ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jamani niombeeni, Jana nimeota hii ndoto

    Habarini, Sikuwahi kuota ndoto za namna hii, ila jana ilikuwa mida ya saa mbili usiku nililala, nililalia jicho la kushoto. Nikaota ndoto kuna mtu kasimama mbele yangu ila nilipokuwa nainua macho kumtizama usoni nilikuwa nashindwa (sikumuona uso). Sasa ghafla nikajikuta nasex naye mno, katika...
  2. JamiiForums Tanzania SoC01 Usitafute ajira bali tengeneza ajira

    Daima wazo la mtu ndiyo kitu pekee anachoweza kutumia kubadilisha mfumo mzima wa maisha yake, ninaandika andiko hili nikiwaangalia vijana kama Maxence Melo aliyeanzisha JamiiForums na Milladi Ayo mwanzilishi wa Ayo Tv, hawa ni baadhi ya watu walioamua kutengeneza ajira za wengine badala ya wao...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Ndoto za Mchana za Wahenga

    [CHANZO: Pinterest] Wasifu wa mhenga wa kigeni Kabla hawajazaliwa wazee wa wazee wetu, katika shamba moja mbali sana kutoka kijijini kwetu, alizaliwa mtoto. Kabla hujaweka maneno katika aya zangu, huyu si yule mtoto wa vitabuni, aliyezaliwa katika zizi la ng’ombe na kuletewa zawadi nyingi na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Najuta kuwa na huyu mwanaume katika maisha yangu. Ameharibu ndoto zangu, najiona si binadamu tena

    ...
  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Dada alivyohitimisha maisha ya ndoto yake

    Anaitwa Bahati, tangu akiwa mdogo alishaamua atapambana na maisha na kuboresha maisha ya familia yao. Baba yake alikua Mchungaji wa kanisa, mama mwalimu. Wakizaliwa sita na kati ya hao wa kike walikua wanne. Baba yao alipokea wageni wengi wa kanisa kutoka nchi mbalimbali. Kuna wakati...
  6. JamiiForums Tanzania Chunya, Mbeya: Ndoto ya Hamza kujenga shule yaacha simanzi

    Summary Ndoto ya marehemu Hamza Mohamed ya kujenga vyumba vya madarasa wilayani Chunya imeacha simazi miongoni mwa wanavijiji waliokuwa wkaiishi naye. By Hawa Mathias Mbeya. Wakati bado kukiwa na majonzi ya vifo vya askari polisi waliokuwa wakipambana na mfanyabiashara wa madini, Hamza...
  7. JamiiForums Tanzania Ndoto ni matokeo ya ubongo kupumzika, hazina maana yeyote zipuuzeni

    Habari wakuu, Kama unaota unakimbizwa na majini, unaota mtoto wako wa kumzaa sio wako, unaota upo darasani mnafundishwa na lecturer ilihali ulishamaliza chuo kitambo na upo kazini tayari, unaota ndugu yako kafariki, unaota umekuwa Raisi wa JMT ili hali hujawahi kuwa hata barozi wa nyumba...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa huwa zinaua ndoto zenu za maisha?

    Wajumbe Wazima? Ni yuleyule Mr. Liverpool from Anfield. Baada ya salamu hebu twende direct kwenye mada. Kwanini mkishaoa huwa ndoto zenu zina kufa? Scenario 01:- Walimu wa2 from Songwe. Hawa jamaa nilikutana nao 2012 Tunduma, tukawa marafiki. Kwenye maongezi yetu nikagundua waliajiriwa 2011...
  9. JamiiForums Tanzania India: Kijana alivyopoteza maisha kwa ajali wakati akifanyia majaribio helikopta aliyokuwa akiiunda

    Nakumbuka hata hapa nchini kuna taarifa kadhaa zinazoelezea juu ya uundwaji wa chombo hichi, na hata kumewahi kutoka lawama ni kwa nini hwapewi kibali cha kujaribu Vifaa vyao hivi. Ingawa wanasema huwezi kujua ufanishi bila kujaribu lakini nadhani kuna mashine na mashine. Hii imetokea India...
  10. JamiiForums Tanzania Unahisi umefikia asilimia ngapi ya ndoto zako?

    Kwanza kabisa nianze kwa kuwapa Hi wana jamvi wote. Kama ilivyo kawaida kwa binadam mwenye akili timamu hua anakua na ndoto/kutamani kuishi maisha fulani hiviii. Sasa nakuuliza mwana jukwaa wew unahisi umefikia asilimia ngapi za ndoto zako? Mim binafsi 5% maana niliokua nayatarajia kuyaona ni...
  11. JamiiForums Tanzania Namna nilivyofunga ndoa kwa harusi nzuri na kubwa (ya ndoto yangu) bila kuchangisha wala kukopa

    Wasalaam, Kuna wadau wanaumizwa sana na madeni ya harusi baada ya kufunga ndoa, inampelekea mtu mpaka muda wa miaka minne akilipa tu deni la harusi ya ndoa yake. Kuna jamaa mmoja kwenye Ofisi yangu ya zamani alifunga ndoa kwa sherehe kubwa na baada ya miezi mmoja akawa anadaiwa karibia na kila...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Jukumu la kutengeneza ajira lianzie kwenye ngazi ya familia

    Asiye kujua hakuthamini, lakini vile vile uchungu wa mwana aujuaye mzazi, hakuna mzazi anayependa kuona mtoto wake anateseka au anaishia kuwa na maisha duni, kila mzazi anashughuli inayomuingizia kipato cha kulisha familia na kuendesha familia, kwa kuajiliwa au kujiajiri, Hapa nchini kwetu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Su Bingtian, mwanariadha anayekimbia kwa ajili ya ndoto

    Tarehe Mosi Agosti, jioni, mwanariadha wa China Su Bingtian alionekana katika fainali ya mbio za mita 100 kwa wanaume katika Michezo ya Olimpiki ya Tokyo. Hii ni mara ya kwanza kwa mwanariadha wa China kuonekana kwenye fainali ya mbio hizo katika Michezo ya Olimpiki. Mwishowe, Su alishika...
  14. JamiiForums Tanzania Usikate tamaa, tumezaliwa tukiwa tayari ni washindi

    TUSIKATE TAMAA. Ukijiona upo duniani basi jua tayari wewe ni mshindi,usiseme huwezi chochote.uwepo wako hapa duniani ni ishara tosha wewe umeshinda ndio maana uko hapa. Wakati baba alipomwaga maji ya uzazi yenye ujazo wa kijiko kimoja basi ujazo huo ulikuwa na seli zaidi ya milioni moja wakati...
  15. JamiiForums Tanzania Ipe bajeti nyumba ya ndoto yangu

  16. JamiiForums Tanzania Endapo hii ndoto inatoka kwa Mungu, basi hatuna budi kuliombea Taifa. Hatari itatokea karibuni

    Habari wadau! Leo nimeota ndoto mbaya sana, nimeona watu waume kwa wake wakiwa wanalia, nimeona machozi na damu katika ndoto. Nimeona mji ukiwa umetulia tulii mara ghafla fujo ikatawala,taharuki ikaukumba mji wote. Ndoto yenyewe: Nimeota nimeenda kumtembelea jamaa yangu anayeishi maeneo ya...
  17. JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya hizi ndoto?

    Ok
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa tafsiri ya ndoto hii

    Habari wakuu, Kabla sijalala nilimuomba MUNGU anifunulie jambo fulani kupitia ndoto, sasa nilipolala nimeota Niko na kaka yangu namsindikiza safari akanipa dumu/galoni limejaa divai/whine nikawa nakunywa kwa kulimiminia mdomoni huku tukiendelea kupiga story. Itakuwa na maana gani?
  19. JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ndoto hii: Niko juu ya mbuyu na wachawi. Je, Kissendi anataka niwe mchawi?

    Historia yangu kwa ufupi Mimi ni mzaliwa wa pili tena ni mzaliwa wa Kwanza. Mama yangu ana watoto watatu na Mimi ndiye mzaliwa wake wa pili kati ya watoto watatu. Kwa baba tuko wanaume wanne na wa kike wawili ila Mimi ndiye mkubwa kabisa. Baba yetu alishatangulia mbele za haki miaka ya...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na miaka 60 - 67 unaweza kuwa na ndoto za miaka 20 mbele?

    Nimekutana na mzee mmoja mstaafu katika kuongea nae nikagundua ana mipangilio ya miaka mingi mbele. Mosi: Ana eneo ekari 5-6 Kongowe ya Mbagala hapa ana ndoto ya kujenga shule. Pili: Ana eneo ekari moja Mabwepande hapa ana mpango wa kujenga nyumba za kupangisha. Tatu: Ana eneo ekari moja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…