ndoto

Ndoto Za Elibidi is a 2010 Kenyan film.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    Huenda Rais Biden, akajiondoa /akalazimishwa kujiondoa kinyang'anyiro Cha Urais 2024?

  2. Kaka yake shetani

    Kungunduliwa sehemu zilizowekwa maiti nyingi huko kenya mukuru ni baada ndoto kumtokea dada yake aliyepoletewa na mdogo wake.

    kuna elimu hapa japo niligusia ila sikuona watu kuweka maanani ila ni ukweli kwamba roho za watu kama zijatakiwa kufa ni ngumu kuondoka. Huyu dada alisimulia kuhusu mdogo wake alitoweka na hakupatikana ila kuna siku ndoto aliota ikimuelekeza kuhusu yeye yupo wapi ambalo eneo la mukuru na kweli...
  3. ndege JOHN

    Nimeota mimi mwanajeshi vitani, ilivyofika kuanza operation msituni nikashtuka fasta usingizini

    Kifo kisikie tu ila Ikifika zamu ya kukabiliana nacho huwa ni kizaa zaa. Huwa nacheza ma game ya combat au frontlines heroes naona tu raha kuwaua maadui. Paah Paah napiga tu risasi kwenye simu sasa leo mapema alfajiri ikanijia ndoto kama unavyojua ndoto mwili unahisi kitu una ki perform live...
  4. FK21

    Je, ni kweli ndoto zina maana?

    Hivi Je Kweli ndoto Zina maana yoyote ile? Maana mimi kuna ndoto inanirudia rudia sana nakuwa naongea na mtu ambae nina muda siongei naye na wala sina access nae tena. Tena kuna ujumbe wowote hapo au mawazo tu maana nina week sasa naota tunazungumza nae nashtuka sasa nashindwa kuelewa
  5. ndege JOHN

    Nalipenda draft shida naliotaga usiku nikianza kulicheza badala ya kuota ndoto za kitajiri

    Draft linazingua kinyama ukiliacha kucheza muda mrefu ukirudi kucheza game na wazoefu utafungwa hata kama unalijuaga.. Sasa kitendo cha kutamani kufungua fumbua code za ushindi kinapelekea usiku eti umelala unaanza kuwaza mbinu unaanza kubuni mitego ya draft si ujinga huo? Badala uwaze una...
  6. Arch Barrel

    Mara nyingii nyakati za usiku nimekuwa nikiota ndoto nikiwa naongoea na watu waliokufa hasa baba yangu mzazi

    Habari za usiku wanaJF , ndugu zangu naomba nipate msaada kutota kwenu. Mara nyingii nyakati za usiku nimekuwa nikiota ndoto nikiwa naongoea na watu waliokufa hasa baba yangu mzazi na mdogo anaenifuata. hawa wote ni wafu, Mdogo wangu alitangulia kufarikiriki December 2010 kipindi hicho mimi...
  7. B

    SoC04 Kujenga Tanzania ya Ndoto ya Mtanzania

    Tanzania ni nchi iliyojaaliwa kuwa tofauti na nchi zingine za Afrika Mashariki na Afrika; kijiografia imebarikiwa kuwa na eneo kubwa la ardhi kutosha kwa kilimo, vyanzo vya maji na bahari yenye ukanda mrefu wa pwani na vivutio vya utalii vyenye umaarufu mkubwa duniani. Kijamii, imebahatika kuwa...
  8. sos_10

    SoC04 Vijana wasomi na mikakati ya kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kiafrika zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana wasomi wanaohitimu katika taasisi mbalimbali za elimu ya juu. Utafiti uliofanyika mwaka 2019 na Taasisi ya utafiti wa kupunguza umasikini (REPOA) ilionyesha takribani vijana milioni moja...
  9. Mhafidhina07

    msaada wa tafsiri ya ndoto hii.

    nimeota kuwa nipo class na wenzangu mwalimu/msimamizi akatuambia who want do survey?and if there's no any body please join to examination room. mimi binafsi sikuwa na chaguo nikabakia baadae nikaona ndoto imenipeleka sehemu n6je ya chumba tunapanga madawati kwa ajili ya mtihai ila sharti la...
  10. BIG STONE AND CONER STONE

    Ndoto Juu ya nchi Yangu (I have a Dream )

    Naota kuna Raisi Ajaye ambaye Atakuwa zaidi Ya Magu🔒 Kwa tabia ma Matendo ila sio mwongeaji ni vitendo tu. Kwa matendo na kwa kusimamia sharia, misimamo mikali. Ataunda uchunguzi wa karbu kila kitu' mikataba yote..uhalali wake , faida na hasara zake. Atafumua mikataba yote Ya kinyonyaji kuanzia...
  11. T

    Nimeota ndoto ya kutisha sana: Alipomaliza tu kuchangiwa ukaja mtafaruku mbaya sana

    Ukweli mimi sio muota ndoto maarufu sana wala sio mbashiri ila usiku wa leo nimeota kumetokea mtafaruku mkubwa sana, uliosababishwa na mtu aliyechangiwa gari na wanachama kwa mapenzi ya dhati kabisa kuamua kukaa pembeni. Zaidi ya hayo nikaona anga lililo juu ya yule ndugu lina moshi rangi ya...
  12. D

    SoC04 Kufahamu ndoto na kipaji cha mtoto inasaidia kujenga wafanyakazi mahiri wa kesho

    Hakuna kitu kizuri kama kufanya kazi ambayo ipo kwenye damu yako, uipendayo kwa muda mrefu. Kwa nchi za wenzetu zilizoendelea ni kwamba mtoto huwa mtu huwa anaandaliwa kuwa mfanyakazi fulani tangu kipindi akiwa mdogo, ambapo wazazi huwa wanatazama mwenendo wa mtoto katika michezo ambayo...
  13. Under-cover

    Anayeweza kuitafsiri hii ndoto anisaidie

    Samahani, mimi leo nimeamka nikapigiwa simu na mdogo angu akanambia kuwa mama yetu aliota usiku wa kuamkia leo kuhusu mimi, kuwa nilikuwa niko porini, alafu watu wananisemesha ila mimi siwasikii. NDOTO HIYO. Baadae saa 11 jioni, nilikuwa chumbani peke angu alafu mlango nilikuwa nimeuegesha ila...
  14. M

    Umri wa miaka 40+ wengi hukubali matokeo yoyote, ndoto nyingi hufa kwenye miaka 20

    WASIKILIZE WATU WENYE MIAKA 40+ 1.Wengi wameolewa/kuoa na ambao hawakujipangia wakiwa na miaka 20 2 .Wengi wameridhika na mafanikio ambayo sio yao 3 Wachache sana utakuta bado wanapambania ndoto zao. 4 Wengi ndio waumini wa kauli ya "MAISHA NDIO HAYA HAYA" 😔 5 Wengi ndio waumini wa kauli ya...
  15. JOHNGERVAS

    Nini kilikufanya usifikie ndoto yako ya Upadrisho?

    Wakuu zamani vijana wengi wa kikatoliki moja kati ya ndoto zetu ilikuwa ni kuwa Mapadre. Mimi binafsi nilijichanganya sana Huko Rombo, parokia ya Mkuu wakati huo nilikuwa napenda sana Shirika la mtakataifu Aloyce, kutumikia altareni huku ndoto zetu ikiwa ni baadae kwenda seminari hadi Upadrisho...
  16. nkotany hamenyimana

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Ndoto ya taifa lenye maendeleo endelevu

    1. Usawa: Usawa ni kipengele muhimu katika kujenga taifa lenye mshikamano na maendeleo ya kudumu. Tanzania inahitaji kuzingatia usawa katika nyanja mbalimbali Kijinsia: Lengo ni kuhakikisha kuwa wanawake na wanaume wanapata fursa sawa katika kila nyanja ya maisha. Hii inajumuisha upatikanaji wa...
  17. Bob Manson

    Ni muda sasa sijawahi kumbuka ndoto yoyote niliyoota

    Habari za asubuhi wadau Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja. Ni muda mrefu sina kumbukumbu ya ndoto yoyote ile, naota ndoto zaidi ya tatu lakini asubuhi ifikapo...
  18. mbasa ya konge

    Nimeota nimeua simba halafu watu wakaninyanyua juu na kunishangilia kama shujaa, ndoto hii ina maana gani?

    Usiku wa kuamkia Leo nimeota nimeua Simba baada kumuua huyo Simba baadhi ya watu wakanibeba kwenye mabega Yao wakinipitisha Kila mtaa huku wakiimba "Shujaa wa nchi". Asubuhii hii nimemshirikisha ndugu yangu mmoja kuhusu hiyo ndoto na amaitafasiri kwa kuniambia kuwa nitakuwa raisi mwaka ujao...
  19. Mr_Ndagiwe99

    SoC04 Ajira sio ndoto tena, ni haki: Kutetea haki ya kila kijana kupata ajira bora nchini Tanzania

    Utangulizi: Vijana ni injini ya maendeleo ya taifa lolote. Wakiwa na nguvu, ubunifu, na ari ya kujifunza, wana uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa chanya katika jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania, vijana wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira. Takwimu zinaonyesha hali mbaya: zaidi...
Back
Top Bottom