SoC04 Usalama wa abiria ndani ya daladala za mijini na vijijini

Tanzania Tuitakayo competition threads

presider

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
1,102
1,390
UTANGULIZI
Usafiri wa daladala ndio usafiri unaotumiwa na watu wengi ndani ya mikoa mikubwa(Majiji), mikoa midogo na vijijini. Ni usafiri ambao asilimia kubwa wa watumiaji wa watu wa kipato cha kati.

Mara nyingi wakati wa Asubuh na jion kwa mikoa mikubwa kama Dar es salaam, Mwanza nk ndio wakat wa daladala kupakia abiria kupita uwezo wake.

Je serikal na Mamlaka Husika kama Latra na Trafick hili jambo mnaliona....? Na kama mnaliona je kwenye Usafiri wa umama au Daladala ni salama kwa kiasi gan. Je abiria wa Elimu kuhusu usalama wako wakiwa ndani ya usafiri wa umma...?

Suala Daladala au usafiri wa umma kujaza watu kupita uwezo wake sio jambo jema/zuri kwasababu kwanza gari inakua imebeba mzigo mkubwa kuliko uwezo wake. Mwisho wa siku Life span [uwezo wa kuishi] wa gari unapungua.

Kama uwezo wakuishi gari ulitakiwa kuwamiaka 10. Hilo gari litafanya kazi kwa miaka 7 had 8 tu. Kwa sababu uwezo kubebamzigo mkubwa. Hii hali pia inaleta Hasara kwa mmiliki wa gari.

Kuenea kwa magonjwa ya njia ya Hewa na Ngozi kama homa ya ini, Corona, Mafua nk.

Kwenye chombo cha usafir cha uma kama daladala kuna takiwa kuwa na wa vifaa vua kuzuiaau kukinga abiria kutokana na majanga kama ya ajali na moto.

Daladala zote zinatakiwa kuwa na
 Mtungi wa Gesi wa kuzimia Moto
 Mlango wa dharula
 Seat belts( Mukanda ya kujifunga kiunoni)
 First aid kit (Sanduku la huduma ya kwanza)

Mtungi wa Gesi wa kuzimia moto
Huu n mtungi wa maalum amabai unatumika kuzimia moto sehem mbali mvali kama vile majumbani, Magereji na kwenye Vyombo vya moto.

Hichi ni kifaaa muhimu sana kwenye daladala au kwenye chombo chochote cha usafiri wa uma. Endapo kuna kuna ajal ya moto itatokea kwa bahat mbaya itakua rahisi kuuzima kwa haraka.

Mlango wa Dharula(Emergence/Exit Door)
Huu ni mlango ambao unatakiwa kuwepo kwenye daladala, Mlango huu utatumika na abiria pale gari linapokua limedondoka na kulalia upande mmoja. Kwahyo abiria wataweza kutoka kwenye gari lilopata Ajali kwa kutumia mlango huo.

Mlango wa dharura mara nyingi huwa kwenye pande zote za gari yaaan upande wa kulia na kushoto kwenye Vioo au kioo cha nyuma. Hairusiwi mtoto au mlemavu kukaa kwenye seat ambayo upo mlango wa dharula.

Seat Belts( Mkanda wa kufunga kiunoni)
Hii ni mikanda maalum inayotumika na abiria kufunga kiuno hii kumzuia kuruka au kutoka kwenye siti aliyekaa na kwenda mbele au nje wakat gari linapopata ajari. Lakini serikali, Latra na Trafic hawajal sana kwa hizi gari za daladal kutokua na mikanda ya usalama. Hii Makanda wa Dharula n wa muhimu sana kwenye Vyombo vya usafiri wa uma.

First aid kit/Box(Boksi la huduma ya kwanza)
Hudumai boksi la huduma ya kwanza ambalondani yake kunakua na dawa na vifaa mbali mbali ambavyo vinatumika kwenye Huduma ya kwanza.

Hili boksi litatumika pale Abiria au mfanyakazi wa Gari kuoata huduma ya kwanza pale anapotaka tatizo lolote la kiafya.Lakn kwa Daladala nyingi hzi Boksi hakuna na hata kama zikiwepo zinatumika kutunzia spana na vitu vingine.

USHAURI WANGU
Nina shauri Serikali itunge na kusimamia sheria kali juu ya kulinda Usalama wa Abiria pale wanaponda magari ya Uma au daladala.

Daladala ziwe na mikanda ya Kujifunga kiunoni, Mlango wa Dharula, Tungi wa gasi wa kuzimia Moto pamoja na Boksi la huduma ya kwanza.
 
Suala Daladala au usafiri wa umma kujaza watu kupita uwezo wake sio jambo jema/zuri kwasababu kwanza gari inakua imebeba mzigo mkubwa kuliko uwezo wake. Mwisho wa siku Life span [uwezo wa kuishi] wa gari unapungua.

Kama uwezo wakuishi gari ulitakiwa kuwamiaka 10. Hilo gari litafanya kazi kwa miaka 7 had 8 tu. Kwa sababu uwezo kubebamzigo mkubwa. Hii hali pia inaleta Hasara kwa mmiliki wa gari.
Naamini wenye magari kama wangeona ni hasara kuliko faida basi wangeshawakataza hao wafanyakazi wao. Lama wanaendelea basi ni wazi faida imezidi hasara.

Seat belts( Mukanda ya kujifunga kiunoni)
Muhimu sana. Hakuna gari inatoka kiwandani bila seat belts kwa hiyo wamiliki wasilete uzembe kutozirekebisha zikiharibika.

Daladala ziwe na mikanda ya Kujifunga kiunoni, Mlango wa Dharula, Tungi wa gasi wa kuzimia Moto pamoja na Boksi la huduma ya kwanza
Kweli kaka, na bora umegusia milango. Yaani utakuta mlango upo sealed kabisa hakuna cha dharula wala nn. Au ndio ya kuvunja tu?
 
Naamini wenye magari kama wangeona ni hasara kuliko faida basi wangeshawakataza hao wafanyakazi wao. Lama wanaendelea basi ni wazi faida imezidi hasara.

Muhimu sana. Hakuna gari inatoka kiwandani bila seat belts kwa hiyo wamiliki wasilete uzembe kutozirekebisha zikiharibika.

Kweli kaka, na bora umegusia milango. Yaani utakuta mlango upo sealed kabisa hakuna cha dharula wala nn. Au ndio ya kuvunja tu?
ASante sana Mkuu
 
Back
Top Bottom