Sio kila mahusino lazima yafikie ndoa
Napokea simu kutoka kwa rafiki yangu ,ananiuliza umemfanya nini shem? Nikauliza kwani kunanini akaniuliza uko wapi? Nikamwambia niko maeneo ya chuo , akanimbia nakuja tuongee.
Tukiwa shule ya Alevel, wakati ndio ujana umeanza kubalee na unatamani sasa...