ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ikifika Desemba 31 mwaka huu naomba mnikumbushe kuhusu malengo yangu

    Habari za muda huu ladies and gentlemen. I wish nisikwaze mtu yeyote kwenye huu uzi. atakaekwazika naomba anisamehe saaana kijana mwenzenu () niko katika mchaka mchaka wa kupambana na maisha kama ilivyo ada nimejiwekea malengo mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka huu niwe na milioni 3 na zaidi...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Uzi Mahsusi wa kuweka picha mbalimbali za Ndugu Fiston Mayelle

    Hamjamboni nyote Huu Ni uzi maalumu kwa ajili yetu sote Naomba moderator muuache uzi huu Kama ulivyo Naomba mwenye picha mbalimbali za Ndugu yetu Fiston Mayelle atuwekee tupate kumfahamu vema Karibuni
  3. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislam dini yenu inasemaje kuhusu wageni mwezi wa Ramadhani?

    Niwatakie mfungo mwema. Nimesikia kwenye kipindi cha njiapanda leo huyo mdada alikaribishwa na mwenyeji wake huko dar, lakini juzi wakati mfungo unakaribia mwenyeji wake akamwambia aondoke maana mfungo unaanza! Sasa mwezi mtukufu na kutimua wageni inakaaje kaaje hii? Ukizingatia mgeni mwenyewe...
  4. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Kanda ya ziwa Rais ni Mama Samia tujue hilo

    NImepitia nyuzi zote 23 na comment zaidi ya 3,600 naomba niseme ndugu zangu wa Kanda ya Ziwa ndoto ya kutoa Rais imekufa, hivyo tuendelee kumuunga mkono mama. 2) Kama mama ameeleweka vema lengo lake ni kurejesha chama kwenye mikono salama ya watu wenye weledi, hivo kuna anaweza hoji uwezo wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ole Wao Waliohusika kuwakata Mikia Ndugu Bernard Kamilus Membe na Abdahaman Kinana

    Niwakumbushe wale wote waliohusika kukata mkia wa Bernad Membe na Abdalahmani Kinana.Inaoneka mikia imeshaanaza kuota upya.Itakumbukwa kwamba Ndugu Membe aliwahi kukili kuwa AMEKATWA MKIA Sasa wajiandae wao.labda zamu yao itakuwa kukatwa vichwa kabisa.Ila Mungu atwaepusha visasi. "BWANA...
  6. JamiiForums Tanzania Nimeshidwa kumuelewa mpenzi wangu kwa kuwa na huzuni na msiba usiomuhusu wakati marehemu si ndugu yake

    Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia akaniomba nimsindikize tukaenda wote. Sasa tangu huu msiba umalizike mpenzi wangu amekuwa ana huzuni sana...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mpaka kufikia Umri huu nimeishi kwa shida sana ndugu zangu, moyo wa mtu umebeba mengi sana

    Nakumbuka jinsi ambavyo mama alikuwa anatulazimisha kula vyakula mbalimbali na matunda kila wakati. Nilikuwa naona kero sana. asubuhi tu unaangalia menu ya breakfast imejaa hujui ule nini uache nini, ni buffet. Mimi kwa kweli nilikuwa naona kero. natamani kuishi maisha ya watu wengine unakuta...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sitokuja kumdhamini mtu asiyekuwa ndugu yangu

    Wanajamvi habari za leo. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika kwa kuwapa kwa ufupi tukio lililosababisha nilete huu uzi . Kuna rafiki yangu ni Mchungaji wa kanisa moja hivi la kipentekoste huku tunapoishi. Kwa vile kanisa lake bado ni changa hivyo sadaka hazikidhi mahitaji ya familia...
  9. JamiiForums Tanzania Ndugu wakulima ninapata wapi mashine ya kukatia mpunga?!

    Kama mnavyojua mashamba yetu ni ya kienyeji yanahitaji machine all weather badala ya zile kubwa za Kubota kama hiyo hapo juu. Nipeni connection chap nikimbizane na msimu wa mavuno
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyenusurika kifo kwa manyanyaso ya ndugu, atoa shukrani kwa kutolewa gizani

    Anord Patrick Kalinga (21) mkazi Mlevelwa, Kata ya Mdabulo, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ambae ni miongoni mwa vijana 100 kutoka kwenye familia duni walioibuliwa na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi na mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) amepongeza mradi huo kwa kumuona. Anord alisema akiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Kufa ni nini? Kufa ni hali ya roho kuepukana na kiwiliwili, au kufa ni kukatika matumizi ya roho kwa kiwiliwili na kukosa kiwiliwili ambayo ndio ala yake na kumuepusha mtu na mali yake na watoto wake na mke wake. Kufa kunakata utamu wa maisha ya kiulimwengu na kwenda ulimwengu mwingine. Mtu...
  12. JamiiForums Tanzania Ni nini hasa tafsiri ya kuachiwa huru kwa Freeman Mbowe? Tuangazie mizania hizi

    Habarini wana JF, Naomba nichokoze maada, je nini kiwe tafsiri ya kuachiwa huru kwa F. Mbowe. Je ni 1. Win-win situation? 2. Win-loose situation? 3. Loose-win situation? 5. Loose-loose situation? Na je, ni tafsiri ipi ioanishishwe sambamba na mtazamo wa nyakati za sasa, za kati na za...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Ndugu yangu (22) kaanza ubabe kwangu (31), kisa karefuka na anabeba vyuma

    copy paste fb 😂😂 JE NICHUKUE UAMUZI UPI KAMA MTU MZIMA. Ni mtoto wa ndugu yangu, mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa kama miaka 7 iliyopita, kipindi hicho tulitokea kuwa na mazoea sana, kahamia mkoani kwangu huku kiukweli dogo kapanda hewani yupo kama futi 6 .3,,,mimi nipo 5.9 Sasa kahamia...
  14. JamiiForums Tanzania Mdomo umewaponza kwa kuwashutumu wengine wanatoa kafara ndugu zao

    Hakuna kitu kibaya sana kama ulimi. Usipouchunga ulimi wako utakuletea aibu, madhara kwako na kwa wengine. Hii familia imekuwa inaropoka sana wengine wakipoteza wapendwa wao tena katika mazingira ya kawaida tu ya kifo kama ajali au magonjwa. Utasikia tu eti Wamemtoa Kafara. Mtu kafa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wadau tupunguze bajeti ya pombe, tusaidie ndugu na majirani wasio na uwezo. Hali mtaani ni ngumu sana

    Hali imekuwa ngumu sana maana maisha yamekuwa tight. Utakuta jirani yako au ndugu yako hana chakula, mavazi hata watoto wake hawana mahitaji ya shule. Lakini unakwenda baa unazungusha round za kibabe. Mbaya zaidi inakuwa kila siku. Kwa hiyo kama kwa wiki unatumia laki kwenye pombe basi...
  16. JamiiForums Tanzania Ukraine itume mabalozi wake kwenda Mkoa wa Mara kuchukua wapiganaji, mkoa huu unapenda sana kazi za Jeshi

    Yani Hakuna haja ya kutafuta, wakifika huko watakuta kuna foleni tayari inawasubiri kuanzia wajita, wakurya, wajaluo, Wazanaki, Wangoreme, Wasuba, Waikizu, Waisenye, Waikoma, Wakwaya, Waluli, Washashi, Wanata na Wasweta. Hata kipindi cha vita ya Kagera, kila mkoa ulipewa nafasi elf 2 za...
  17. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amepata scholarship ya kwenda kusomea Ukraine

    Habarini za leo, Naomba kuuliza ndugu zangu. Ndugu yangu amepata skolashipu ya kwenda kusomea Ukraine. Alikua anauliza gharama za maisha zikoje na hali ya maisha kiujumla. Anatakiwa kuripoti mwezi huu, yeye amechaguliwa March intake. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
  18. JamiiForums Tanzania Maelfu ya Warusi waanza kujitokeza na kuandamana kupinga kinachofanyika dhidi ya ndugu zao Ukraine

    Ifahamike Ukraine na Urusi ni watu wamoja, na lugha inayotumika sana Ukraine ni Kirusi, maelfu ya Warusi hawaungi mkono huu uvamizi dhidi ya ndugu zao, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii wengi wanatukana sana maana hawaelewi nini sababu za mauaji yanayoendelea au tija yake kwa Urusi, pia kuna...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania tusithubutu kuingilia mambo ya akina Putin kwani ni ndugu yetu kabisa

    Hii iwafikie viongozi wetu, Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa. Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters. Hivyo sisi tuwe silence tu wakati mtu ananyodolewa huko. Kapicha haka hapa.
  20. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kweli Katibu Mkuu Utumishi ameelekeza watumishi wanaostahili kupandishwa madaraja?

    Kuna maelekezo nimeyasikia kutoka utumishi kuhusu watu waliostahili kupandishwa madaraja 2018 na kuendelea hawakutendewa hivyo. Katibu mkuu utumishi ameelekeza maafisa utumishi katika halmshauri zetu kuomba watu hao wapandishwe kwa mseleleko. Mwenye uhakika na hii habari tafadhari.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…