ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. USSR

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza ukrane imerusha makombora ndani ya urusi

    Waziri wa ulinzi wa urusi amesema kiwa leo ukrane imerusha makombora ndani ya ardhi yake kufuatia kupewa idhini na USA USSR
  2. T

    JamiiForums Tanzania Je Kwanini USA wameruhusu Ukraine kupiga ndani ya Urusi?

    Kuna mijadala mingi sana na Kila mtu anatoa uchambuzi wake Kwanini USA chini ya Biden wameruhusu Ukraine kutumia long range boom kupiga ndani ya Urusi. Ndugu zangu lisemwalo lipo na kama halipo basi lisubiri mlione. Kwa muda mrefu sana hii vita ya Ukraine na USA imekuwa ikipigwa lakini nyuma...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naonya Mbinu Chafu isitumike hasa ile ya 4-4-2 ndani ya Vyumba vya Guinea leo, kwani Tutaumbuka vibaya na Kufungiwa

    Nasikia kuna Umafia umefanyika sasa kwakuwa sitaki Taifa Stars ishinde leo nawasanua Guinea ili FIFA na CAF wajue.
  4. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Marekani yaruhusu Silaha zake kutumika ndani ya Urusi popote pale

    Serikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni sawa
  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuokoa watu toka kwenye underground ya ghorofa lililoanguka ndani ya masaa mawili

    Siku nyingine jengo likianguka na watu kunaswa kwenye underground, njia rahisi ya kuwatoa kwa haraka ni kuchimba shimo pembeni ya jengo (barabarani), kisha lilishafika kina cha usawa wa underground, inachimbwa tunnel itakayowekwa precast culvert za zege kuelekea kwenye jengo, kisha pipe za...
  6. Loimata

    JamiiForums Tanzania Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

    ,,,
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuigeuza milioni kumi kuwa bilioni mbili ndani ya miaka mitano?

    Naomba usiniambie haiwezekani, tafadhali! Hiyo milioni kumi haitatumika kwa kazi nyingine zaidi ya kuzalisha hela nyingine, ili baada ya miaka mitano ziwe zimeshafika bilioni mbili. Ingekuwa ni wewe ungefanyeje? Asanteni sana🙏
  8. Magical power

    JamiiForums Tanzania Me sio mtabiri lakini humu ndani kuna watu walikutana msibani ni vile tu ni siri yao

    Mara nyingi katika mazingira fulani ambayo hatukutarajia na kwa namna isiyoeleweka kabisa ndipo tunakutana na watu wetu sahihi wakati mwingine hata tukiulizwa tulikutana wapi au tulifahamiana wapi inatubidi kusema uongo kwasababu mazingira na namna ile tulivyokutana watu watatushanga'aa sana😀...
  9. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Je, Mpasuko Ndani ya CHADEMA Unaashiria Kuporomoka kwa Chama?

    Madai ya rushwa na matumizi mabaya ya fedha yamekuwa yakitajwa, huku wakosoaji wakimlaumu Mbowe na viongozi wa chama kwa kukosa uwazi na kushindwa kuleta mabadiliko ya kweli. Swali linalojitokeza ni: Je, CHADEMA bado kina nafasi ya kushinda uchaguzi ujao wa serikali za mitaa? Mgawanyiko huu...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa riwaya zilizojipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya tanzania na sababu za kupigwa marufuku

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Mimi nianze na Rosa Mistika mtunzi kezirahabi marufuku kwa kukiuka maadili Jioni njema
  11. G

    JamiiForums Tanzania CCTV video: Wizi wa vitu ndani ya magari, usijenge mazoea ya kuacha vitu ghali kwenye gari,

    kukumbushana sio mbaya, tahadhari muhimu kuliko kusubiri yakukute Muda mwngi katumia kusubiri watu wapite, 2:00 kapiga tukio
  12. Gwappo Mwakatobe

    JamiiForums Tanzania Elon Musk Anakuja na Usafiri wa Kuzunguka Duniani Kote Ndani ya Saa Moja! Unaweza kufanya Kazi Marekani Ukitokea na Kurudi Da es Salaam Kila Siku!

    Soma hapa: "Elon Musk wants to change the way we fly. The billionaire tech mogul is pushing forward with SpaceX’s plans to launch “Earth to Earth” space travel, offering intercontinental flights that take off like a rocket and land just minutes later across the globe. Musk says his dream of...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI ITV wamechapisha taarifa Lissu amesema, "safari yetu imejaa mashaka, hatuaminiani ndani ya chama chetu"

    katika pitapita zangu katika mtandao wa X nimekutana na chapisho hili kumhusu Tundu Lissu Wakuu uhalisia wa chapisho hili ni upi?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Uzushi, majungu na uongo, havina nafasi katika soka, soka ni sayansi, uwekezaji na mipango. Alie bora ataonekana tu na swala la muda

    Huu ndio ujumbe wangu kwa hawa waliowekeza kwenye majungu, uongo na uzushi wakiamini watafanikiwa kuwaaungusha miamba wa soka la Bongo kwa sasa(Dar Young African). Wajiulize tu maneno haya katika misimu iliopita yaliwasaidia nini na Yanga ilikwamisha kwa haya? 1.Yanga anacheza kombe jepesi la...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Anguko kuu la mwanaume ni pale anapokuwa mshamba wa wanawake

    As much as mwanamke ana mapungufu milioni mia nne haipotezi ukweli kuwa hakuna alie kulazimisha bro, Haipotezi logic kuwa asilimia kubwa ya wanaume wana ushamba wa wanawake. Na kama navyosemaga "anguko kuu la mwanaume ni pale anapokuwa mshamba wa wanawake" Kuna Dini zimebadilishwa baadhi ya...
  16. wakusoma21

    JamiiForums Tanzania Natafuta masoko ya uwakika ya nafaka ndani ya tanzania na nchi Jirani

    Habari za mapambano wanajamvi kama mada ilivyo hapo juuu. Nimekuwa nafanya biashara ya mazao (mahindi, maharage,mpunga,alizeti) kwa mda wa miaka zaidi mitatu yaaani mimi natafuta mzigo vijijini maeneo ya songwe na Rukwa napeleka soko la tunduma mataifani pia soko la mbalizi. Kuna baadhi ya mambo...
  17. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma ndani ya Treni za SGR zinasikitisha sana

    Habari zenu wana bodi ya Jamii Forum, Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class. Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni sijapendezewa nazo sana katika maeneo yafuatayo: 1. Wao wametoa maelekezo kwamba abiria wa SGR haruhusiwi...
  18. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wana msongo wa mawazo (stress) kwasababu hawafanyi Utalii wa ndani

    📖Mhadhara (56)✍️ Unaishi miaka 70 mpaka unakufa hujawahi hata kuzunguka maeneo yaliyopo ndani ya nchi yako (Tanzania) ambayo yataifurahisha akili yako. Si kwamba huna hela, bali unaendekeza sana mambo ya hovyo kuliko mambo mengine mazuri. Tanzania ni nchi ambayo imejaaliwa kuwa na vivutio vingi...
  19. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Vipi? Umkute na nguo ya ndani umzue au bila bila mpenzi wako

    Wakati mnakubaliana kunyanduana hususani kwa mwanaume Kuna masharti ambayo unampa mpenzi wako pindi mnapokutana chumba Cha Siri awe amezingatia ili kukidhi matamanio Yako, kwa misingi ya kuongeza matamanio na hisia Kali za kimapenzi pindi mnapokutana. Moja wapo ni kuhusu nguo ya ndani ( Pichu )...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Uturuki imewapiga Wakurdi zaidi mara 1000 ndani siku nne kuretaliate shambulio la kigaidi lilifofanyika. Cha ajabu hatusikii wanaharakati mkilaani

    Israel akirudisha mashambulizi kutokana na ugaidi anaofanyiwa mnawaita wauaji. Ooh, tushaelewa kwa nini. Turkey ni wale wale itikadi kali wenzenu ndio maana mko kimya.
Back
Top Bottom