ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. CCM imetudhihirishia kuwa ni chama Dola. Rais na Spika ni watu tofauti na Taaisisi ya Urais na Bunge ni vitu vingine

    Kitendo cha Spika wa Bunge la JMT kuandika barua yenye utata ya kujiuzulu na kisha kujitokeza hadharani kutamka kumwomba radhi raisi Samia Hassan, kina maana kubwa. Job Ndugai ametojitokeza ameomba radhi na kisha amejiuzulu na kuondoka. Huyu Spika si yule marehemu Adam Sapi Mkwawa na wala si...
  2. M

    Ni mpasuko mkubwa ndani ya CCM, kifo cha Hayati Magufuli chatajwa kuwa sababu

    Hii ni sababu kuwa kuna dalili kuwa hata kifo cha hayati JPM kina utata mkubwa. Mpaka sasa kuna kundi la wanaCcm linalojiona kuwa lipo kwa ajili ya kupinga ufisadi na ukwapuaji wa mali ya umma. Huku kuna kundi ambalo lilifurahia kifo cha Hayati JPM likijinasibu kuwa lina mpango wa kupiga madili...
  3. S

    Awamu ya Sita imeshakopa Trillion 10 ndani ya miezi 9 madarakani. Tunaomba ufafanuzi

    Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takriban Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwanini serikali haiji kutoa ufafanuzi wa kutosha badala yake kufunika funika mambo?. Mheshimiwa Spika Ndugai japo kaomba msamaha...
  4. B

    Hayati Magufuli aliweza kujenga miradi kwa fedha za ndani, hizo fedha za ndani kwa sasa zinafanya kazi gani au mapato yameshuka?

    Awamu iliyopita Rais, Makamu, Waziri Mkuu na viongoozi wote wa Serikali walitueleza wazi kwamba wanajenga Kwa fedha za ndani. Chama cha Mapinduzi na taasisi zake zote walizunguka kutuambia Serikali ya CCM inajenga kwa kutumia fedha za ndani. Bunge na units zilizopo chini yake walituambia...
  5. Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

    Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kile kinachotokea baadae huwa nje uwezo wake. Sababu ya uwazi wake Mahusiano yanapoanza kuyumba huwa hakuna siri. Na sio kwamba...
  6. A

    Kuna genge lenye roho mbaya ndani ya CCM

    Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua. Wamejawa na uchu wa madaraka, rushwa na upendeleo. Ni ndumi la kuwili, wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana. Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza...
  7. S

    Je unawajua wafanyakazi ndani ya Balozi zetu huko nchi za nje ??

    Kama mnawajua watajeni majina yao ,ndio mtawafahamu ni akina nanni na wanahusiana ni ndugu au watoto wa wakuu wakuu ,nyie andikeni majina yao hapa ,mtazidi kuzinduka.
  8. Lindi: Ally Chinga mkazi wa kata ya Msinjaili, amefungiwa ndani na kupuliziwa dawa ya Mbu kwa tuhuma za Wizi

    Kijana mmoja aliefahamika kwa jina la Ally Chinga mkazi wa kata ya Msinjaili manispaa ya Lindi amefungiwa ndani na kupuliziwa dawa ya Mbu baada ya kupigwa na mtu aliyemtuhumu kuiba betri ya gari leo Disemba 28, 2021. Imeelezwa kuwa, Mtuhumiwa huyo ambaye ni kondakta, alipewa gari hiyo kwenda...
  9. Dodoso la maswali 50 Kuelekea Sinodi ya 16 ya Maaskofu Mwaka 2023: Kanisa Katoliki Linapaswa Kutumia Zana Gani Katika Kuzisoma Alama za Nyakati?

    Papa Francis akiwa mimbari I. USULI Kitu kinachowaunganisha wanajumuiya ni imani ya pamoja kuhusu vitu vinavyoonekana na visivyoonekana (belief), kanuni za kimaadili zenye kutamka miongozo na miiko kuhusiana na matendo binafsi na matendo ya pamoja wakati wa kutekeleza ajenda ya pamoja (norms)...
  10. K

    Waziri wa mambo ya ndani Simbachawene, usitupotezee Muda!

    Waziri wa mambo ya ndani anajifanya ana tahamaki eti Askofu Mwingira mambo anayosema ni mazito. Anasema serikali wanataka waingize kwenye record. Usijaribu kufukua mashimo marefu kuliko uwezo wako 1. Lissu alipigwa risasi mchana , alitoa mpaka namba za magari yaliyokuwa yanamfuatiliampaka leo...
  11. Kwa maneno haya ya Polepole inamaanisha kifo cha Magufuli kina mchezo mchafu ndani yake?

    Alikuwa akihojiwa na Dar24 na kuulizwa kuhusu minong'ono ya watu kuwa Magufuli huenda hakufariki kwa ugonjwa uliotajwa kweli na kuwa huenda aliuawa Polepole akakwepa kujibu swali hilo na kusema mtu akishakufa yeye hamzungumzii tena (hata Rais wa nchi?) Polepole ambaye alikua moja ya watu wa...
  12. S

    Godbless Lema amshauri Waziri wa Mambo ya Ndani kukutana na Wabunge Aeshi Hilary na Stella Manyanya kabla ya kumjibu Nabii Mwingira

    Ni kupitia mtandao wa twitter ambako ameandika ujumbe huu na kuweka picha ya Simbachaweni. "Kabla ujamjibu Prophet Mwingira, nakushauri kaa na Mbunge Aeshi Hilaly na Stella Manyanya, wanajua baadhi ya mambo. Usijibu bila uelewa. Kwani Prophet Mwingira akirudi kufafanua, Tanzania inaweza kuomba...
  13. Humphrey Polepole ana hadhi ya CHASAKA ndani ya CCM, haijulikani alitokea wapi, na kadi ya CCM alipewa na nani!

    Chasaka ni mtu ambaye hana asili ya mahala fulani,sio wa pale. Polepole naye hana asili ya CCM, aliokotwa tu huko mababarani na kujikuta CCM akiwa na cheo. Asijifanye anaijua CCM saaana kuliko wenye mizizi ndani ya CCM. Polepole ni Chasaka grade number one+++
  14. L

    Natafuta msichana wa kazi za ndani

    Natafuta mdada wa kazi za ndani, Mshahara- 60,000 Sehemu-kinondoni Dini - yeyote Aina ya familia atakayofanyia kazi ina Baba , mama na Mtoto wa miaka 4. Atakayekuwa tayaru nicheck Dm Update “nmeshapata”
  15. Tom boy ndani ya ghetto langu!

    Tarakimu hii "12",imenifanya niukumbuke mwezi wa kumi na mbili mwaka jana katika moja ya mtaa niliokuwa naishi nilikuwa na washkaji zangu kadhaa ambao tulipata kufahamiana katika jioni tulivu,wakati tunapiga stori simu yangu mfukoni ikavibrate kuashiria Kuna mtu ameni sms. Sikuifungua haraka...
  16. Kampuni ya Disruptive Subdermals nchini Sweden yatengeneza chip itakayowezesha kuhifadhi taarifa za chanjo ya Corona ndani ya miwili wa binadamu

    Sweden, Kampuni ya DSurptive Subdemals nchini Sweden imetengeneza chip itakayoingizwa mwilini mwa binadamu ili kuweza kuhifadhi na kuhakiki taarifa za muhusika kuhusu kupokea chanjo dhidi ya ugonjwa wa Covid-19. Teknolojia hiyo inatumia NFC, ambayo pia hutumika kwenye mifumo mbali mbali ya...
  17. Siasa ndani ya Vatican zamshinda Kardinali mwafrika kutoka Ghana na kumlazimsha kuomba kujiuzulu

    Mungu hajawai kuumba vyeo vya watu bali aliumba watu na watu wanayao bila kujali vyeo wala nafasi zao VATICAN CITY (Reuters) - Cardinal Peter Turkson, seen by some as a candidate to become the first African pope in about 1,500 years, has abruptly offered his resignation from a key Vatican...
  18. Vikao vya CCM Ikulu vinakera

    Kwa karibu miaka 10 sasa baadhi yetu tumekuwa tukipinga na kukemea vikali sana vikao vya CCM kufanyikia ikulu ya Dar es salaam. Haya mambo yalishika kasi sana enzi za Jakaya Kikwete [ambaye siku hizi ni kipenzi cha makamanda]. Magufuli naye sasa anauendeleza huo utaratibu wa hovyo. Hii...
  19. HATA DIAMOND KASHINDWA KUFIKISHA VIEWS MILION NDANI YA SIKU!! MABANDO YATAZIKA UMAARUFU WA SANAA YETU AFRICA.

    Mods tafadhalini msiwe mnaunganisha uganisha thread zetu kwenye nyuzi za zamani, Kiutani utani sanaa yetu naenda kufutika katika ramani ya Africa, Sanaa yetu ya muziki ilikuwa inapaa kwa kasi ila kwa sasa haya mabando yamekata mbawa. Hata hizo tuzo za bet, views zilikuwa na nafasi yake kumpa...
  20. Ndani ya mwaka mmoja, mashirika ya umma yamekopa nje kwa ongezeko la 1024.2% zaidi

    Taarifa za Maendeleo ya Uchumi zimeonesha Taasisi za Umma zimeongeza kukopa nje ya nchi ambapo Oktoba 2020, Taasisi za Umma zilikuwa zinadaiwa Dola Milioni 51.7 (Tsh. Bilioni 119.1) na Oktoba 2021 limekuwa hadi Dola Milioni 509.5 (Tsh. Trilioni 1.174) Deni la Taifa limeongezeka kwa Tsh...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…