ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tangu mvua ianze sijasikia "kataa ndoa" wala "fear women" humu ndani.

    Leo sisalimii Moja kwa moja kwenye hoja. Aisee leo nimepata kugundua kitu fulani hapa ulimwenguni. Mara nyingi hasira za wanawake huwa zinakuwa ni ushindi au furaha kwa wanaume. Immediately a woman gets mad, she cheats with another man, it's men who are winning. If women want revange, she...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Unaweza kuishi kwenye Chumba hiki?

    Chumba chenye open Maliwato...!
  3. JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea ndani ya CCM? Nani ni tishio?

    Kuna kitu hakipo sawa ndani ya CCM ya Samia. Nguvu inayotumika kusema fomu ni moja tu ya mgombea urais mpaka anachangiwa pesa sio ya bure. Mange alipost matusi ya nguoni kwa Rais kisha akaambiwa afute akafuta. Haijatokea bahati mbaya. Makonda anasema kuna mawaziri na watu wenye nguvu wanatuma...
  4. JamiiForums Tanzania Usiku mzuri ninaoukumbuka mwaka 2020 ndani ya Iringa Mjini

    Kanuni yangu ya maisha ni hii: fanya ibada, tafuta pesa, wekeza, msaidie asienacho(japo sio lazima) na mwisho kabisa kumbuka kujipa furaha wewe mwenyewe. Mwaka 2020 ulikuwa ni wa mafanikio sana kwangu. nilipata deal lililofanya nizunguke sehemu mbalimbali nchini ikiwemo iringa. Ukiondoa faida...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Treni ya Mwakyembe imesitisha ratiba yake takribani wiki ya pili sasa

    Treni ya Mwakyembe imesitisha ratiba yake ndani ya wiki mbili sasa, Treni hiyo ambayo safari zake huwa ni kuanzia Tazara kuelekea Kigogo sokoni Jijini Dar es Salaam imekuwa msaada mkubwa kwetu Wananchi tunaoitumia. Sisi wananchi tuliokuwa tunaitegemea tunapitia adha kubwa ya usafiri kwa sasa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Ndani badikikeni; tumieni mifumo ya TEHAMA acheni kupiga fedha kwa kutufolenisha kusajili taasisi na magroup ya whatsApp

    Tanzania sijui ni nani amewaloga watumishi wa umma. Kila wakikaa ofisini wanatafuta namna ya kuwafanya watu wasiende kuzalisha badala yake wakapange foleni kubishana na watumishi husika. Tanzania watu wanaopanga kujikwamua kiuchumi lazima wanaripoti ofisi zifautazo kwa lengo la kuendesha...
  7. JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI za Ualimu na Afya zina ukweli ndani yake au ni siasa?

    Siku mbili tatu hivi Kuna tangazo limekuwa likitembea linalohusiana na ajira za ualimu na afya. Japo tangazo hili ukilitafuta kwenye website ya TAMISEMO halionekani, sasa nauliza Tangazo hili linaukweli ndani yake?
  8. JamiiForums Tanzania Watu 2 wapigwa risasi Israel ndani ya mgahawa

    Wanaukumbi. WATU 2 WALIPIGA RISASI ISRAEL NDANI YA MGAHAWA Kick Streamer JohnnySomali Alieleza kuwa alishuhudia tukio la kupigwa risasi katika Mkahawa Huko Israel "Mtu alikuja tu kwenye mgahawa na kuanza kumpiga risasi kila mtu. Nilikuwa tu katika shambulio katika mkahawa mmoja huko Jaffa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Yalikuwa yanajisifu ni ya kimataifa. Yamepigwa ndani nje sasa yamejificha kwenye dhuluma waliiofanyiwa Yanga

    Habari ndio hio. Zile kelele kwamba mlikuwa mnacheza kombe la loser sasa hazipo na` zile kelele Yanga kimataifa hawawezi nazo hazipo. Yaani kwa miaka miwiliu wamefilisika kabisa kihoja. Sasa wamejificha kwenye dhuluma waliofanyiwa Yanga huku wao wametiaa aibu kufungwa home and away. Ni hawa...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta Daktari wa tatizo la Kucha kuingia kwenye vidole vya Miguu

    Ndugu zangu kwema? Nina changamoto kubwa, sasa ni mwaka wa tatu toka 2022 kucha zangu za vidole gumba vya miguu zinachimba ndani na kunifanya vidole vyangu kupata vidonda visivyopona hivyo naombeni sana mtu anayemfahamu mtaalamu au daktari bingwa ama hospitali inayotibu hii changamoto niweze...
  11. JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ndio anaingia ndani sasa hivi (saa 9:16 usiku)

    Aisee, kumbe ndoani ni pagumu. Kama mambo yenyewe ndio haya, basi nitaoa mwaka kesho kutwa. Kweli mke wa ndoa unaingia ndani saa 9 usiku ukiwa na rafiki yako mumelewa chakari, plus bodaboda wenu pembeni!!!? Mnategemea mlale kwa nani!!? Nawasikia wanabisha mlango hili mwanaume awafungulie😂 Na...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Dkt. Joseph Mhagama: Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Kutumia Fedha za Ndani

    Mbunge Dkt. Joseph Mhagama: Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Kutumia Fedha za Ndani “Kamati inapongeza jitihada za Serikali kuendelea kupanga bajeti ili kutekeleza miradi mingi zaidi kwa kutumia fedha za ndani. Kwa umahususi, Kamati inaipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya usimamizi mahiri...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Katiba ingelikuwa bora, "wana-CCM wa shamba" msingelikubali hili

    Ninaamoni katiba ingelikuwa ni bora, inayotoa fursa sawa ya uhuru wa mtu kuamua, kuchagua na kumpata mgombea anayemtaka, washamba ndani ya ccm mngefanya maamuzi na maamuzi yenu yangepata ushindi. Kwasbb washamba ni wengi. Lkn kwa katiba hii, wingi wenu hauna tija, hauna mashiko na ndiyo maana...
  14. 4

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuwashitaki wateuliwa wa CCM ndani na nje ya nchi, Mungu nisaidie

    Wakuu JF Mungu amebariki. Sio mda nitawashitaki wateuliwa wa CCM, nitanza na Makonda wengine watafutia. Haiwezekani nchi endeshwa kihuni namna hii kisa watu pitia mgongo wa CCM. Nitawashitaki and then watalipa Taifa sio mie. Wanasheria mlio tiyari zama Dm tuyajenge. Thanks
  15. JamiiForums Tanzania Nimepigwa na kufungiwa ndani ya nyumba na mke wangu

    Wakuu samahanini kwa mada zangu za kuhusu mapenzi aisee ila kusema za ukweli mapenzi yananiumiza sana hivi wanaume wenzangu mnafanyeje ili kukabiliana na hali hii? Sasa leo wakuu nimepigwa na kufungiwa ndani na mke wangu aisee, kisa cha kunipiga ni kumuuliza kwanini unachelewa kuamka na kwanini...
  16. JamiiForums Tanzania Hongera Yanga! Mmeonesha mna na timu ya aina gani. Nawaona mbali ndani ya miaka 2 ijayo kwa ubora wenu

    Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki wa yanga popote pale walipo kwa kuiunga mkono timu yao ndani na nje ya nchi. Kusema na ukweli yanga imetengeneza timu ambayo inaanza kuwa tishio barani afrika kwa timu zote, pamoja na uchanga wake kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Teua-Tengua, nyingine itakuja tu ndani ya miezi miwili ijayo!

    Sasa wapiga kura, wananchi, walipa kodi, tumeanza kujua kiini cha Teua-Tengua zinazoendelea kila baada ya miezi miwili au mitatu. Wengi wanaokumbwa si kwamba hawafanyi kazi, la hasha! Wengine si kwamba ni wabadhirifu, la hasha! Inavyoelekea, hizi Teua-Tengua msingi wake ni mmoja tu-...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowezesha mageuzi katika sekta ya afya ndani ya muda mfupi

    Afya bora au Afya dhaifu ni kigezo cha kutambua uhai wa Taifa lolote, Afya bora ni matokeo ya mambo mengi na moja wapo likiwa ni huduma bora katika nyanja mbalimbali. Miaka kadhaa iliyopita mgonjwa kufanyiwa CT SCAN ilikuwa nadra na kwa hospitali chache. Kwa kutambua umuhimu wa huduma bora za...
  19. JamiiForums Tanzania Iran ndani kwawaka moto, wanajeshi 5 wapigwa na kuuawa

    Maskini Iran inapigwa kote, sio ndani, sio nje yaani wanavuna walichopanda kwenye maugaidi ya dini yao.... 5 Iranian Security Officers Reported Killed In Clashes Eight gunmen and five members of Iran's security forces were killed in clashes at two separate points in southeastern Iran, state...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu/ taasisi ya kunikopesha tshs laki mbili na nusu, nitalipa 340k ndani ya miezi minne.

    Nashukuru kwa michango, nilikuwa nahitaji taarifa fulani za kina kutokana na maoni ya wadau through jf. Mbarikiwe wapendwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…