ndoa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe mahari zinafika milioni 7? Wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kutoolewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda

    kijana ana miaka 28 yupo normal kiuchumi ana shughuli zake, kapata mchumba mwenye 23, wanapendana perfect match, kufika kwao kupeleka posa wazazi wanahitaji MILIONI 7 wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kuto olewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda
  2. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umasikini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umasikini kupitia ndoa

    Asilimia kubwa ya wanawake hutoka kwenye umaskini kupitia ndoa, na asilimia kubwa ya wanaume huingia kwenye umaskini kupitia ndoa. 80% of the time, women escape poverty through marriage AND 80% of the time, men enter poverty through marriage. Nikuache na kibao cha KING KIKI -Baba Paroko...
  3. JamiiForums Tanzania Je wanaume wengi wanateseka kimya kimya kwenye ndoa zao?

    Leo kuna sehemu fulani nilikuwa nimekaa zangu nakunywa soda. Karibu yangu kulikuwa na baba mmoja wa makamo kidogo, alikuwa meza ya pembeni anakunywa pombe na tayari alikuwa amelewa chakalii. Ghafla nikamsikia anamwambia muhudumu: Usinione hivi, mimi nina mke na watoto watano. Nina gari nimepack...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba wa Ndoa, Mimi siyo Mtu wa kujichanganya sana na watu huko Mitaani ndiyo maana nimeleta hoja zangu hapa

    Habari wanajamii, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30’s, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi. Kwa ufupi kuhusu mimi: Urefu: sentimita 185 Muonekano: Mwembamba, mweusi Mtindo wa maisha: Baada ya majukumu ya siku...
  5. JamiiForums Tanzania CCM wameanza kusuluhisha matatizo ya ndoa

    Hatimaye chama kikongwe, sikivu na kinachotatua matatizo ya wananchi kwa wakati, wameanza kutoa huduma ya kutatua matatizo ya ndoa. Kama mke wako anakunyima unyumba, mchumba wako anakunyanyasa, hujaolewa au umeachika, usikate tamaa....CCM watakusaidia tatizo lako ndani ya muda mfupi...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wapole hatari sana kwenye ndoa why??

    ‎Why Silent Wives Are the Most Dangerous Wives in Marriage - By Bisi Adewale ‎ ‎Silence in a wife is not peace. ‎Silence is not submission. ‎Silence is not maturity. ‎Most times, silence is a funeral song, quietly announcing that something precious in the marriage is dying. ‎ ‎As a marriage...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ni ngumu kukuta ndoa ya mkinga imevunjika au kusikia mafumanizi

    Sababu kubwa ni kwamba wakinga wengi hupenda kujishughulisha na maduka, kuna biashara nyingi sana lakini mkinga kachagua maduka. Madukani wakinga huwa wanashinda na wake zao, hakuna mke wa kubaki nyumbani, ni team work asubuhi kunapokucha hadi jua linapozama. Mke huwezi kumzuia kuchepuka ila...
  8. JamiiForums Tanzania Mrejesho wa 3, Mke kakimbia ndoa yake kisa anataka kazi

    Baada ya MKE kurudi kwangu na kuconfess makosa yake yote na yale ambayo nilikuwa sijui...,,, Na akasema ametambua makosa yake yote ndo amekili ametaka MOYO wake uwe huru... Na amesema kilichomuharibu zaidi ni makundi aliyokuwa nayo ya wanawake kudanganyana...na kushawishiana... Soma MREJESHO...
  9. JamiiForums Tanzania MREJESHO 2,, Mwanamke akimbia ndoa yake kisa kazi

    Habari ndugu ZANGU... Baada ya MKE kwenda kwa wazazi wangu na wake ,,,, Mimi nilikuwa naendelea na uchunguzi wangu...,,Kuna taarifa niliipata wakati anaondoka Nyumbani kwangu kuna JAMAA ambaye anaishi NYUMBA ya Jirani,, aliyekuwa akimtongoza ,,, kwahiyo mwanamke alimtafuta JAMAA huyo akiomba...
  10. JamiiForums Tanzania Ndoa si kitu chepesi, fanya haya walau upate ahueni

    Salaam jamiiforum Mara nyingi mabandiko yangu yanawahusu vijana wadogo ambao kila Nyanja kwao bado ni ngumu iwe pesa,iwe kazi nzuri, biashara n.k vijana bado mambo ni magumu sana,najua si wote,wapo ambao mambo yao hubebwa na bahati pia Ni rahisi kukuta kijana mdogo asiye na Elimu kubwa kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Muda wa wastani wa tendo la ndoa Duniani: Ecuador yaongoza wanatumia dakika 24, Pakistan ya mwisho wanatumia sekunde 42

    Wakuu Nimekutana na ripoti zilizotolewa mtandaoni zinaonesha tofauti kubwa za muda wa wastani wa tendo la ndoa kati ya nchi mbalimbali duniani. Kulingana na orodha, Ecuador inaongoza kwa kuwa na muda mrefu zaidi wa wastani wa ngono, ambao ni dakika 24, ikifuatiwa na Cameroon (dakika 23.5) na...
  12. JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mke kakimbia ndoa kisa kazi

    MREJESHO Habari ndugu ZANGU...NADHANI...nilileta Uzi ulisema. MKE WANGU KAACHA NDOA YAKE KISA KAZI.. .. ... Leo nawaletea MREJESHO... Baada ya Mwanamke kuondoka kusikojulikana,,huko alipokuwa alikaa karibia week Moja..Bila Mme ,Wazazi,hata Ndugu kujua alipo... Baada ya kukaa kwa siku zote...
  13. JamiiForums Tanzania WAMAMA PUNGUZEN HIZI KAULI KWENYE NDOA ZENU WANAUME WENGI WAMEPINDA NA MAISHA SIKUHIZI USIONE ANACHEKA NYUMBAN

    WAMAMA PUNGUZENI KAULI HIZI KWA WAUME ZENU 🙏 Kila mzazi ana haki ya kumlea mtoto wake. Malezi si jukumu la mama peke yake wala baba peke yake… ni ushirikiano 🤝 Lakini kuna kauli ambazo zinaumiza, zinadhoofisha mamlaka ya baba, na zina changanya watoto😔 Epuka kauli hizi mbele ya watoto👇...
  14. JamiiForums Tanzania Ndoa za kikristo ziruhusu talaka kwa watu walioshindwana kama zilivyo ndoa za Kiislam

    Nina myaka 10 kwenye ndoa iliojaa visa, vipigo na kunyan’ganywa umiliki wa mali, Nilipofikia sasa naogopa hadi kununua kijiko kwan ndugu zake wakija ubeba vitu bila kuomba. Mwaka 2018 vilitangazwa viwanja kigamboni nikamshirikisha mwenzangu kununua akasema ni mbali, nikajipinda nikanunua ila...
  15. JamiiForums Tanzania Ndoa nyingi n AI TYPE

    Niongeze sauti ama Hamjaelewa
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri ndoa ya kislamu?

    Budget ya kharusi yangu ya kislamu nipo sahihi ya siku Moja Kama una experience na ndoa ya kislamu naomba Ushauri Chakula 500,000/ Mavazi 500,000/ Usafiri wa kuoa 500,000/ Tent 100,000/ Madufu Madrasa 100,000/ Mapambo 100,000/ Generator&Mziki 100,000/ Dua ya la Kharusi 100,000/ Mpiga Picha...
  17. JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu. Vitu...
  18. JamiiForums Tanzania Zipi tamu na chungu za ndoa?

    Naamini siku ya jana iliisha vyema kwenu, lakini pia nawapa pole waliotumia mali na miili yao vibaya na sasa wanajuta baada ya akili kurudi. Naomba niulize; zipi ni tamu na chungu za kuoa/kuolewa ili nijue nakabiliana vipi na ndugu na jamaa wanaotaka nioe. Karibuni
  19. JamiiForums Tanzania ""The Russian Guy"" hoja inayojidhihirisha kuwa Ndoa kwa kizazi hiki ni "Upuuzi Mtupuu""

    Twende direct kwenye mada .... Mmejionea wenyewe wake zenu walivyo "paparika" kwa russian guy. Yaani zile ndio tabia halisi Yaani wale ndio mlioa Ila kuna "case" mbili zimenisikitisha sanaaa .... 1. Mdada alitumia gari alilonunuliwa na mumewe na kuwekewa mafuta na mumewe ili kwenda kwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ndoa au bila ndoa chini ya maandiko matakatifu

    Ndoa au bila ndoa chini ya maandiko matakatifu Ndoa ni nini Ndoa ni mkataba unaofungwa katika kanuni timilifu za Mungu, alizozikusudia tangu mwanzo, kati ya nwanamume na mwanamke. Kifungu cha 1Wakorintho 7:28 cha maandiko 1Wakorintho 7:28: "Lakini, kama ukioa, huna hatia; wala mwanamwali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…