ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Anayeoa hajui ndoa na anayeolewa hajui ndoa. Usela endelevu hauna tiba

    Hello, Je waoaji na waolewaji wanafahamu na kupata maarifa ya kutosha kuhusu ndoa, why ndoa? Uishije ndoa? Road map ya ndoa inarejea msingi ngapi na ni zipi. Usipojua haya huna tofauti na masela wenye jinsia tofauti ila wako ghetto na wana mishe mishe fulani. Hitimisho kama walioa na...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume afariki akifanya tendo la ndoa, mwanamke asema "Alihema kwa kasi kisha akaanguka pu!"

    Mwanaume mmoja amefariki dunia wakati akiwa faragha na mpenzi wake katika nyumba ya wageni kwenye ghorofa moja jijini Nairobi. Taarifa za Polisi zinasema, Joseph Ngaruiya umri miaka 40, anadaiwa kupata shida ya kupumua akiwa na mpenzi wake katika vyumba vya Myra, Jumatatu, Februari 28, 2022...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoa ya Kim Kardashian na Kanye West yavunjika rasmi

    Kim Kardashian hatimaye ametalakiana rasmi na mume wake YE aliyejulikana kama Kanye West baada ya ndoa yao kudumu kwa miaka minane. Katika uamuzi wa mahakama uliotolewa kupitia njia ya video nyota huyo pia ameondoa jina la West kutoka katika jina lake la Kim Kardashian West na kuwa Kim...
  4. JamiiForums Tanzania TCRA /COSOTA au Mamlaka zinazohusika hamuoni tamthilia ya BONDITA Azam two unavyoharibu watoto kwa kuhamasishwa ndoa za utotoni.?

    -Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri. -Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu'' -watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework -Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni? -Ee...
  5. JamiiForums Tanzania Jiweke Imara kwa Tendo la Ndoa

    Hello Hello WanaJF Wanaume! Kula hivi Mwanamke mlishe mumeo/hawara/mpenzi 1.Supu ya maharage 2.Maziwa mtindi 3. Mtori 4. Kitunguu swaumu walau punje 5 5. Asali 6. Nafaka-mbegu za maboga, Karanga 7. Jogging au zoezi la kukimbia 8. Tambua vitu vinavyokutoa stress na kukupa tabasamu 9. Epuka...
  6. JamiiForums Tanzania Ni heri kubariki ndoa kuliko kufunga harusi

    Nimechukua miaka miwili kuchunguza hili Jambo, kwanini ndoa za siku hizi hazidumu na zimesongwa na milima mingi na mabonde kuliko tambarare. Kila mara watu wanatumia nguvu nyingi kuendesha mahusiano yaliyokufa ndani ya nafsi japo Yana heshima kubwa mbele ya macho ya watu. Baada ya uchunguzi...
  7. JamiiForums Tanzania Amsaidia mwenziye asifukuzwe kazi ili amlee vizuri mtoto wake

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwenye maisha unaweza kufanya jambo lakini baadae ukajutia na kutamani kurudi nyuma lakini ndio hivyo haiwezekani. Ni kama simulizi lakini ni ukweli mtupu umemtokea jamaa mmoja kwenye moja ya majeshi yetu...
  8. JamiiForums Tanzania Mwijaku,"Mke wa Alikiba amekula maisha mazuri, mumewe hajatelekeza ndoa"

    Mtangazaji na muigizaji, Mwijaku amefunguka sakata la Alikiba na mke wake Amina, akisema kuwa Alikiba hajaitelekeza ndoa yake. Mwijaku amesema hayo Jumamosi Februari 19, 2022 wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam baada ya kutumwa na Alikiba kumuwakilisha kwenye mkutano...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaishi maisha marefu kwenye ndoa

    Za asubuhi, Jumapili njema. Kuna kasumba ya wanaume wengi wa bongo kutangulia kufa na kuwaacha wake zao wakitanua. Najua kuna kitu unawaza ila nikuhakikishie tu kuwa hicho unachokiwaza ndio ukweli wa kasumba hii. Ila unajaribu kupingana na moyo wako. Usijali, upo sahihi. Vifo vingi vya...
  10. JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kipigo kutoka kwa mumewe

    Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Kanyarakata Kata ya Mbuluma Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, Albetina Mazwile (42) amefariki baada ya kupigwa fimbo katika sehemu mbalimbali za mwili wake na Mumewe na kupelekea kuvuja damu kwa ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, William Mwampaghale amesema...
  11. JamiiForums Tanzania Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

    Adai anaishi kwa stress baada ya kutelekezwa. ========= The wife of Tanzanian Superstar Ali Kiba has filed for divorce in Mombasa Kadhi's court after three years of marriage. Amina Khalef wants to dissolve her marriage with Ally Salehe Kiba, claiming stress and neglect. The two married under...
  12. JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 17 ajinyonga baada ya kuachika mara tatu kwenye ndoa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe amesema Rebecca Benjamini Mkazi wa Kata ya Izunya Wilaya ya Nyang'hwale mwenye umri wa miaka 17 amefariki dunia kwa kujinyonga kutokana na msongo wa mawazo baada ya kuwa anaachwa kila anapoolewa "Ameachika mara tatu kwenye ndoa" Mwaibambe...
  13. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu Usaliti wa wake za watu katika Ndoa

    Amani ya Bwana iwe baby I! Nawasilisha mtazamo Kwa nini tunaoa au kuolewa na je ni kwa namna impendezayo Mungu? Kwenye jibu hapana hilo tarajia usaliti utokee. Pilau ya nyumbani huzoeleka na pilau ya harusini haizoeleki. Na hii mazoea ni katika himaya ya shetani kifikra na kimatendo. Historia...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Looking for serious relationship

    Hello! Good morning everyone, my name is Dorcass, age 30 years, single, I don't have kids. I am looking for serious man later to be my husband. I need a person who loves himself and fear of God. First must be a Christian. I need someone older than me age between 35-40. Must be government or...
  15. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani huwafanya wanawake wengi walio katika ndoa kuendeleza mahusiano na ma-ex wao?

    Kuna wakati nawaonea huruma watu wanaoa na wenye mipango ya kuoa kama wanawake wenyewe kumbe wako hivi wakishaolewa na kupata mtoto au watoto wengi huanza harakati za kurudisha mahusiano yao na ex wake wa zamani. Kipindi cha nyuma nilikuwa nina amini wanawake wengi wakishaolewa huwa hubadilisha...
  16. JamiiForums Tanzania Alijikuta ameshiriki tendo na familia nzima

    Binti mrembo aliyebahatika kuolewa na kijana mhangaikaji sana. Yule kijana alifikia kufungua mini supermarket. Aliagizs tambua na makopo ya nyanya kutoka Italy, sabuni, na vyombo vya ndani kutoka Uturuki na bidhaa nyingi kutoka chini. Yote haya yalimfanya kijana kuwa busy mno, muda wake wa...
  17. JamiiForums Tanzania Uvumilivu na Umoja wa kweli Nguzo ya Ndoa ya kudumu

    Uvumilivu ni tiba na rutuba ya kupitia milima na mabonde ya ndoa. Umoja ni dawa chanjo ya uimara wa taasisi yaani ndoa. Wengine mtasema upendo mimi natumia umoja, na hii hutokea pale baadhi ya watu huingia kwa ndoa kama daraja la kuvuka shida zao au kufika malengo yao yasiohusiana na mwanandoa...
  18. JamiiForums Tanzania Valentine's day: Mungu huwaunganisha wapendanao kwa namna ya kipekee sana......

    Habari za muda huu ndugu jamaa na marafiki wapendwa hapa jamvini........ Leo nimekumbuka kisa cha rafiki yangu mmoja........ Miaka kadhaa nyuma baada ya rafiki yangu kupambana na usafiri wa umma hatimaye Mungu alimjaalia akapata kipando Cha miguu miwili(piki piki) Tulilipokea kwa furaha huku...
  19. JamiiForums Tanzania Eswatini: Mfalwe Mswati atoa amri kwa wanaume kuoa wanawake watano au kwenda jela maisha

    Katika hali isiyotarajiwa King Mswati wa Swaziland ametoa amri kwa Kila mwanaume nchini kwake kuoa wanawake watano. Kinyume na hapo atakaepinga atawajibika kutumikia kifungo cha maisha jela. Hayo yamesemwa tarehe 10 February 2022 na Mfalme huyo mwenye wake wengi na watoto wasiokua na idadi...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa mliooa tukutane hapa

    Kwenye kusaka mwenza utata ni mwingi Sana. Unaweza fika mahali ukahisi kuchoka kuhangaika kutafuta mwenza wa ndoto zako ili kupata alie Bora, matokea yake wote unaowachunguza kwa lengo zuri la kuoa unakutana na sintofaham mbalimbali ambazo ukizifikiria kwa undani unaona kabisa baadae unaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…