ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. Pangua ya Baraza la Mawaziri yanukia

    Uteuzi wa Dk Stergomena Tax kuwa mbunge, unaibua hisia kama ni mwanzo wa Rais Samia Suluhu Hassan kupangua Baraza la Mawaziri. Dk Stergomena, mwanamke mwenye heshima kubwa kwenye uga wa kidiplomasia, anaingia bungeni kipindi ambacho Taifa halina Waziri wa Ulinzi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa...
  2. Usafiri na maoni yangu binafsi juu pahala sahihi pa kuwapeleka machinga ndani ya Dar

    Naishauri serekali yetu ilitwae eneo lote la shule ya sekondari Benjamin maps hapo kariakoo na pajengwe mall maalumu itakayokuwa na vizimba 5000 vyenye namba za utambulisho maalumu ili machinga wote waliotapakaa mabarabarani waingizwe humo, zoezi hili liende pamoja na kubotesha machinga complex...
  3. Ndani ya muda mfupi Rais Samia amefanya kufuru, licha ya kuupiga mwingi sasa anakimbiza mwizi kimya kimya

    Kama tukiweka unafiki pembeni, Kwa muda mfupi ambao Rais Samia ameingia ikulu amefanya kazi kubwa sana ambayo kama ingefanywa na serikali iliyopita ingechukua miaka kadhaa kukamilika Mama katika kipindi cha miezi sita ambacho ameingia ikulu kwenye sekta ya afya tayari ameidhinisha mabilioni ya...
  4. Tetesi: Salumu Mwalimu adaiwa kupewa Kitengo ndani ya CCM

    Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Tena chai yenyewe ya maziwa. Toyota Landcruiser number T357 DBT Imeonekana mara kwa mara ikiwa na vijana wa CCM (blak) na Salimu Mwalimu ambaye taarifa kutoka chanzo cha ndani zimethibitisha hilo ni Suala la Muda tu. CHADEMA wanaachwa Solemba PM iko wazi sasa JM
  5. D

    INAUZWA Nahama nauza vitu vya ndani

    Niko Dar es Salaam - Upanga Kabati la vyombo 180,000 Kabati la nguo 180,000 Sofa watu 7 - 400,000 Meza watu 4. call/sms 0752140000, 0787215011
  6. Wamiliki wa mabasi fanyeni service za bodi na ndani ya mabasi siyo injini tu

    Kuna kitu nimeona wamiliki wa mabasi ya abiria wanajisahau kuhusu service za magari yao. Wengi wanajikita kwenye injini, spring na mabush tu lakini hawajali kabisa service za ndani ya mabasi na bodi kwa ujumla ambazo ni sehemu muhimu kwa abiria zitakazo wafanya wapende kusafiri na mabasi yenu...
  7. Kwenye wilaya yako kuna maeneo gani mazuri na vivutio gani kwa utalii wa ndani?

    Utalii wa ndani siyo mpaka kwenda Serengeti au kupanda mlima kilimanjaro. Unaweza kutoka Dar ukaenda Bagamoyo kuangalia majengo, ni utalii. Unaweza enda Pugu hill, ni utalii. Siku hizi watu binafsi wameanza kuwekeza na kuboresha maeneo haya. Hii inatengeneza ajira na halmashauri zinapata pesa...
  8. A

    Hitaji la ajira za kazi za ndani kwa watu wenye miaka 50+ linaongezeka

    Kuna kundi kubwa la watu wazima wanaotafuta kazi za ndani. Wengine ni kutokana na changamoto za maisha, kuachwa na mume, kufiwa, kupoteza ulivyonavyo na kubidi kuanza upya, haya yote si sababu ya kuanzisha uzi huu. Watu wazima wengi wanajielewa, kazi umamwelekezi mara moja tu na huwa hawapendi...
  9. Ukiona panya, popo, mende, mijusi wanazoea ndani mwako usipuuze. Huenda ni uchawi na chuma ulete umewekewa ndani

    Uchawi ni roho kamili, roho huwa haifi kirahisi. Hivyo mchawi akifa hata kama alipokuwa hai hakumrithisha mtu ofisi yake, usitegemee ule uchawi utapotea. Automatically uchawi utamtafuta mrithi atafundishwa katika ulimwengu wa Roho naye atakuwa mkubwa kuliko hata muasisi wake. Muhimu: Huwezi...
  10. Nimevunja kibubu muda huu, siamini nilichokikuta ndani

    Dah, yaani hapa wakuu natamani kucheka wakati ni jambo la hovyo limetokea. Siku ya tarehe 3 mwezi huu, ni juzi tu hapo niliamua kununua kibubu na nikaanza kuweka visenti vyangu ninavyopata kazini, kazini nalipwa kwa kila siku, nikaona hela nayolipwa kwa siku ni nyingi na nikajiapiza kuwa...
  11. Jaji Mutungi: Sijazuia mikutano ya ndani ya kisiasa ya vyama

    Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Jaji Francis Mutungi amesema kauli yake aliyoitoa wali katika mkutano wake na waandishi wa habari Dodoma ilipotoshwa Amesema hajazuia mikutano ya ndani ya vyama vya siasa bali ameshauri vyama vya siasa kujizuia kufanya mikutano ya ndani kwa wakati huu...
  12. Simba SC msishindane na Yanga SC mnapoteza concetration kwenye Ubunifu

  13. Spika Ndugai: Gwajima akirudia tutamuita Waziri wa Mambo ya Ndani na kumhoji

    Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa...
  14. SoC01 Umuhimu wa Kiswahili kutumika kama lugha ya kufundishia Shuleni Tanzania

    Kiswahili kiwe lugha ya kufundishia Shuleni . Mfumo wa utoaji elimu ndio kitu pekee kitachopelekea elimu kupokelewa vizuri na wahusika katika mahala sahihi . Jamii yetu ya Tanzania imetawaliwa na lugha ya Kiswahili na kwa upande wa pili ni kwamba Kiswahili kimeidhinishwa kuwa ni lugha ya taifa...
  15. B

    Cristian Ronaldo ndani ya Man U

    Manchester United is delighted to confirm that the club has reached agreement with Juventus for the transfer of Cristiano Ronaldo, subject to agreement of personal terms, visa and medical. Cristiano, a five-time Ballon d’Or winner, has so far won over 30 major trophies during his career...
  16. K

    Mwezi wa tisa utakuwa ni mwezi wa balaa na mtifuano ndani ya Club ya Yanga

    Wanakutana na Wanigeria kwenye Club bingwa Africa (1st Leg/2nd Leg) 10-12 September / 17-19 September 2021-WATATOLEWA Wanakutana na SImba Ngao ya Hisani- WATAFUNGWA Unadhani nani atakuwa wa kwanza kuchinjiwa baharini?, Kwa kuwa bado GSM anaendelea kuwa na nguvu na bado anataka kuendelea...
  17. REKODI: Jezi mpya za Yanga zaidi ya Milioni 1 zanunuliwa ndani ya masaa 6 tangu zilipozinduliwa

    Habari za hivi punde ni kwamba jezi mpya zaidi ya Milioni 1 za klabu ya Yanga zimenunuliwa ndani ya masaa 6 tu tangu kuzinduliwa kwake. Eng. Hersi amethibitisha rekodi hii iliyowekwa na timu ya wananchi na kushangazwa na mapokeo makubwa ya jezi hizo mpya. Jezi hizo zinauzwa Tshs. 28,000/= kwa...
  18. Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

    Wakuu, Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri ========== Mwigulu Nchemba-Waziri wa Fedha na Mipango =▷ Itakuwa aibu mtanzania yoyote alie hai...
  19. SoC01 Pendekezo: Serikali iweke Tozo kwa Wamachinga kukabiliana na changamoto kwenye Majiji na Miji

    Kwa miaka mingi serikali imekuwa ikipambana na tatizo la wajasiriamali wadogo wadogo (maarufu kama wamachinga) ambao wametapakaa kwenye miji mikubwa ya nchi hii. Ukiangalia kwa jiji kama Dar es salaam, imekuwa sasa ni kawaida kuona mabanda ya wamachinga karibu kila kona unayokatiza. Ni kweli...
  20. Waziri wa Mambo ya Ndani unda tume ichunguze SACCOS ya Magereza imejaa dhuluma

    Kwanza saccos hii imejaa watumishi wazembe na wasio na hekima katika muktadha wa huduma kwa wateja. Askari hasa wa mikoani huwalazimu kutoa hadi rushwa ya zaidi ya milioni ili tu wasaidiwe kupata nyaraka muhimu kwa mfano zinazohusu mikopo. Kama huna rushwa ya kuanzia laki tano na kuendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…