Naomba kupewa ufafanuzi kidogo.
Je, katika Ofisi ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Butiama, ni utaratibu wa kawaida kwa watumishi, hususan wa Idara ya Ujenzi, kutolipwa fedha za likizo na badala yake kuambiwa wajilipe kutoka kwenye OC ya ofisi?
Naomba kufahamu kama huo ndio utaratibu...