ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Dalili za awali za mke/mume mwema

    Wakuu amani kwenu. Kumekuwa na maswali mengi sana kutaka kujua kama kweli mwanamie/mwanamume fulani anafaa kufunga ndoa naye ama la. Wengi hutaka kujua ni sifa zipi hasa mwenza anapaswa kuwa nazo kabla ya kujiingiza kwenye mahusiano ya kudumu. Leo nitazungumzia sifa chache muhimu zaidi ambazo...
  2. JamiiForums Tanzania Tuliohamishiwa Dodoma, tujadili ndoa zetu

    Baada ya Serikali ya CCM kuhamishia Mkao makuu yake DODOMA kwa nguvu na bila tafiti, zaidi ya asilimia 87% ya watumishi wake ambao walikuwa wakiishi DAR ES SALAAM sasa tumehamia DODOMA. Baada ya kuhamia DODOMA, imetokea suala la kuacha waume zetu Dar es Salaam au wake zetu Dar es Salaam kwakuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeachana naye, najisikia faraja sana

    Huyu mwanadamu ni nyoka. Alinipendaga sana. Tukatoka sana tulibary Sana na kula bata na kudingana, mwenzie mie nikizama na yeye alioza. Wkt yeye akielezea Siri za ndani za Mr wake nikamuon hee huyu vipi ....? Mumewe ni ugonjwa na hali ya uchumi ya familia na kwakweli sikupendezewa na tabia...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukiishi naye bila ndoa anakuheshimu zaidi kuliko ukifunga naye ndoa, kwa sisi Wakristo

    Kwema Wakuu! Kwanini mwanaume unalazimishwa kuoa? Kwanza elewa Kabisa ndoa haipo Kwa ajili ya maslahi ya mwanaume Bali mwanamke. Yaani mwanaume hapati faida kubwa akifunga ndoa zaidi ya mwanamke, zaidi Sana atapata hasara maradufu ukilinganisha na akiishi na Mwanamke bila ndoa. Angalau ndoa...
  5. JamiiForums Tanzania Wasichana watatu kati ya 10 wanaathirika na ndoa za utotoni Tanzania

    Mkurugenzi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Zlatan Milisic amesema uchunguzi waliofanya umeonesha wasichana watatu kati ya 10 wenye chini ya miaka 18, wapo kwenye ndoa za utotoni. Zlatan amesema wanaoathirika zaidi ni wasichana wanaoishi vijijini huku akitaja madhara wanayokumbana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Mnakumbuka story ya Raia Mwema - Lyatonga Mrema adaiwa kupora mke wa mtu Kumbe anayejiita Mjane wa Mrema ni Mafia wa mjini na anatumia majina fake kutapeli watu. Doreen aliolewa April 2012, ndoaya kikatiki na Bwana Fredrick Mushi (mchaga wa kibosho) ambaye yupo hai na inasemekana walipata...
  7. JamiiForums Tanzania Kama ni Mungu ndiye aliyekupangia, hata mkikutana kwenye mazingira mabovu na ya kishenzi ndoa yenu itadumu

    Kuna demu mmoja nilikuwa nafanya naye kazi mahali. Zama zile kulikuwa na foleni sana Dar, barabara nyingi zilikuwa nyembamba, hivyo basi mambo ya happy hour kuanzia saa 11 hadi saa mbili usiku ilikuwa ni ratiba ya sehemu nyingi za biashara. Watu walijazana kwenye mabaa kusuburi foleni ipungue...
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Sio kweli, ndoa sio tamu😎

    Mwalimu T, Rafiki yangu kipenzi wa enzi na tena mhitimu wa ndaki ya Ruaha. Kwa sasa ninafanya naye kazi. Alidumbukia ndoani miaka miwili iliyopita. Bwanaye ni mshehereshaji, mwembamba wa mwili na mkubwa wa maneno. Hachagui neno lipi lianze na lipi lisubiri. Wala hajui hapa aseme lipi na pale...
  9. JamiiForums Tanzania Kutokana na kazi ninayofanya, nimejua kwanini ndoa zamani zilikua zinadumu

    Nimetokea kuichukia / kuichoka kazi ninayofanya, mainly kwa sababu ya mipango yangu ya baadae pia mazingira na mfumo wa kazi, Kila nikipanga escape route inafeli hivyo nawajibika kuendelea coz siwezi nyanyua mguu mmoja kabla mwingine haujagusa chini. Hii imenifanya nifikirie maisha ya ndoa za...
  10. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapenzi ndoa mpaka kifo

    Idadi ya vifo, majeruhi na athari hasi mbalimbali zitokanazo na mahusiano mapenzi na ndoa imekuwa ikiongezeka siku hadi siku. Vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti idadi kubwa ya athari hasi zitokanazo na mapenzi ndoa pamoja na mahusiano. Utasikia huyu kamuua mkewe kisa wivu wa wapenzi, au...
  11. JamiiForums Tanzania Wabunge wafunguka sababu za kuvunjika kwa ndoa

  12. JamiiForums Tanzania Ripoti UN: Watu Milioni 50 wapo kwenye ndoa na kazi za kulazimishwa

    Utafiti uliofanywa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa ya Kazi, Uhamiaji na Walk Free Foundation umebaini kuwa hadi mwaka 2021, watu milioni 28 walikwama kwenye kazi za kulazimishwa huku milioni 22 wakiishi kwenye ndoa kwa kulazimishwa. Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) Guy Ryder...
  13. JamiiForums Tanzania SoC02 Kuvunjika kwa ndoa ya dada kulivyoathiri afya ya mtoto wake

    Kumbukumbu zikinijia nakumbuka siku ile ilikuwa ni siku ya furaha sana kwangu na kwa familia kwa pamoja. Siku ambayo dada yangu aliolewa, kila mwana familia na ndugu tulikuwa kwenye furaha isiyokifani, tulisherehekea kana kwamba hakukuwahi kutokea wala hapatatokea tena harusi kwenye ukoo wetu...
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza wa kufunga naye ndoa

    Habari. Mimi ni kijana wa Kitanzania, umri wangu miaka 33, dini mkristo KKKT, naishi Dar es Salaam, nimejiajiri. Nahitaji mpenzi ambaye lengo letu kuu ni ndoa mwakani tukielewana. Vigezo vya mke wangu ni umri miaka 25-38, awe tayari kwa maisha ya ndoa, kama ana mtoto asizidi mmoja; ndio uwezo...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Ndoa yangu "Isininyanyase"

    Utangulizi Katika Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, Sura ya 29; ndoa imetafsiriwa kuwa ni ‘muungano wa hiari’ kati ya mwanamke na mwanaume unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao yote. Kumbe, mojawapo kati ya mambo ambayo wanandoa wanapaswa kuyaweka vema katika fahamu zao ni kuwa, lengo la uwepo...
  16. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kuokoa ndoa yangu jamani

    Ndugu zangu wanajamvi habarini. Mimi mwanenu na ndugu yenu nimekumbwa na tatizo, uume kusimama ka ulegevu na kuwahi kufika kileleni within a minute. Naomba msaada sana ndugu zangu
  17. JamiiForums Tanzania Tamthilia na Mpira zinavyochangia migogoro ya ndoa

    Wanawake na wanaume wengi ni wapenzi tamthilia za vipindi vya maigizo na mechi za mpira na kuwa wakati wengine hujikuta wakisalia sebuleni au kuweka umakini kwenye TV na kuacha wenza wao wakitangulia kulala peke yao au kukosa wa kuzungumza nao mambo mengine ya kimaisha Vitendo hivyo vinafanya...
  18. JamiiForums Tanzania Mazingira ambayo mke wako akizini lazima umsamehe na muendelee na maisha ya ndoa

    Mkeo akiliwa kwa situation zifuatazo lazma umsamehe 1. Azini ili apate chakula Cha watoto,wew ukiwa umefulia 2.Kugongwa mbele yako wakat mmevamiwa na majambazi 3.Akizini kwa lengo la kuokoa maisha yako,mfano unaumwa harafu hakuna hela ya matibabu,haraf akapata mwenye hela kwa shart la kumla...
  19. JamiiForums Tanzania Kama hana kazi asishiriki VICOBA, utalia

    Na, Robert Heriel Vikoba ni msaada mkubwa kwa watu wasioweza kuhifadhi pesa, watu wasio na msukumo wa kutafuta pesa. Vikoba humsaidia mtu kupata msukumo wa kutafuta pesa ili apate pesa ya marejesho. Vikoba vina faida nyingi sana, lakini faida kuu ni msukumo wa kutafuta pesa iwe kwa halali au...
  20. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu ameoa ilihali hana kazi anakaa kwa wazazi wetu

    Uhali gani wanajamii. Nina mdogo wangu ana miaka 22 ameoa mwezi uliopita kiufupi walichukuana tu baada ya kupendana na mdada mmoja yupo mitaani Sasa ubaya nikwamba hana kazi yoyote yeye na mkewe wapo tu home chumba chenyewe wanalala chumbani Kwangu Sema mimi nina miezi kama saba sijarudi home...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…