ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndege vita mpya aina ya “Adir” (F-35i) Zatua Katika Kambi ya Anga ya Nevatim-Israel!!!

    IDF Katikati kusimamisha Usalama wake Leo Ndege Tatu za Kivita za “Adir” (F-35i) zimetua Katika Kambi ya Jeshi la anga la Israel huko Nevatim Msemaji wa IDF alitangaza kwamba ndege tatu mpya za kivita za “Adir” (F-35i) zimetua katika Kambi ya Anga ya Nevatim kusini mwa Israeli. Ndege hizo...
  2. JamiiForums Tanzania Dhahabu ya bei mbaya yamkwamisha Burna Boy uwanja wa ndege Morocco

    Mkudha: Rais wa CAF asema Burna Boy alizuiwa katika uwanja wa ndege wa Morocco kwa sababu ya thamani ya vito vyake vya dhahabu Rais wa CAF, Patrice Motsepe, anasema Burna Boy alizuiwa kwa muda mfupi katika uwanja wa ndege wa Morocco baada ya maafisa kuhoji kiasi cha vito vya dhahabu alichokuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Ndege huwa wanafia wapi vifo vya kawaida? (Normal Dearth) huwa sioni mizoga yao chini

    Asalaam aleykhum.. Hivi ndege wa angani huwa wanafia wapi? Kwenye viota vyao? Mbona tukifanikiwa kuchukua viota vyao tunakuta vikinda tu? Mi sijawahi kukutana na maiti au mzoga wa Njiwa, flamingo, mwewe au kipanga chini, iwe mjini au shambani Au wanazikana 🤣?
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutokulipwa kwa pesa za kujikimu kwa intake mpya June 2025 mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania (TAA)

    Tunaomba mtusaidie kutupazia sauti. Tuliajiriwa mwezi wa sita 2025 Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) lakini mpaka leo hii hela za kujikimu walipewa watu nusu tu mwaka jana mwezi Oktoba wengine nusu tuliobaki wakatuambia watatupa mwezi wa Novemba mwaka jana lakini mpaka sasa bado...
  5. JamiiForums Tanzania Haikuhitaji Marekani kutumia ndege na tanks kuiangamiza Caracas, walihitaji walinzi watatu tu kufanikisha mchongo mzima

    My people, Habar iliyopo duniani sasa hivi ni kukamatwa kwa Maduro wa huko Venezuela, hapa nakuletea habar za kikachero kutoka Caracas. Pentagon,Marekani Mpango mzima ulianza mwaka mmoja uliopita pale ambapo Marekani ilikuwa inatafuta washirika wa kuwasaidia kufanikisha hii operation...
  6. JamiiForums Tanzania Ndege za jeshi la Marekani zaingia kwa wingi uUaya, Iran kufuata baada ya Venezuela!?

    Ndege za jeshi la marekani zinaingia kwa wingi uingereza na nchi zingine za ulaya ikiwemo uturuki Inaongeza wasiwasi kwamba huenda Iran itakumbwa na kile kilichoikumba Venezuela Iran kwa upande wao wameweka bango lenye picha za majeneza yenye bendera za marekani na Israel yenye ujumbe 'jalini...
  7. JamiiForums Tanzania Ndege vita za Saud-Arabia zimeshambulia vikosi vya Yemen kwa mara ya Pili!!!

    Ndege vita za Saudia zimeshambulia vikosi vya Yemen
  8. I

    JamiiForums Tanzania Viwanja 10 vya ndege Afrika vyenye hekaheka

    Pamoja na kuwa tuna vivutio vingi vya kitalii, Tanzania hatumo. Tunakwama wapi?
  9. JamiiForums Tanzania Marufuku ya ndege zisizo na rubani ni kitendo cha kujilinda kibiashara cha Marekani kwa kisingizio cha usalama

    Tume ya TEHEMA ya Marekani (FCC) hivi karibuni ilitangaza kuweka ndege zote zisizo na rubani na vipuri vyake vilivyotengenezwa nje ya nchi kwenye orodha ya kudhibitiwa, kwa kisingizio cha “tisho kwa usalama wa taifa”, na kupiga marufuku ununuzi wa aina mpya za ndege zisizo na rubani kutoka nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Kampuni ya ndege Tanzania ATCL imeongeza ofa ya Krisimasi

    Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inayofuraha kuwaongezea wateja wake ofa nyingine, maalum kwa abiria wa ndani msimu huu wa sikukuu.
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

    Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii. Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa...
  12. JamiiForums Tanzania Jumatatu napanda ndege kwa mara ya kwanza

    Guyz kama title unavyo eleza napanda ndege kwa mara ya kwanza maishani ..Naomba Abc za kuzingatia
  13. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wimbo huu unaitwa "Amani hakuna" umeimbwa na mtanzania Mkiza Soul, mume wa Cherry

  14. JamiiForums Tanzania Watalii ni wengi sana, serikali ijitahidi kuongeza angalau ndege 2 mpya za direct route kutoka major destinations

    Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani https://dailynews.co.tz/tourism-boom-fuels-air-travel-surge/
  15. JamiiForums Tanzania Ndege kubwa ya Cargo yatua Dar. Wameingiza nini tena?

    Hivi karibuni tu ilitoka moja ya ndege kubwa zaidi ya cargo JNIA (Uwanja wa ndege ya Julius Nyerere, Dar es Salaam). https://fr24.com/VDA7720/3d20aa2e Ndege hii ya aina ya Antonov An-124-100 maarufu kama 'Ruslan' ina uwezo wa kubeba mpaka kifaru. Ndege ilifika Dar saa 6 na nusu leo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hakuna ndege inayoingia na kutoka hapo Dar es salaam ??

    Habari wakuu , Poleni na maandamano yanayoendelea Mimi ninataka kujua kua ni kweli kma watu wanavyopakaza mitandaoni kua hakuna ndege zinazoingia na kutoka tanzania kwa sasa ? Maana kuna mtu anataka kujua ndo kaniomba nimuulizie Shukrani sana
  17. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi ni: Radio ya Taifa na Viwanja vya ndege - kazi imeisha

    Jeshi ni : Radio TZ, na viwanja vya ndege kazi imeisha.
  18. N

    JamiiForums Tanzania FlightRadar inaonesha ndege aina ya Boeing ikielekea kusikojulikana. Je, kuna utoroshaji wa pesa za umma au viongozi wakubwa wanakimbia nchi?

    Air Tanzania Dreamliner ime take off from JNIA masaa machache yaliyopita huku uelekeo ukionesha ni private. Unadhani kuna nini kinaendelea hapa?
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndege yaanguka Kenya, wote waliokuwamo wafariki

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Kenya (KCAA) imethibitisha kuwa ndege ndogo iliyokuwa ikisafiri kutoka Diani kwenda Kichwa Tembo imeanguka katika Kaunti ya Kwale. Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu wa KCAA, Emile N. Arao, ya leo Oktoba 28, 2025, imesema ndege hiyo yenye namba za usajili 5Y-CCA, iliyokuwa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Je magari , ndege za kijeshi ni Mali ya chama tawala au imekaaje hii

    Nipo Arusha Leo kwa kweli inasikitisha Ñaona ndege za jeshi zimabandikwa stika za mama zinazunguka hapa zaidi ya saa na nusu hazijatua ziko hewani tu gari zinasomba watu kupeleka stadium kwenye kampeni Hali kwa sasa ni mbaya wananchi wengi wamekerekwa na Namna helcopter zinazunguka TU hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…