ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni uzalendo kufichua ufisadi na mafisadi ndani ya serikali.

    Sabato njema! Ni jukumu la wazalendo mahala popote walipo iwe ni watumishi wa serikali, viongozi wa serikali au raia wa kawaida. Jukumu namba moja la mzalendo ni kulinda nchi yake. Kulinda maslahi ya watanzania. Kufichua ufisadi na mafisadi ni sehenu ya kulinda Nchi na kulinda Maslahi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM imeji dhalilisha ndani ya Jumuia ya Afrika Mashariki na dunia nzima kwa 100%

    https://youtu.be/8KZulT0i1nk?si=OmucN8PMwbOADTlj Kwa unyama huu waliotendewa Wanasheria na Wanaharakati toka nchi za jirani zetu Kenya na Uganda kimeharibu kabisa uhusiano wa kidplomasia. Tujiulize: Kulikuwa na ulazima gani wa kuwakamata, kuwatesa na kuwa dhaliilisha kingono baadhi yao? Mtu ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kuhoji ni kuishi: Ujasiri wa kutafuta ukweli ndani ya giza la mazoea

    Katika maisha ya kila siku, kuna jambo moja ambalo linatisha kuliko njaa, kuliko maradhi, kuliko hata kifo chenyewe—nalo ni kuishi bila kufikiri. Kuishi kama mzigo unaosukumwa na upepo wa mazoea. Kuamka, kula, kufanya kazi, kupumzika, kulala, kisha kurudia. Watu wengi wameingia katika mduara huu...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Tiba asili tusizibeze sana, Mdudu aliekuwa ananisumbua kwenye kidole kaacha jeuri ndani ya masaa manne tu

    Siku ya juzi na janausiku nilisumbuliwa na maumivu makali ya mdudu ndani ya kidole cha pete. Huyu mdudu anakusubiri umalize mishe zako, vile umetulia au umelala yeye ndio anaanza kazi yake, ni tafrani. Nimehangaika hospitalini, daktari kaniandikia dawa ila hakuna nafuu Siku ya leo nikawa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Bashe atangaza kuwaweka ndani Wanasiasa wanaopinga Bei ya Pamba

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amewaonya wanasiasa na viongozi kutoka ukanda wa uzalishaji wa zao la pamba kuacha kutumia zao hilo kwa malengo ya kisiasa, akisisitiza kuwa siasa hizo zinachangia umasikini wa wakulima wa pamba na kwamba atahakikisha viongozi hao wanakamatwa na kuwekwa ndani...
  6. JamiiForums Tanzania Unatunza mali zako wapi ndani ya nyumba yako? Njoo tukufundishe sehem salama

    Wakuu siku nyingine kwenye chumba chako Chimba weka sehem ya kuwekea vitu vya thaman juu ukubwa wa tiles moja au mbili alafu unarudishia tilesvizuri kwa ajili kutunza mali zako Na pia kuna chumba unaweza kutuambia tukakudesizainia kinakuwa hakionekan pande zote weka mali zako usiklili kila...
  7. JamiiForums Tanzania Nguruwe mmoja anaweza kukupa hadi zaidi ya TSh. Milioni 1 ndani ya muda huu tu!

    Leo nataka tuangazie fursa hii ambayo imekuwa ikizungumzwa sana lakini bado haijatiliwa mkazo. Ukiitazama kwa jicho la fursa — inaweza kuwa njia ya tobo lako la kiuchumi mwaka huu! ❓Je, unajua? Nguruwe ni miongoni mwa nyama zinazopendwa sana Tanzania, hasa maeneo ya mijini kama Dar es Salaam...
  8. JamiiForums Tanzania CHAUMMA ni mradi unaoratibiwa na maofisa ndani ya ofisi nyeti nchini

    Wakuu, CHAUMMA ni mradi unaoratibiwa na maofisa ndani ya ofisi nyeti. Hilo limethibitishwa. Lengo ni nini hasa? Lengo ni kusawazisha sintofahamu kubwa knayoendelea nchini kuhusu siasa. Mfano kwa leo pale Ubungo walijazwa wanawake wanaohudumu kwenye saluni za kiume na vijana wa boda boda...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kila mtu humu ndani atakufa

    Ndiyo, Kila mtu humu ndani atakufa. Msijisahau.
  10. JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Nje: Acheni Tabia Mbaya ya Kuingilia Mambo ya Ndani ya Tanzania

    Rashda naandika Katika siku za hivi karibuni, suala la wanaharakati kutoka nje ya nchi kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania limezua gumzo. Mwanasiasa mashuhuri kutoka Kenya, Martha Karua, pamoja na wenzake, walijaribu kuhudhuria kesi ya kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu. Lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Kwenye hili la mechi ya Simba kuchezewa Zanzibar Kuna uhuni ndani yake, nani aliyeruhusu awali mechi ichezewe Zanzibar bila TFF na Simba kujua?

    Taifa limefikia hatua ya kuwa na matapeli Kila mahali, hivi kwa akili za kawaida tu CAF walijisemea tu wenyewe mechi iwe Zanzibar bila watu wetu kuwaandikia barua? Haiwezekani na haipo viwanja vipi vingi Afrika na kama maofisa wa CAF lazima walifika benja kukagua na kusema hapana basi hata...
  12. JamiiForums Tanzania Makalla: Heche na wenzake ni Watumishi hewa ndani ya CHADEMA, hawana tija!

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema Chama hicho kitaendelea kuwa Bora nyakati zote kwa Sababu ya Muundo wake mzuri katika ngazi zote, na Kikiweza kuhimili Vishindo vya Chaguzi za Ndani na Nje ya Chama hicho Tawala, huku akivishauri...
  13. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wanademokrasia nendeni mkaifanye kazi nzuri ndani ya CHADEMA

    Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, nendeni CHAUMMA, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia...
  14. JamiiForums Tanzania Nini kitatokea ndani ya Mwaka wazungu wakituacha waafrika tujiendeshe wenyewe bila msaada Wala madeni?

    Waafrika ni kama mtoto aliyezaliwa kiwete. Atategemea kubebwa na kulelewa kama mtoto maisha yake yote. Nimejaribu kujiuliza hivi nini kitatokea siku wazungu wakiamua kutuacha tutembee wenyewe. Bila misaada, mikopo Wala NGO. Na KWA nini wasifanye hivyo maana tutabebwa hadi lini?
  15. JamiiForums Tanzania Kenyan, why Tanzania, lissu, and not kiiza besgye of uganda?

    Nimetafakari sana, nimekosa majawabu, au wanataka kuja kutupandikishia ghasia kama zile zinazotokea kule kwao?, au financiers wa anayewapandikizia Kenya vurugu bado hajatosheka na Kenya, pia najiuliza kwanini hao Wanasheria wa Kenya hawafiki kwenda Uganda kwenda kutetea kiiza besgye ambaye...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Za ndani kabisa: Wamepanga DPP aseme hana nia ya kuendelea nashauri kabla ya tare 02 june 25: halafu watamkamata tena kwa kosa jingine

    Kabla ya june 02 wamepanga kumwachia, halafu watamkamata tena kwa kosa jingine! Habari ndo hiyo!
  17. S

    JamiiForums Tanzania Uchawa Ndani ya CCM: Njia Mpya ya Kisiasa au Hatari kwa Demokrasia?

    Katika miaka ya karibuni, tumeona mwelekeo mpya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo watu wanaonekana kupata nafasi, madaraka, au ulinzi wa kisiasa kwa kupitia uchawa—yaani kumtumikia au kumsifia kiongozi bila kuhoji, hata pale panapohitaji hoja. Je, huu ni mkakati wa kudhibiti mfumo wa...
  18. JamiiForums Tanzania Zakaria Sinwar alikuwa na kitengo gani ndani ya Hamas?

    Huyu proffesor wa dini ya Kiislam alikuwa ana kitengo gani ndani ya Hamas mpaka kushambuliwa na IDF ? Wataalam karibuni
  19. JamiiForums Tanzania Za ndani ni kuwa G-55 wamevurugana vibaya. Wameanza kusalitiana na kutishana

    Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana. Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake. Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamjibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mchome hajamaliza taratibu za ndani za Rufaa

    Msajili yeye anasema sio lazima kumaliza ngazi zote za ndani za rufaa ndipo utoke nje.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…