🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamani.....kuna vitu vinafurahisha sanaJana usiku nimeota eti nimejinyea hapa sina naomba kujua you inamaana gani kwenye ulimwengu wa roho
Jana usiku nimeota eti nimejinyea hapa sina naomba kujua you inamaana gani kwenye ulimwengu wa roho
Mkuu PM yangu imeharibika meseji haziji ningekwambia uje pm nikupe maana halisi ya ndoto yako. Hebu jaribu kuni pm nitafungua meseji kwenye kompyuta badala ya app ya simu nikujibu.Jana usiku nimeota eti nimejinyea hapa sina naomba kujua you inamaana gani kwenye ulimwengu wa roho
Good money na Mavvi?Good money is coming your way. Get prepared