ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Drones zapiga majengo ndani ya Moscow, twende hivi hivi

    Hii picha inaonyesha namna jengo limepigwa japo Warusi wanajigamba kwamba sio issue kubwa, yaani wamepigwa mjini kati na kataifa kadogo hapo jirani, supapawa hoyeee!!! A damaged building following a reported drone attack in Moscow, Russia, July 24, 2023. CNN — Ukrainian drones struck two...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Fedha za kununulia kanga, vitenge na pikipiki za CCM pamoja na kufanya mikutano zimetoka ndani ya Chama au ni za Serikali?

    Kuna trend ya kusambaza bidhaa nyingi kwenye mfumo wa takrima nchi nzima. Katika mdororo wa uchumi kama uliopo duniani kwa sasa ni vigumu nchi maskini kama Tanzania kupata fedha za kufanya haya yanayofanywa leo. Pesa hizi za kuprint kanga na vitenge zinatoka wapi? Hizi pikipiki zinatoka chini...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 "Wazee wa cha juu" : Jinsi udalali unavyoua soko la ndani

    Maisha ya kawaida ya mtanzania ni pamoja na uwakala wa bidhaa na huduma au maarufu kama ujulikanavyo "udalali". Tangu kupanda kwa jua mpaka machweo yake, watu wanatafuta masoko ya bidhaa zao ama fursa mpya --waitavyo wenyewe "chimbo" . Lakini mimi binafsi bwana kuna jambo moja linalonikera...
  4. JamiiForums Tanzania Balozi Sefue: Baadhi ya Wakuu wa Wilaya na Mikoa wanatumia vibaya Mamlaka yao

    Fuatilia yanayojiri kwenye Kikao cha Wajumbe wa Tume ya Haki Jinai, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Wahariri wa vyombo vya habari, leo Julai 20, 2024. Kikao hiki kinafanyika Ikulu ya Dar es Salaam. Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inaongozwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Picha: Jamaa Dubai ghafla akutana na Mfalme ndani ya lift

  6. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tofauti ya Army Corps na Marine Corps ndani ya jeshi la Marekani

    Kwa wale wadau wa mambo ya medani wanijuze kuhusu hivi vitengo ndani ya jeshi la marekani vina tofauti gani maana kwa ufupi nimeona hata drill instructors wao wakiwa na personalities tofauti. Naomba kuwasilisha kwa wapenzi wa mambo ya jeshi kwenu
  7. JamiiForums Tanzania Maisha yamekupiga? Jiite Mtume, Kuhani au Nabii ndani ya miaka 3 una gari lako

    Binafsi nilikuwa miongoni mwa watu ambao ukiwasema vibaya hao niliowataja juu naona kabisa kuwa unakwenda kulaaniwa na hutasamehewa. Yaani niliona ni heri uue unaweza kusamehewa lakini si kuwasema hao wanaoitwa watumishi wa Mungu. Sasa niko huru, naweza kujadili na kumsema au kumkemea mpuuzi au...
  8. JamiiForums Tanzania Anayejua ratiba za minada ya kila wiki ndani ya mikoa kati Dodoma, Morogoro na Tanga

    Kama nilivoandika hapo juu anayeajua ratiba za hii MINADA inayokuwepo ndani ya hii MIKOA naomba anisaidie na maeneo inayo patikana na siku gan ndan ya wiki. Hasa Dodoma 🙏🙏🙏🙏
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni kuwatunza na kuwaheshimu wafanyakazi wenu wa ndani yasije kuwatokea haya anayopitia mzazi mwenzangu

    Ni dhahiri kuna baadhi ya watu hata ukiwastili vipi au kuwaheshimu vipi au kuwasaidia vipi ipo siku watukufanyia ubaya tu bila sababu ya msingi. Lakini hilo lisiwe ndio chachu ya kuwatendea wengine mabaya, ni bora uwe neutral (mtu wa haki sio mtu wa favors) kuliko kuwa negative. Hii ni kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

    NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI. HUDUMA ZA ZIADA 📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta. 📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia...
  11. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linachunguza kifo cha mtu mmoja aliyekutwa ameuawa ndani ya gari

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetangaza kuwa linachunguza tukio la kifo cha mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Felix Josephat Mgeni (47) anayedaiwa kuuawa na mwili wake kukutwa ndani ya gari ukiwa na baadhi ya vitu vingine vya jinsia ya kike. Akizungumza leo SACP Jumanne...
  12. JamiiForums Tanzania Prof. Makubi afanya kikao cha kimkakati na Madaktari Bingwa/bobezi ndani ya MOI

    Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Prof. Abel Makubi, leo Julai 12, 2023 amefanya kikao na madaktari bingwa/Bobezi wa MOI ili kujadili kwa pamoja namna ya kuboresha huduma kwa wagonjwa, suala la huduma kwa wateja, uwajibikaji wenye matokeo , kuwa na mtazamo chanya pamoja na kuongeza na kuifanya Taasisi...
  13. JamiiForums Tanzania Ubinafsi na Utapeli wa Sisi wanaume ndani ya Familia

    UBINAFSI NA UTAPELI WA SISI WANAUME NDANI YA FAMILIA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Niliwahi kuandika hapa, unaweza kupitia👇Wanaume tuache Ubinafsi ukitaka familia yako ianguke basi moja Kati yenu awe mbinafsi. Aidha Mke au Mume. Chanzo kikubwa cha umaskini wa familia nyingi hapa Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Tuisheni ya Kitabibu.Madaktari wa Serikali Tanzania Wameruhisiwa kufanya kazi binafsi ndani ya Hospitali za Serikali?

    Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu; Nakuelewa sana as person and as a woman na unajitahidi sana kufanya kazi ila kwa hili ambalo wanasema Umeruhusu Sasa Madaktari wafanye "Tuition ya Kitabibu" Kwa kweli hiki ni Kituko PRO MAX. Hata kama lengo ni kututoa kwenye Mjada wa DP world Basii SISI tunahisi...
  15. JamiiForums Tanzania Kitu pekee kitakachoitoa CCM madarakani ni mgawanyiko wa ndani ya chama na sio vinginevyo

    Nimekuwa nikisoma mashambulizi mbalimbali mitandaoni dhidi ya chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo wanaokiponda hasa CHADEMA na kujikuta wakati mwingine niwaze kitakachoitoa CCM madarakani. Ukisoma maandishi ya wapinzani unaweza ukatishika na kudhani mwisho wa CCM ndo...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Waziri wa Mambo ya Ndani ashauri Bunge kuruhusu matumizi ya Mirungi, adai haujawahi kuua mtu

    Ni kauli ya Meja Jenerali Mstaafu Kahinda Otafiire, aliyewaomba Wabunge wa Uganda kuondoa bidhaa hiyo katika orodha ya Vilevi vilivyopigwa marufuku Nchini humo. Waziri huyo amesema, sidhani kama Mirungi ni hatari zaidi kuliko Kahawa na Pombe. Kwa hivyo mabibi na mabwana, naona bora tuiondoe...
  17. JamiiForums Tanzania Ndani ya miezi 6, Kampuni za Teknolojia zimefukuza Wafanyakazi 201,860

    Mwaka 2023, umetajwa kuwa mwaka mgumu sana kwa Wafanyakazi wa Tasnia ya Teknolojia duniani kote baada ya kugharimu tena ajira za makumi kwa maelfu ya wafanyakazi. Wakati huu, upunguzaji wa wafanyakazi umefanywa na makampuni makubwa zaidi katika teknolojia kama Google, Amazon, Microsoft, Yahoo...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Utalii Wa Ndani Tanzania: Faida, Changamoto Na Vivutio

    UTALII WA NDANI TANZANIA: FAIDA, CHANGAMOTO NA VIVUTIO Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Picha | Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro Utalii wa ndani ni muhimu sana kwa maendeleo ya kiuchumi na kiutamaduni ya nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine nyingi za Afrika, ina vivutio vingi vya utalii...
  19. 5

    JamiiForums Tanzania Russia si salama tena Drones ndani ya Moscow

    Mtakumbuka Urusi alisema Ukraine asijaribu kushambulia Urusi itazalisha vita ya 3 ya dunia.,
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi masikini ndani ya Nchi tajiri. Hata kama CCM itakufa sitokuja isahau

    Habari JF, Binafsi sitachoka kuinyooshea kidole CCM kwa matatizo na maendeleo duni ya Taifa hili mbali na Tanzania kujaliwa maliasili nyingi sana. CCM imetuaminisha kwamba hatuwezi fanya maendeleo bila Misaada ,mikopo na kujipendekeza nje ya Nchi. CCM imefanya wananchi masikini kiasi kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…