ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Kivipi mikopo itawainua watanzania hasa vijana na sio kuwa janga linalo sababisha maafa na kuaribu ndoto za wengi

    Mikopo rahisi na rafiki ni miongoni mwa njia bora kabisa inayo weza kuwainua watanzania wengi hasa vijana kwa kutoa fursa ya kupata mitaji na kuwezesha ndoto,ubunifu ,ujuzi na vipaji mbalimbali walivo navyo vijana hii itapelekea kupunguwa kwa wimbi kubwa la vijana wasio na ajira mitaani na...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha ndoto za vijana wengi kufa?

    Mimi Nina miaka kadhaa namtumikia Mungu chini ya huduma ya Synagogue of Christ ministry lakini swali langu ni; Nini kinaua ndoto za vijana wengi?
  3. JamiiForums Tanzania Ndoto hizi zimenichosha

    Habari zenu kwa ujumla Nimekuwa nikiota ndoto zinazofanana fanana. Iko hivi mimi naishi Dodoma, ila ni mwenyeji wa Lindi. Nimezaliwa huko na kusoma huko mpaka secondary. Chuo nikatoka kwenda mikoa mimgine. Kuanzia hapo nikawa narudi Lindi kama mgeni. Miaka 5 nyuma tulihamisha makazi na kuhamia...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa tafsiri za ndoto hizi

    Habari zenu wakuu najua humu nitapata ushauri or tiba sahihi, Kuna ndoto usiku wa kumkia Leo imenitesa Sana mpaka saa 11.36 alfajiri nilivyo kuja kumshwa Tena kwakua nilikua nawakela watu kwa kelele za kuwafukuza watu, hii ndoto imejirudia zaidi ya Mara 6 nikisinzia nahamishwa katika uwanja wa...
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo?

    Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli?

    Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli? Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa ya rushwa. Rushwa ni kizuizi kikubwa kwa maendeleo yetu, kwani inakatisha tamaa uwekezaji, inasababisha ukosefu wa usawa, na...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna ndoto tatu niliota zilinistaajabisha sana

    Ndoto ya kwanza Niliota mimi flani nimezaliwa mwaka 1800's na ukijimlisha miaka 100 ni miaka ya 1900's ndo utapata mwaka niliozaliwa hii ndoto niliota kwa msisitizo mkubwa sana na ilinistaajabisha sana Ndoto ya pili Niliota niko sehemu ila kuna nyoka wengi wametapakaa kila mahali najaribu...
  8. JamiiForums Tanzania Maelezo ya ndoto ambazo huota ukiwa shuleni

    Habari Nimekua nikipokea maswali mengi kuhusu ndoto ukiwa shule na leo ningependa kutolea ufafanuzi wa ndoto hizi kama ifuatavyo 1. Kwanza kabisa hizi ndoto hukupatia ujumbe jinsi mwili wako unavyoshambuliwa na nguvu za giza 2.Kadri changamoto zinavyokua nyingi shuleni ndivyo jinsi...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Gwau: Kusoma kwa bidii ni kuishi kwenye ndoto zako

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau ameshiriki Mahafali ya kidato cha sita Shule ya sekondari ya wasichana Tumaini iliyopo Kinampanda Wilaya ya Iramba akiwa mgeni rasmi wa mahafali hayo. Katika mahafali hayo, Mhe. Martha Nehemia Gwau aliambatana na wageni mbalimbali...
  10. JamiiForums Tanzania Ndoto ambazo nimekuwa nikiziota kwa muda mrefu sasa na kiukweli zinanitesa sana

    Wasalaaaam Ndugu, jamaa na marafiki Naamini mpo salama na majukumu ya kujijenga kiuchumi na kijamii yanaendelea Mimi ni kijana niliyejiajiri, umri wangu naelekea katika third flow Nina ndoto ambazo nimekuwa nikiziota kwa muda mrefu sasa na kiukweli zinanitesa sana na zinaniumiza sana, Naomba...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa kutafsiri Ndoto

    Wakuu habari ya mihangaiko Ni kwamba nimekuwa nikiota nipo uwanjani nacheza mpira (football). Inaweza ikawa katika nafasi tofauti tofauti ila mara nyingi nacheza forward. Kinachonikwaza/Kushangaza katika ndoto hizo ni pale ninaposhindwa kutumia nafasi muhimu, let say kumalizia tuu kufunga goli...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya rafiki yangu wa karibu

    Habar za jumamosi wana-jamiiforums, Moja kwa moja naomba nishee nanyi kisa kimoja kinachomkuta mtu wa karibu ambaye aliamua kushea namimi hili jambo lake Huyu jamaa yangu tulikuw pamoja enzi za utoto wetu , sasa huyu jamaa huwa na tabia ya kuota ndoto na mara nyingi hutokea au linatokea jambo...
  13. JamiiForums Tanzania Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ" "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Che Malone:Ni ndoto ya kila mchezaji duniani kote kushinda mataji na kucheza kwenye timu kubwa yenye malengo makubwa

    Nakutakia kila la kheri Kaka.
  15. JamiiForums Tanzania Je Ndoto ya kugombea Urais inaweza kusahaulika kwa kuvimbishwa Asali?

    Ebu tupitie vugu vugu la kuelekea uchafuzi mwaka 2025. Rais wa sasa huyu mtoeni na hana sifa za umri na kikatiba, wajibu wake kiumri, kichama na kikatiba yeye anapaswa kwenda kulea wajukuu huo ndio umri sahihi wa miaka 65 mwakani. Pia genge lolote linalotaka kujisahaulisha mtazamo wao...
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Ndoto ya kila Mwanaume

  17. JamiiForums Tanzania Kuna wakati unahisi kama vile ni ndoto ila sio ndoto, ndiyo maisha halisi

    Kuna muda kila kitu kina kua shakarabaghara. Uchumi Mahusiano Basi tu
  18. JamiiForums Tanzania Amefanya mapenzi na mwanamke wa ndoto yake kisha akagundua mwanamke huyo alizaliwa na VVU, je yuko salama?

    Alianza kumfuatilia mrembo huyo miezi kwa miezi kadhaa bila mafanikio, mtoto kaumbika, rangi ya mtume. Binti huyo alimaliza chuo mwaka juzi na kaajiriwa dar kwenye kampuni moja kubwa tu. Alikua na mtoto mmoja aliemzaa mara tu baada ya kumaliza chuo Mwezi uliopita jamaa ndipo alipewa tunda mara...
  19. JamiiForums Tanzania Ricardo Kaka: Mlokole safi aliezima ndoto na ufalme wa Manuel Rui Costa pale Milan

    Zamani sana Jijini Milan nchini Italia miaka 16 iliopita kulikuwa na jina la Playmaker mmoja mstaarabu mno, muungwana kutoka Mji wa vipaji wa Sao Paulo ni kama vile Morogoro kwa Tanzania, Ricardo Izecson dos Santos Leite maarufu kama 'Kakà' Nani asiyemkumbuka fundi huyu ambaye anatua uwanja wa...
  20. JamiiForums Tanzania Biashara ya kutengeneza na kuuza, ndio itakayo timiza ndoto zako

    Biashara yoyote inahitaji uvumilivu; wengi wanaamua kufunga biashara zao na kulalamika kwa sababu wanakuwa wamekosa uvumilivu. Na hasa ukiingia kwenye hii biashara ya kutengeneza na kuuza, muda mwingi wewe unakuwa unatoa pesa tu; mpaka uje uanze kuona faida inachukua muda mrefu. Unapotaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…