ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, ni ndoto gani ya ajabu ambayo umewahi kuota?

    Wakuu leo tupige stori nyepesi. Mambo ya Hamas, Karia & TFF, Siasa, Simba na Yanga tuweke kando kwa muda. Ni ndoto gani uliyowahi kuota ikakushangaza? Binafsi kuna siku niliota nimekaa sehemu maeneo ya Mburahati Madoto ninakunywa pepsi mara ghafla katokea Aliko Dangote kachoka mbaya anaomba...
  2. Ndoto za Wanafunzi "Mashahidi" Waliouawa na uvamizi wa Mazayuni

    Halafu anakuja mtu from nowhere anaumia na kifo cha mtanzania mmoja! 2 days ago Inasikitisha sana kuona watu wasio na hatia wakiuawa, wakijeruhiwa na wengine kuachwa wakiwa katika ulemavu ilhali kuna watanzania wanafurahia! Lakini pia msifikiri waliokufa ni maiti, Laa👇 وَلَا تَحْسَبَنَّ...
  3. Ndoto ya Mtanzania aliyechinjwa na HAMAS ilikua kuanzisha kilimo biashara akirudi nyumbani

    Dogo alisomea ukulima pale Morogoro kisha akapata fursa ya kwenda kuongeza elimu na maarifa Israel, yeye ndiye mtoto wa kwanza kwenye familia yenye watoto watano, ndoto yake ilikua akirudi nyumbani afanye ukulima biashara ila magaidi ya kidini yalikua na mawazo mengine. Mashabiki wa hayo magaidi...
  4. Mbunge Cherehani: Vijana Msikate Tamaa Mnapoanza Mapambano ya Kufikia Ndoto Zenu

    “Ukiona kazi haina upinzani achana nayo, kazi yoyote ambayo ina maslahi kwa watu lazima iwe na upinzani,” - Mbunge Cherehani Mbunge wa Ushetu mkoani Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani amewasihi vijana kutokata tamaa pindi wanapoanza mapambano ya kuzifikia ndoto zao Mhe. Cherekani amesemaa hayo...
  5. Hii ndoto ina maana gani?

    Hapo vip!! Naomba mtu mwenye tafsiri kamili ya hii ndoto. Jana nimeota nipo eneo fulani hivi, nikiangalia nimevaa shati jeupe na kuna watu nipo naona karibu japi siwajui ila miongoni mwa hao watu akawa kuna mmoja kama anajaribu kukwepa ndege anayeitwa popo anayezinguka juu akipaa akiwa...
  6. Kwanini wamasai wengi wameridhika na kazi za ulinzi? Je, huwa ni ndoto zao?

    Walinzi wengi ni wamasai na wanaonekana kuipenda na kutokuchoshwa na kazi hii ya ulinzi , je ndiyo ndoto yao kubwa na yenye sifa?
  7. U

    Nawaita wataalamu wa ndoto, wachawi , wajuvi wa mambo, wadadisi, wanazuoni, mafundi wa masuala ya kiroho. Mnipe jawabu ya hili jambo

    Suala langu: Nimekuwa nikisikia Mengi kuhusu ndoto, Wengine mara oohh sijui mlango wa kuyaona yaliyopo nyuma ya Dunia, Mambo yasiyoonekana etc. Wengine wanasema kuwa ndoto ni matukio ambayo tunayafanya kila siku...yanajikusanya. Swali langu:. Kwanini Hajawahi tokea Binadamu yoyote akaota...
  8. L

    Karakana ya Luban yasaidia vijana wa Afrika kutimiza ndoto zao

    Miaka 600 iliyopita, baharia wa China Zheng He aliongoza kikosi cha majahazi kusafiri hadi kwenye pwani ya mashariki ya Afrika mara nne, na kwamba Njia ya Hariri Baharini ilishuhudia historia ndefu ya mawasiliano kati ya China na Afrika. Miaka 600 baadaye, karakana za Luban zilipewa jina la...
  9. J

    Mbowe: Tozo ya Matangazo kwenye Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri

    Mwenyekiti wa Chadema Mbowe anesema Tozo/Kodi inayotarajiwa kuwekwa kwenye Matangazo ya Facebook itawapunguzia Vijana Kipato na Fursa za Kujiajiri. Mbowe anesema Maisha ya Vijana wa Tanzania ni ya kuungaunga hayana Afya yoyote hivyo ni vema Serikali ikawaangalia kwa jicho la Huruma. Jumaa...
  10. Pesa ikikubali nitatimka bongo nikaishi Sweden

    Tangu mdogo nasoma, kuna familia jirani na kwetu walikua wakishua sana. Watoto wa ile familia kila wakija kumsalimu Babu yangu nyumbani, walikua wanamletea zawadi nyingi na vitu vya thamani sana. Babu hakuishia hapo, muda mwingi alinijaza stori kuwa hawa jirani zako unao waona, wako sweden...
  11. Je, mzazi wako alishiriki kwa kiasi gani kuua ndoto zako?

    Je, Lilikuwa ni kosa lake au mfumo wa maisha ndio ulimfanya awe hivo?
  12. "Samia Bridge" Ndoto inayoishi na itakayokamilishwa na awamu hii ya 6.

    Ndoto iliyopitishwa!! Usiku ule nikiwa ndotoni ghafla nikaona madaraja matatu mazuri ambayo ni msaada mkubwa kwa wananchi wote; Nyerere bridge, Busisi bridge na Samia Bridge!! Daraja moja limeanzishwa na kujengwa na Mama mzaliwa wa visiwa vya Zanzibar hadi kukamilika hivyo kwa kuheshimu na...
  13. ITV imenunuliwa na mafisadi kutorusha habari za Makonda?

    Baada ya kufariki dunia Dk. Reginald Abraham Mengi Kituo cha Televisheni cha ITV kimebadili mtizamo wake kutoka kuwa chombo kimbilio la wanyonge na chombo makini cha kuanika maovu ndani ya jamii leo kimegeuka kuwa jukwaa la machawa na watuhumiwa wa ufisadi. Tangu Makonda ameteuliwa ITV hawataki...
  14. Kijana mwenye ndoto ya kujisomesha usiwe na haraka sana. Hiyo ada uliyojichanga izungushe kwenye biashara kwanza

    Mwaka 2015 nilipata Admission ya kwenda kusoma Masters kwenye ujasiriamali pale UDSM. Nilishapokea maelekezo yote ikabakia kulipa tu ada. Nilivyojicheki nikaona hadi wakati ule nilikuwa nina pesa ya kulipa ada na gharama zingine kwa mwaka mmoja tu. Hata kama Masters sio muda mrefu bado pesa...
  15. M

    Nina miaka 27, bado nina ndoto ya kuwa Daktari (Médical Doctor)

    Mimi ni kijana wa kiume miaka 27 'nilimaliza Form 4 2013 nikapata division 3 lakini nikakosa nafasi form 5 Since day one ndoto yangu ilikuwa ni kuwa DAKTARI +Business man 2014 nikachomoka Moshi Kuja Dar ku strugle Nimepambana from 2014 up to this moment MUngu akanibariki kiuchumi kwa kiasi...
  16. Niliamua kukunja jamvi - Ndoto ya Machimbo.com

    Habari wanajamvi, Natumaini kuwa mnaendelea vizuri. Moja kwa moja kwenye mada... Nakumbuka nilikuja kwenu na wazo majuzi. Nilitamani kutengeneza mfumo utakao wawezesha wateja kununua kwa bei ndogo na wauzaji kuwafikia wanunuzi moja kwa moja. Nikiwa "chini ya maji", nilipitia phases kadhaa...
  17. Ndoto niliyoiota alfajiri ya leo imeniogopesha sana, sidhani kama ilikuwa ni ndoto ya dhiki kuu ijayo Tanzania

    Nimeota tumepewa paund 200 na bibi yangu, kila mmoja, mama yangu, mimi na mdogo wangu. Niko kwenye eneo kùbwa la wazi, ni kama karakana, supervisor mzungu akanifuata akaniambia niondoke hapo mara moja. Hali ni mbaya sana nitafute eneo salama. Nikaingia ndani ya nyumba, na mara ghafla mvua...
  18. Mwenye maono ya ndoto kuja hapa

    Salaam! Kwanza nimshukuru Mungu kwa uzima na uhai hadi sasa nipo safi na njema sana, then am going straight to the point mimi ni kawaida yangu kupata ndoto every day lakini jana nilipata ndoto ambayo iliniamsha na imenishitua. Kwenye ndoto nimeona kama napigiwa simu na shangazi yangu alikuw...
  19. Nimeota Al Ahly ikishinda 0-4, wapinzani wao sikuona ni timu gani

    Habari za wikiendi na skukuu ya Baba wa Taifa. Bila kuchelewa ngoja niende kwenye mada husika. Usiku wa jana kuamkia leo nileota ndoto ya ajabu mpaka hivi sasa cjajua inamaana gani. Nimeota Al Ahly ya Misri ikishinda magoli 4-0 huku wapinzani wao sikuweza kuwaona ni timu gani. Mwenye ujuzi wa...
  20. Tafsiri ya ndoto: Kioo cha simu kupasuka

    Aina mbili za ndoto ni :- i. Symbolic dream (yenye fumbo) ii. Reality dream (isiyo na fumbo) Tangu nilipoanza kufatilia na kuandika ndoto zote ninazozipata ndoto hii ya simu kupasuka kioo ilikua ndio ndoto ya kwanza yenye fumbo mimi kung'amua kuwa napewa ujumbe gani. Kuna mambo mengi ambayo si...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…