Salaam wakuu, kwanza naomba ifahamike kataa ndoa ni chama chenye kulinda haki na maslahi ya jinsia zote zinazo tambulika kisheria.
(me na ke).
Chama hiki kilianzishwa baada ya kushamiri kwa upigaji, ukandamizaji wa haki na ufekiji wa hisia ili kujitengenezea mazingira ya kumdhurumu au kumdhuru...
Mnaamka wote pamoja asubuhi, mnaenda kwenye ofisi yenu pamoja kwenda kuzitafuta.
Mnashinda pamoja mkipambana na maisha, mkisaidiana mawazo na nguvu.
Jioni mnarudi pamoja nyumbani, mmechoka lakini mioyo yenu ina furaha kwa sababu mmekuwa timu siku nzima.
Hakuna ndoa nzuri kama ile ambayo mke...
Wachungaji wengi wamejigeuza kuwa kuwa washauri wa mahusiano kwa mitazamo yao wakitumia vibaya mistari kuhalalisha mawazo yao potofu, hii imeleta shida kwenye ndoa nyingi.
Kumekuwa na skendo nyingi za wachungaji kuwatongoza na kutoka kimapenzi na waumini wao hasa makanisa ya kilokole ambayo mtu...
Pale umeenda Kanisa geni na mumeo alafu Mtumishi amuite mbele bila kujua ni Mumeo alafu ghafla anasema kijana nakuona ukioa mwaka huu tena utamuoa mzungu
Dada Utafanyaje ? 😁😁😁😁😁😁😁😁
Mkongwe wa Mziki nchini Uganda Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone amevunja ukimya kuhusu mwenendo wa talaka yake na Mke wake Daniella Atim waliofunga ndoa miaka 17 iliyopita na kusisitiza kuwa ingawa amekubali mali zake kugawanywa lakini hakubaliani na kitendo cha kulazimishwa kusaini...
Amani iwe kwenu watumishi
Nianze kwanza na history ya magomen kitaa changu ninachoishi toka kitambo sana
Kitaa hiki ni kitaa mabingwa wa ndoa za mkeka hasa mwezi wa Ramadhan unapokalibia
Ndoa hufungwa nyingi sana na wazee wanaoitwa wazee watukufu katika uislam
Wazee hawa watukufu katika...
Maisha ya sasa mwanaume na mwanamke ni maadui wakubwa sana tusitegemee tena mahusiano ya kimapenzi au ndoa kudumu.
Uhalisia ni kuwa maisha ya sasa yamejaa uadui mkubwa sana kati ya mwanamke na mwanaume ndio maana mahusiano hayastawi tena. Wapenzi wataanza mahusiano lakini baada ya muda mchache...
Wakuu, nawatakieni amani na furaha mioyoni mwenu. Leo nina mada fupi tu kwa wote ambayo naomba tujadili.
Katika mahusiano ya mapenzi, hasa kwenye ndoa, kuna tofauti kubwa sana kati ya nini atakacho mwanamume na nini atakacho mwanamke.
1. Kwako mwanamke- Elewa kwamba heshima (respect) pekee...
Utafiti unaonyesha kuwa ndoa za Vijijini ndio zinadumu kuliko za Mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa Kidini na Kikatiba (Kanisani, Miskitini na Mahakamani)
Utafiti unaonyesha Wanawake wa Makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama...
Ukipata nafasi oa/olewa na mpenzi wako ambaye mpo wote chuo sababu mnajuana uhalisia.
Tafiti isiyo rasmi inaonesha waliooana na wapenzi wao wa chuo ndoa zinadumu sana.
Na Ndoa nyingi za wapenzi walioanzia chuo zilidumu sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.