ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna watu wengine wameacha kabisa kwenda kuwatembelea ndugu

    Ndio . Kuna ambao kabisa wameacha kwenda kuwatembelea ndugu kama aunties, uncle n.k . Kwa sababu muda mwingine wakienda kuwatembelea hawa wajomba na mashangazi ,zile kumbukumbu za maumivu ya utotoni (childhood traumas) walizozipitia wakiwa huko kwa akina ndugu zinajirudia na kuleta Hali ya...
  2. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu hii inaruhusiwa kidini?

    Hawa naona wanaelekea kuleft kabisa, je hii ni sawa kiislamu?
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke / Mwanaume si ndugu katika ndoa.

    Tutalazimisha sana katika imani zetu,ya kwamba nyie ni mwili mmoja but infact siyo kweli, -Inaendelea...! 1. Kibiolojia mnaendelea kuwa watu wawili tofauti Kila mtu ana DNA yake, damu yake, ubongo wake, moyo wake. Huwezi kuhisi njaa ya mwenzako mwilini mwako, wala maumivu yake ya kichwa...
  4. JamiiForums Tanzania Noamba msaada na ushauri ndugu zangu

    Habari, wakuu, naomba ushauri kwa jambo langu, hapa ambalo naona linaenda kutokea hivi karibuni, Nimeajiliwa sehemu flan nafanya kazi, nimeajiriwa, toka mwaka 2016, had leo hii Maisha yako safi tu, sasa nimefanya kazi kwa, muda 2016-2022 kwa malipo ya mshahara, Tukaingia 2023 tukaweka...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa mwaka huu ni wa shesRise, amekuwa mtengeneza maudhui bora humu JF ambayo pia inavutia uchangiaji mkubwa. Hongera ndugu.

    ShesRise_1 keep it up blood! Nasubiria comments za kuwa wewe ni mimi katika parody😁😁😁
  6. JamiiForums Tanzania Tukubaliane ndugu zangu Noise Pollution ni tatizo sugu ndani ya nchi yetu.

    Kwa tafsiri isiyo rasmi kwa Kiswahili inafahamika kama Uchafuzi wa kelele. Uchafuzi huu wa kelele vyanzo vyake vikuu ni: 1. Milio ya honi na sauti zisizo za kawaida za vyombo vya moto hususani magari, pikipiki, nk. 2. Sauti zitokanazo na vipaza sauti vilivyo simikwa juu ya nyumba za ibada...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kuishi na ndugu niliyowahi kujifunza kwa uchungu, Usijihusishe na taabu zao ambazo hazikusumbui,

    Family Rule: dont bother the trouble if the trouble isnt bothering you Kuna kipindi niliwahi kuitwa kutoa ushauri wa tabia mbovu ya mtoto wa kaka ya kutofanya baadhi ya majukumu alipokuwa kwa bimkubwa Basi mimi nikajitia fronti nikaanza kumkanya huyo mtoto, nilimcharaza maneno kisawa sawa hadi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake, Kabudi, Chenge, Jadi Chade

    Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake hawa ni vilaza Kabudi, Chenge, Jadi Chade hawa wana akili lakini matumbo yamewafikisha hapo
  9. JamiiForums Tanzania Inakaribia mwaka tokea ndugu zetu wauliwe na miili yao kupotezwa, haki ya Mungu watu waliofanya haya hawatoacha

    Watu wengine waliuliwa mabarabarani. Wengine nyumbani. Wengine walibebwa mahospitalini. Wengine walifia jela baada ya kutupwa wakisubiria kesi za uhaini. Asikudanganye mtu watu waliohusika na haya wataacha. Au watakutengenezea mazingira mazuri ya kupata haki yako popote.
  10. JamiiForums Tanzania Merry Patrick Daniel afariki Dar es Salaam, Ndugu zake wanatafutwa

    Merry Patrick Daniel, ambaye kwa mujibu wa taarifa zilizopo amefariki dunia na mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke, Dar es Salaam, aliwahi kusema akiwa hai kwamba yeye ni mwenyeji wa Arusha. Hata hivyo, bado haijafahamika alikuwa akishi au anatokea eneo gani ndani ya...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Nutrition and Catering with Education ya Sokoine inahusu nini?

    Habari ndugu zangu nilikua nauliza kuhusu bachelor degree of nutrition and catering with education iliyoanza kutoka chuo Cha sokoine inahusu nini?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kihasibu mwanamke anaelenga mali hawezi kufurahia mume kuugua asubiri afe. gharama za matibabu, jamii na ndugu vinaweza humfanya awahi kuomba talaka

    Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi: “Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.” Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
  13. JamiiForums Tanzania Watengenezee watoto wako ndugu wa kutosha

    Kama mzazi, jitahidi kuwa na watoto wengi ata 50 kama unaweza kufyatua,ili leo na kesho usipokuwepo, watoto wako wawe na ndugu wa kutosha. Hii ya kuzaa kitoto kimoja au wawili, ni kumfanyia ukatili mtoto wako kwa kumnyima kuwa na ndugu wa kutosha. Leo hii wewe, mkeo na ndugu zako mmekata...
  14. JamiiForums Tanzania Onyo kwa mods: Komeni mara moja kufuta nyuzi zenye mafundisho

    Leo secretarybird ameachia uzi wenye mafundisho murua juu ya baba wa kambo . Lakini kama kawaida mmekua wenye kiherehere na kihoro cha kufuta Kila mara nyuzi zenye mafundisho maridhawa zinaporindima hapa jukwaani. Sasa napenda niwaonye huku nikiwapa muda wa kujitafakari. Tusipangiane vya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aliuza taarifa za ndugu yangu kwa wachapisha umbea, zikachapishwa mtandaoni kumdhalilisha

    Fundi simu aliuza taarifa za ndungu yangu kwa wachapisha umbea, zikachapishwa mtandaoni kumdhalilisha. Alipeleka simu kwa fundi, alipoanza kuirekebisha akapata dharura akamuaga kuwa atarejea baadae, ila akasema inabidi atoe nywila kwani atahitaji kuifanyia majaribio. Mara baada ya kutoka huku...
  16. JamiiForums Tanzania Nawaomboa UHAI wote walihusika na kuua, kuteka na kupoteza miili ya ndugu zetu MO29 na kipindi hiki chote, Kifo kwangu sio Adhabu.

    Baada ya kufanya kazi kwa miaka zaidi ya 3 kwenye hospital, na kuwa karibu na wagonjwa wa kila namna, niliona kuwa kifo sio adhabu kwa mtu anayevunja sheria. Nataka kuona wakiwa mahakamani, wakitoa maelezo nani aliwapa oda, walilipwa shilingi ngapi( au walipewa tu hela za mafuta), wote...
  17. JamiiForums Tanzania Nampa pole ndugu Samia Suluhu Hassan kwa kuondokewa na rafiki yake Kipenzi Wicknell Chivayo

    Wahenga walisema kifo ni kifo tu tusizue taharuki lakini kuna wakati kifo ni msiba mzito. Najaribu kupata picha ya uchungu ulionao, hivi majuzi umempoteza mume wako halali, na Chivayo alikuja kukupa pole. Jana nayeye kafariki na mke na watoto, najua imekuuma sana. Ingawa binafsi nimepokea...
  18. JamiiForums Tanzania Kuuliza si Ujinga, hivi huyu Yericko anayedandia ubini wa Nyerere wazazi wake na ndugu zake wanajisikiaje?

    Nimejikuta nawaza kama mzazi umezaa mtoto umemlea kwa kadiri ya Mungu alivyokujalia, mara mtoto anakuwa anajiingiza kwenye maisha ya utapeli na kulikana jina la ukoo wako wewe kama Baba mzazi utajisikiaje? Wapo watoto wa ukoo wenye jina lao la Nyerere na hawashoboki nalo mfano mtoto wa kike wa...
  19. JamiiForums Tanzania Una ndugu anasumbuliwa na ulevi / uraibu? Kivulini Sober House ni suluhu. (Picha)

    Kivulini Rehabilitation & Sober House ni taasisi iliyosajiliwa na kufanya kazi kwa mujibu wa sheria za Nchi. Tumekuwa tukiwasaidia waraibu wa pombe, bangi na madawa mengine ya kulevya kuondokana na uraibu unaowasumbua ikiwemo pia hivi karibuni tuna program maalum ya waraibu wa kamari. Unaweza...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wachaga, Je hii ni sahihi au ni manipulation za mitandaoni?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…