa ndugu zetu kule Zanzibar

    Hivi ni kwanini wanakimbilia kwa wingi Zanzibar ikiwa kazi zenyewe ni kama hizi? kwanini wasitulie nyumbani wakajenga taifa, ufugaji ndio umekua haulipi ama kuna shida gani? Hali ni mbaya kwa kweli, binaadam anauza utu kwa dola 100 - 200, kwa kifupi tu watanzania tuna machungudoa wa kiume ambao...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa za shahidi wa 7 wa Jamhuri ndugu Mahita kuondokewa na mtoto siku Moja baada ya kumaliza Ushahidi wake zina ukweli?

    Zipo Taarifa kwamba Mahita Junior amefiwa na mtoto Arusha na watazika Morogoro kesho, je Taarifa hizi Zina ukweli? Nini chanzo? If so,poleni familia
  16. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Kulikoni Makamanda na ndugu Wananchi Kusita Sita?

    Tukubali kuziweka siasa pembeni. Kama ilivyo kwa mwenda kuoga, tukubali kuyavulia maji nguo, tuukabili ukweli usiosemeka: 1. Ridhaa ya kuongoza nchi hupatikana kutoka kwa wananchi. 2. Haiwezekani popote kuwa ridhaa hiyo ikatolewa kwa mtu ambaye agenda zake hakuna kuheshimu usawa, uhuru wala...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu RFA!!

    Tunayapenda saaana matangazo yenu, lakini tunaomba mjali muda. Hata habari za kimataifa tunazipenda saaàna pia!!
  18. JamiiForums Tanzania Nawatakia mkesha mwema ndugu, jamaa na marafiki katika kuadhimisha Mawlid ya Mtume Mohammad SAW

    Kwa ndugu zetu waislam nawatakia kila la heri katika kusherekea kuzaliwa kwa kiongozi mkuu wa kiroho Mtume Mohammad SAW Mungu ibariki Tanzania
  19. K

    JamiiForums Tanzania Sheria kali za Ndugu zetu Taliban

    Wadau, hivi karibuni Taliban wameweka sheria Kali kwa wanaume. Hawaruhusiwi kunyoa ndevu. Sasa namna gani kwetu sisi Mayakhe ambao hatujajaaaliwa ndevu? Nchi hiyo tutaishije? Twaruhusiwa kuweka za bandia atiii?
  20. JamiiForums Tanzania January Makamba acha uongo na unafiki, maneno yako kuhusu umeme huyatekelezi

    Sijajua rais Samia alimpendea nini. Nakumbuka siku ameingia ofisini alisema umeme ukikatika meneja wa eneo hilo hana kazi. Jambo la kushangaza toka ameingia ofisini umeme umezidi kukatika kuliko alivyokuwa Kalemani. Mbagala kila umeme unakatika bila hata taarifa sijasikia meneja kafukuzwa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…