ndugu zangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Wakristo wenzangu kwa shida walizonazo waumini wa Gwajima na misaada waliopewa kuanzia leo nimeacha kuwasemea vibaya wakatoliki nitawaheshimu

    Wakristo wenzangu Kukiwa na shida kubwakubwa mkombozi wetu ni Kanisa Katoliki hivyo tuache midomo midomo tuanze kuwaheshimu
  2. U

    Ndugu zangu wengi sana majukwaani wanapenda ,wanatafuta ,wanahoji, wanauliza, wanajenga na kuijadili h CCM ni ushahidi wanavutiwa na sera zake

    Wadau huo ni ukweli usiopingika labda kama takwimu husika ni za kughushi
  3. M

    Ndugu zangu watu wa CCM, ebu epukeni aibu hii.

    Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa, kimebanwa kila kona. Katika mazingira hayo, hapo kuna uchaguzi gani...
  4. Ndugu zangu vijana kwenye siasa kazi na uaminifu ndiyo itakayokufanya ujulikane na Taifa na si kupiga majungu na upotoshaj mwisho huwa ni kudharauliwa

    Alama ya kijana ni kazi, kijana ni maneno machache kazi nyingi, kijana awe na tamaa ya maendeleo huku anafanya kazi siyo tamaa ya maendeleo huku anakesha anaangalia press za akili mnemba polepole badala apumzishe mwili kwaajili ya KAZI kesho yake. Popote ulipo kijana onyesha upekee kiutendaji...
  5. GE2025 "Mimi na ndugu zangu (wengine ni marehemu) hatukujiandikisha lakini taarifa za tume zinaonyesha tumeandikishwa" . Hii imekaaje?

    Sitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri. Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa, Mifumo ya NEC na NIDA inaonana na CCM, na wakati huo huo CCM ndio mratibu wa hiyo mifumo nyuma ya pazia...
  6. Muwasho wa mwili unanitesa, msaada ndugu zangu

    Asubuhi nikiwa baharini kwenye shughuli zangu nilipatwa na kiwashi, ni kiwashi cha rangi ya njano ambacho hujificha kwenye mwani wa bahari. Nimeenda Duka la dawa nikapewa dawa aina tatu zote nimeanza kutumia mchana lakini hakuna hafadhali maumivu ndiyo yanazidi (hasa huu usiku) mwili unawasha...
  7. Nina laki moja nawezaje kuizalisha?

    Nina laki moja mkononi, itaki kuitumia ikapotea nawezaje kuizalisha ndugu zangu najikuta tu sina idea ya fasta kwa sasa?
  8. Ndugu zangu wa JF, mmekula mpaka mmevimbiwa!

    Ndugu zangu, nimefanya bidii mchana na usiku, kuwapa chakula kitamu mfululizo. Naona mmekula mpaka mmevimbiwa! Kwa sababu hiyo, naomba nisitishe tena kwa muda kuandika mada hapa JF, nipate nafasi ya kujiandaa kwenda kugawa chakula katika maeneo mengine ya dunia. Lakini kabla sijaondoka, nitakuwa...
  9. GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

    Yanayoendelea ndani ya CCM kwa sasa yanatia wasiwasi. Kumekuwa na taarifa za vurugu, vitisho, na migogoro ya ndani ambayo inapaswa kutazamwa kwa jicho la tahadhari na huruma kwa mustakabali wa demokrasia yetu. Nashukuru sana Mheshimiwa Tundu Lissu kwa maono ya mbali – kama hali ndani ya chama...
  10. Msaada wa haraka ndugu zangu mawazo yenu wakuu

    Nina pacha mwenzangu tumezaliwa WAWILI Mimi KULWA pande la MWANAUME kijeba khaswa, ye DOTO ni mwanamke. Juzi nimewasiliana NAE VIZURI TU tukamaliza. Leo najulishwa kaja sehemu nilipo na anani tafuta. HIVI unaendaje sehemu bila KUTOA TAARIFA kwa mwenyeji wako wakuu, kwanini asinge nijuza majuzi...
  11. M

    Sijui nimewaambukiza wangapi ila wengi ni waume za watu

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo, binti mwenye sura ya kawaida lakini anayejua kuitumia. Natabasamu na kuongea kwa upole, lakini ndani yangu nimebeba maumivu makali sana. Na leo, nimeamua kusema ukweli wangu, kwa sababu nimechoka kubeba mzigo huu peke yangu. Nilipoingia darasa la sita, familia...
  12. U

    Ndugu zangu naombeni sana mwenye Aya kamili ndani ya Quran ambapo Mungu amebainisha wazi wazi kuwa Mohamed ni Nabii wake wa mwisho

    Weka Aya usije na ubishi
  13. U

    Sabato imeanza baada ya jua kuzama Leo, ni siku maalumu iliyobarikiwa na Mungu kuliko siku nyingine, Niwaombe mjiweke safi kuipokea na kuiheshimu

    Ni siku bora kuliko siku nyingine ikiwamo siku ya Jumapili na ni kwa mujibu wa maandiko Exodus 20 hivyo usije na ubishi wako. Happy Sabbath all
  14. Ndugu zangu waislamu mnaposema peponi wanaume watakuta mabikra 72 na je wanawake watakuta wanaume mapafu ya mbwa 72

    Napenda sana kusikiliza mawiza yenu ili kujifunza.Ila kuna mda naona kama mada zenu ni kama mimi naweza waza nilichoweka kwenye kichwa cha habari. Ni kwamba kule mnapofahamu ukifa ni sehemu porn mbinguni. Ijumaa njema tukutane kwenye biriani
  15. Ndugu zangu wa Yanga tuhakikishe mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hassan anashinda kwa Kishindo ili Yanga izidi kuwa tishio

    Nimetafakari sana nimeona kwa maslahi ya Yanga, bora nimuunge mkono mama Samia Suluhu Hassan ili kuendeleza wimbi la mateso kwa watani wetu. Wana Yanga kipindi mnafanya maamuzi fikirieni timu yenu. #NOREFORMS_NO_ELECTION Asante.
  16. Kwaherini ndugu zangu wa JF

    Kwaherini, ndugu zangu wapendwa wa JamiiForums Kwa takriban miezi saba, nimefanya bidii kuwaletea habari njema za uzima wa milele. Habari hizi, zimekuwa chemchemi ya furaha kwa baadhi ya watu; lakini kwa wengine, zimeonekana ni kero. Kwa wale mliosononeka au kukasirishwa na nyuzi zangu...
  17. Msaada wa fasta ndugu zangu

    Ndugu zangu Mimi kijana wenu wa hapa jukwaani. Nina shida ya 10K nakurudishia 20K jioni ya Leo. Kuna mistake Moja nimefanya nimeibiwa Kila kitu. Nimeamka na simu tu na bundle. TIGO 0710782874 (Brown Nyanza) Natanguliza shukrani.
  18. Tuokokeni ndugu zangu siku mbaya hizi

    Nacho wakumbusha ndugu zangu, dunia hii ya leo, tunaishi katika nyakati mbaya sana, tuokoke, tuacheni dhambi, tuombe sana, maisha tunayo yaishi yamezungukwa na kifo, magonjwa ni mengi, uovu ni mwingi, kule ni vita, huku ni ajari, pale ni utekaji, kule tena ni ushirikina na mengine mengi duniani...
  19. Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa

    Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa. Hivi sasa kuna elimu ya kujitoa muhanga elimu hii ipo kwenye dini maarufu kama ukristo na waislam, kuna watu wamejiuwa au kujilipua kwa mafundisho ya kwenda mbinguni baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…