ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Usije kuoa kwa kuangalia uzuri wa mwanamke, utajuta sana

    Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa. Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe hufaidiki wala huna amani. Yani umelala na mke wako kitanda kimoja, unamtani ila humpati. Kama hujaoa...
  2. JamiiForums Tanzania Maisha ya Ndoa Takatifu: Changamoto na suluhisho katika jamii ya kisasa

    UTANGULIZI. Maisha ya ndoa takatifu yanamaanisha maisha ya ndoa ambayo yanafuata na kuheshimu misingi ya dini, imani, na maadili ya kiroho. Mwanza tuangazie mambo kadhaa muhimu: 1.Uaminifu. Wanandoa wanapaswa kuwa waaminifu kwa kila mmoja katika kila hali. Uaminifu hujenga imani na heshima kati...
  3. JamiiForums Tanzania HIVI WANAUME WOTE WALIOOA WANAKUTANA NA HAYA MASWAHIBU AU NI BAADHI YA WANAUME HUKO KWENYE NDOA ZENU?

    Bila shaka mko poa wana jukwaa na wale mabingwa wanaendaelea kusherekea ubingwa wao.HALAA MADRID. Moja kwa moya kwenye mada, wakuu nina rafiki angu kaoa mwana mke kahitimu chuo huko daslam miaka mitatu iliopita nadhani ni diploma ya uwalimu ila bado hajeajiriwa sasa huyu mwanamke nifull jeuri...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanandoa au wapenzi tupeni uzoefu ulinusuru vipi ndoa au muhusiano yako

    𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶 𝘇𝗲𝗻𝘂 𝘄𝗮𝗸𝘂𝘂... Poleni na majukumu. Bila kupoteza muda 1kwa1 kwenye mada kama kichwa kinavyosema, Ni changamoto gani uliipitia katika ndoa/muhusiano yako ambayo ilitaka kuvunja ndoa/mahusiano yako kisha ukainusuru kwa kuitatua na mambo yakawa saaafi kama mwanzo.
  5. JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

    Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo. Ukweli wenyewe wanandoa wengi hawapati tendo kama walivyokuwa wanafikiria kabla ya kuingia kwenye ndoa. Lakini ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ukiishi naye kinyumba (bila ndoa) hata kwa miaka kadhaa, kisheria hastahili kupata chochote endapo mtaachana

    Huu ni ushuhuda wa kweli. Kuna mwanaume amepata ushindi mahakamani dhidi ya gumegume, ambao inabidi tushirikishane hapa ili wanaume msiogope kuwafukuza wajasiriaNDOA a.k.a "makupe"au magumegume. Kuna wanasheria uchwara huku kitaa, wanatutisha kuwa ukikaa na mwanamke kwa zaidi ya miezi 6 basi...
  7. JamiiForums Tanzania Mafufu: sheria ya ndoa ibadilishwe katika vipengele vya ugawanaji wa mali baada ya talaka

    Hoja ya kubadilisha sheria ya ndoa, hasa kwenye vipengele vya ugawanyaji wa mali baada ya talaka, ni mjadala unaoweza kuibua hisia tofauti na mitazamo mingi. Katika jamii yetu, ndoa ni taasisi muhimu inayoheshimiwa na sheria zetu. Hata hivyo, pale ndoa inapovunjika, suala la ugawanyaji wa mali...
  8. JamiiForums Tanzania Hekaheka za Ndoa

  9. JamiiForums Tanzania Mkioa/Kuolewa mtulie kwenye ndoa

    Copy and paste kutoka kwenye page ya HIV living postive instagram. "Naitwa XXX naishi iringa naomba msaada napitia kipindi kigumu sana sijui nianzie wapi nina stress nyingi sana nimeolewa na nimeishi na mtu wangu kwa miaka miwili sasa, tulipima pamoja na tulikua negative 2022, Mwaka jana...
  10. JamiiForums Tanzania Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

    Asalaam, Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani. Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea. Mimi hata niwe na magumu kiasi gani...
  11. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa mahitaji muhimu chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Ni pamoja na mahitaji ya kila siku ndani ya nyumba kama vile chakula, mavazi na malazi kwa mama, baba na watoto, mahitaji muhimu ya kielimu na afya kwa familia nzima n.k Lakini zaidi sana, Mahitaji muhimu sana ya ndoa, kimwili na kiroho, kutokutimizwa vizuri na ipasavyo katika ukamilifu wake...
  12. JamiiForums Tanzania Kataa Ndoa vs Kubali Ndoa

    Habarini wakuu, Hivi karibuni kumeibuka mjadala wa baadhi ya wanaume kukataa NDOA, (dronedrake ) muda huohuo pia kua baadhi ya wanaume wanakimbilia NDOA. Jambo hili linaibua hisia za wanaume na wanawake wengi pia, na vilevile linapelekea wengine kubaki kwenye kitendawili cha kufuata NDOA au...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya sheria ya Ndoa kufanyiwa maboresho, watu wakizaa pamoja basi ihesabike ni Ndoa halali

    Ni hayo tu , haiwezekani unazalisha mwingine unakwenda oa mwingine kisa hampendani au kuendana au una zaa na mwingine kirahisi tu unakwenda olewa na mwingine. AU huoi kabisa Haya maumivu ya kisaikolojia wanayosababishiana watu hayana afya kwa jamii
  14. JamiiForums Tanzania Hivi lengo hasa la kufunga NDOA ni nini?

    Habari za jumapili wanajamii forums Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza hivi lengo kubwa la kufunga ndoa ni nini.Kinachonipelekea kujiuliza hayo maswali ni kutokana na kutoona tofauti kati ya waliofunga ndoa na wasiofunga ndoa.Ukiangalia kiundani wanandoa wengi wanachepuka balaa ni wazinzi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo matano yatakayokusaidia kutengeza mahusiano bora ya ndoa

    ZINGATIA HAYA ALFAJIRI. KIJANA JINSI ZOTE. Nimeiita alfajiri tusiyojua kilichobebwa na mchana wake. Ndio ni alfajiri na mapema ya mahusiano unayoona pengine kuna umbali yataenda na hata kukupeleka kwenye ndoa. Watu wengi huanguka mwanzo/asubuhi lakini athari huonekana jioni kwa sababu tu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ndoa za utotoni na mimba za utotoni zinakwenda sambamba

    Tukimaliza ndoa za utotoni tutakua pia tumepunguza mimba za utotoni
  17. JamiiForums Tanzania Tauhida Gallos Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini

    MHE. TAUHIDA GALLOS Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini "Wizara imeandaa muongozo wa Taifa wa uendeshaji, usimamizi na uratibu wa Mabaraza ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa wa mwaka 2023, Mei ambao umebainisha afua ya kuwajengea wajumbe wa...
  18. JamiiForums Tanzania Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  19. JamiiForums Tanzania Ongezeko la kuvunjika Ndoa, natoa RAI kituo Jumuishi cha Taifa cha Familia - Temeke kichunguzwe

    Sipingi Watu kutengana kwa kukubaliana kutokukubaliana, LAKINI inafikirisha zaidi pale unapogundua kuwa "kuachanishwa" kwenu kulikua na nguvu flani nyuma yake. Katika pita pita Zangu mara kadhaa nimeona kituo hiki kikitajwa kuwa na "Vishoka" kama ilivyo sehemu nyingine kama TANESCO ambao...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbe bado kuna Wanaume wenye huu 'Utoto' na 'Ushamba' ndani ya Ndoa na Mahusiano?

    ''Kwa experience yangu mimi naweza kusema niliolewa na mtoto wa Mama, Mume wangu alikuwa mama anachosema ndiyo kinaendesha ndoa yetu, sisi tunaishi Dar lakini maelekezo tuishije yanatokea mkoani. uko na mwenzio kwenye ndoa lakini hakui kila kitu ni Mama aamue'' - Editha Emmanuel mratibu mwanamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…