ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. Ndege ya Shirika la ndege ATCL yatua Msalato Kwa majaribio

    Kwa mara ya kwanza, ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imetua katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya majaribio ya awali kabla ya kiwanja hicho kuanza rasmi kuhudumia Watanzania. Akizungumza baada ya kuipokea ndege hiyo, Waziri wa Ujenzi...
  2. Times of Isarael: Israel Ilijenga kituo cha drones ndani ya Iran

    🚨🇮🇷🇮🇱 Israel imetumia miaka mingi kujiandaa kwa shambulio dhidi ya maeneo ya nyuklia na makombora ya Iran, ikiwa ni pamoja na kuingiza silaha na majeshi ya vikosi maalum kwa siri ndani ya nchi hiyo, kwa mujibu wa afisa wa usalama wa Israel. Wakala wa Mossad wanaripotiwa kuanzisha kituo cha...
  3. M

    Ilikuwa Bandari zetu bara, sasa ni shirika la ndege nalo limejifia na Zanzibar kuipiku air Tanzania

    Sitaki uchochezi, najiuliza tu maswali ya kijinga La bandari maelezo yamekuwa mengi tumekubaliana nayo vema, Je hili la kuuwa shirika la ndege la nchi hiyo hiyo na kuzaliwa shirika lingine kwenye nchi hiyo hiyo moja limekaaje? Kwa wenzetu huko vipi? Nchi moja inaweza kuwa na mashirika mawili...
  4. Rais Samia una hii Taarifa muhimu ya Umoja wa Ulaya (EU) kuzuia Ndege za ATCL kutua Ulaya yote kutokana na kutokuwa salama kwa Abiria na mbovu?

    Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
  5. Kumbukizi: Treni- ndege (TRENDE)

    Mradi wa Treni-Ndege ya umoja wa Kisovieti (Soviet Jet Train) ulianza katika miaka ya 1970 kwa wazo rahisi, weka injini za ndege ambazo haziwezi kutumika tena angani, lakini bado zinaweza kutumika ardhini. Kwa mradi huu, Treni ya ER22 ilirekebishwa umbo kuweza kusimikwa injini za ndegevita ya...
  6. Mchechu: Kulikuwa na changamoto ya kiufundi ratiba za Ndege za ATCL kubadilika

    Akijibu hoja iliyoibuliwa na Mwandishi wa Habari kwenye kikao maalumu baina ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na wahariri, kuhusu changamoto ambayo imekuwa ikijitokeza kwa nyakati tofauti kwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kushindwa kuzingatia muda na ratiba za safari, Msajili wa Hazina, Nehemia...
  7. Ukraine yaharibu ndege vita za Urusi

    Habari zilizopo kwa sasa na uthibitisho wa video ni kuwa Ukraine imefanikiwa haribu ndege vita zaidi ya 40 ndani ya Urusi. Haijulikani wamefanikiwa vipi kwani umbali huo FPV drone haziwezi fika Siku ya jana pia wamefanikiwa lipua madaraja mawili ndani ya Urusi SSB chini ya Budanov ni habari...
  8. Ukraine yaharibu ndege vita 40 za Urusi leo

    Ukraine imesema imekamilisha shambulio lake kubwa zaidi la masafa marefu tangu vita na Urusi kuanza, baada ya kutumia droni zilizosafirishwa kwa siri kushambulia kwa pamoja ndege za kivita takriban 40 katika kambi nne za kijeshi nchini Urusi siku ya Jumapili. Rais Volodymyr Zelensky alisema...
  9. Qattar inasema inataka iweke wazi kwamba Marekani ndiyo iliyoiomba iwapatie ndege moja kwa matumizi ya rais

    Tangu raisi Trump atembelee nchi tatu za kiarabu za mashariki ya kati na kupewa zawadi kede kede minongono imekuwa mingi hasa juu ya Qattar kuipatia Marekani ndege moja ya fakhari sana kwa matumizi yake ya kumsaririsha raisi huku na huko ndani na nje ya nchi. Hatimae Qattar imesema kupitia...
  10. Uwanja wa ndege wa Sana’a washambuliwa na ndege za Israel!!!!!

    Baada ya matishio ya muda mrefu yaliyokuwa yanafanywa na kundi la kigaidi la Houth kushambulia uwanja wa ndege wa Ben Gurion bila mafanikio!! mfupi uliopita, IDF ilishambulia uwanja wa ndege mkuu wa Sana'a na ndege za kundi la kigaidi la Houthi. Ndege zilizolengwa zilitumiwa na utawala wa...
  11. U

    Ndege za Israel yashambukia uwanja wa ndege wa Sanaa muda huu

    Wadau hamjamboni nyote? The Israeli Air Force is carrying out strikes on the Houthi-held Sanaa International Airport in Yemen, according to local media. The strikes come after repeated Houthi missile attacks on Israel in recent days. Earlier this month, also after repeated attacks...
  12. Saaa sita na robo KOMBE limeelekea na ndege MOROCO tuwatakie vijana usiku mwema na safari njema kwa KAZI nzuri pls.....

    Habari za uhakika Dk 20 zilizopita timu ya berkane imeleekea MOROCO wakiwa na KOMBE lao walilopata BAADA ya kutoka drw na Simba sc UWANJA WA Amani Taarifa zaidi vijana WA Simba bado awajarudi dar es salaam na aijulikan watarudi kwa meli boti ama ndege KWA KAZI nzuri waliyofanya Naomba...
  13. Madini ya Almasi Yenye Thamani ya Tsh 1.7 Bilioni Yakamatwa Yakitoroshwa Uwanja wa Ndege Mwanza

    MADINI YA ALMASI YENYE THAMANI YA TSH 1.7 BILIONI YAKAMATWA YAKITOROSHWA UWANJA WA NDEGE MWANZA ▪️Waziri Mavunde awapongeza RC Mtanda,Kamati ya Usalama,Uwanja wa Ndege na Kikosi kazi Madini ▪️Aelekeza uchunguzi zaidi kubaini mtandao wote wa wahusika ▪️Atoa rai kwa wadau wa madini kuzingatia...
  14. N

    China ilipeleka msaada Gaza ikiusindikiza na ndege 6 za kijeshi

    Kwanini hizi taarifa hazitangazwi kwenye vyombo vya habari vya mataifa ya magharibi? Check video ina maelezo ya kiswahili
  15. Ndege za Kivita hatari zaidi Duniani

    Kwa mwaka 2025, ndege ya kivita inayoongoza duniani ni Lockheed Martin F-35 Lightning II, ikizingatia teknolojia ya kisasa, uwezo wa kiutendaji, na matumizi ya kimataifa. 🔝 Ndege Bora za Kivita Duniani (2025) 1. F-35 Lightning II (Marekani) Uwezo wa Stealth: Imeundwa kwa teknolojia ya hali...
  16. Marekani imepokea rasmi ndege kutoka Qatar itakayotumika kama Air Force One

    Sasa ni rasmi na hiyo ndege itakuwa retrofitted kabla haijaanza kutumika kumsafirisha Rais. Marekani imepokea ndege iliyokusudiwa kwa ajili ya msafara wa Air Force One kutoka Qatar — zawadi ambayo imezua ukosoaji mkubwa, hata kutoka kwa baadhi ya wafuasi wakubwa wa Rais Donald Trump. “Waziri...
  17. Shirika la ndege la Israel El Al laibuka na faida nono!!!

    El Al iliripoti kuibuka kwa asilimia 19 katika faida ya robo ya kwanza, na kufikia dola milioni 96 licha ya mashirika ya ndege ya kigeni kupunguza safari za Israeli. Mapato yalipanda 5% hadi $774 milioni, wakati sehemu yake ya soko ilishuka hadi 44% kutoka 62% mwaka uliopita. Mkurugenzi...
  18. Kushambuliwa kimtandao (Cyberstrike) na kuzuiwa wanaharakati wa Kenya uwanja wa ndege; Watanzania tusimame pamoja

    Matukio mawaili makubwa wiki hili; kuzuiwa wanaharakati wa Kenya (Martha Karua et al) na kushambuliwa kwa akaunti nyeti za mitandao na ku kisha kuchapisha taarifa potofu. Sipendi dhulma na uonevu anaofanyiwa Tundu lakini pia ni utoto kuwapa airtime hawa Wakenya Madhaifu ya serikali ya CCM...
  19. Kuna ndenge ambayo private jate hipo kwa mtu fulani 2025 naona hii ndege sio makusudi kutumia pesa zetu

    Kuna ndege kama inatumiwa na watu wengine kwa kusingizia kuwa wanaotoa pesa ni watu furani. Ila hii ndege ni kama hipo kusikilizia 2025 someni code
  20. S

    "Mashtaka ya Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA,Amani Golugwa,Katika Uwanja wa Ndege wa J.K Nyerere yalilenga kukatisha Uhusiano wa kimataifa wa CHADEMA"

    Kiongozi wa upinzani wa Chadema, Amani Golugwa, alikamatwa akiwa njiani kuelekea Brussels kuhudhuria mkutano wa kisiasa. Kukamatwa huko ni tukio la hivi karibuni linalohusisha wanachama wa CHADEMA, ambao wanailaumu serikali kwa kutumia mbinu za ukandamizaji. "Kukamatwa kwa Amani Golugwa, Naibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…