ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makalla: Heche na wenzake ni Watumishi hewa ndani ya CHADEMA, hawana tija!

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema Chama hicho kitaendelea kuwa Bora nyakati zote kwa Sababu ya Muundo wake mzuri katika ngazi zote, na Kikiweza kuhimili Vishindo vya Chaguzi za Ndani na Nje ya Chama hicho Tawala, huku akivishauri...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wanademokrasia nendeni mkaifanye kazi nzuri ndani ya CHADEMA

    Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, nendeni CHAUMMA, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia...
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea ndani ya Mwaka wazungu wakituacha waafrika tujiendeshe wenyewe bila msaada Wala madeni?

    Waafrika ni kama mtoto aliyezaliwa kiwete. Atategemea kubebwa na kulelewa kama mtoto maisha yake yote. Nimejaribu kujiuliza hivi nini kitatokea siku wazungu wakiamua kutuacha tutembee wenyewe. Bila misaada, mikopo Wala NGO. Na KWA nini wasifanye hivyo maana tutabebwa hadi lini?
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kenyan, why Tanzania, lissu, and not kiiza besgye of uganda?

    Nimetafakari sana, nimekosa majawabu, au wanataka kuja kutupandikishia ghasia kama zile zinazotokea kule kwao?, au financiers wa anayewapandikizia Kenya vurugu bado hajatosheka na Kenya, pia najiuliza kwanini hao Wanasheria wa Kenya hawafiki kwenda Uganda kwenda kutetea kiiza besgye ambaye...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Za ndani kabisa: Wamepanga DPP aseme hana nia ya kuendelea nashauri kabla ya tare 02 june 25: halafu watamkamata tena kwa kosa jingine

    Kabla ya june 02 wamepanga kumwachia, halafu watamkamata tena kwa kosa jingine! Habari ndo hiyo!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Uchawa Ndani ya CCM: Njia Mpya ya Kisiasa au Hatari kwa Demokrasia?

    Katika miaka ya karibuni, tumeona mwelekeo mpya ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo watu wanaonekana kupata nafasi, madaraka, au ulinzi wa kisiasa kwa kupitia uchawa—yaani kumtumikia au kumsifia kiongozi bila kuhoji, hata pale panapohitaji hoja. Je, huu ni mkakati wa kudhibiti mfumo wa...
  7. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Zakaria Sinwar alikuwa na kitengo gani ndani ya Hamas?

    Huyu proffesor wa dini ya Kiislam alikuwa ana kitengo gani ndani ya Hamas mpaka kushambuliwa na IDF ? Wataalam karibuni
  8. G Sam

    JamiiForums Tanzania Za ndani ni kuwa G-55 wamevurugana vibaya. Wameanza kusalitiana na kutishana

    Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana. Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake. Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamjibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mchome hajamaliza taratibu za ndani za Rufaa

    Msajili yeye anasema sio lazima kumaliza ngazi zote za ndani za rufaa ndipo utoke nje.
  10. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Ni miaka mingi hawa watu humu ndani wamepotea au kuzimika

    Huyu mtu mwenye ndoto/maoni ya kweli tu wapi!?..nakumbuka maono yake kuhusu machi 17 na ajali ya ndege kule bukoba Au 'wenyewe' wamekuzuwia kuanika ndoto kuhusu jamhuri hadharani!? U wapi ndugu yangu!?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi

    Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi na sio vyama au vyeo. Tutaona mabadiliko makubwa. Walinde kura badala ya kuiba, walinde watu badala ya kuwateka na wapiganie haki
  12. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya GPS Cheap iliyopachikwa ndani ya mwili kusaidia kupatikana unapotekwa na watu wasiojulikana kufuatia kuongezeka matukio ya kutekana

    Ili kurahisisha kupatikana kwako ukiwa HAI au MWILI wako ukiwa umekufa au kuuwawa KURAHISISHA KUPATIKANA kwako kwa haraka pindi inapotokea kutekwa/kupotea katika mazingira mbalimbali mfano AJALI mtu amezama ndani ya maji baharini kufuatia ajali ya boti,n.k. ndege kutopoteza uelekeo na kupotelea...
  13. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Ukweli woe kuhusu kazi za ndani uarabuni huu hapa

    KAZI ZA NDANI UARABUNI – FULL INFO Chanzo: chuosmart.com Inahusu nchi kama: Saudi Arabia, UAE (Dubai), Qatar, Oman, Kuwait, Bahrain 1. Maana ya Kazi za Ndani Uarabuni Ni kazi zinazofanywa majumbani na wanawake au wanaume walioajiriwa kusaidia shughuli kama: Kufua, kupika, kusafisha...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Za ndani kabisa zinasema rais wa vyura ndiye kasinichi matumizi ya lupaso ili kulipiza sakata la "hatuchezi"

    SI mnajua kuwa yeye ndiye bosi wa vikundi vyote vya wanaosakata gozi Afrika? Ametumia kofia yake hiyo kumhujumu bosi wa nyika ili asitumie uwanja wa maangamizi wa lupaso. Kafanya hivi kwa kisasi baada ya kupoteza ktk sakatala hatuchezi.
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 MwanaCCM: Mashoga wamezidi na ndani ya chama wapo. Tutasimama vipi kwenye majukwaa kuomba kura?

    Huyu bidada mwanaccm akilalamika uwepo wa Mashoga ndani ya Chama. Kuwa wamezidi kipimo kwa sasa ni wengi. Na haumi umi maneno. Anaongea kwa kujiamini kabisa suala hili ambalo kwa ccm ni la kawaida sana. Pia soma > Waitara ataka Wabunge wapimwe Ushoga kabla ya kuingia Bungeni
  16. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kigamboni ni wilaya pekee iliyotelekezwa ndani ya mkoa wa Dar es Salaam

    Kwa utafiti wangu hii ni moja kati ya wilaya bora sana kwa landscape yake na hali ya hewa inayochagizwa na bahari ya hindi jambo linatoa fursa mbalimbali za kiuchumi kama ukitazama wilaya hii kwa jicho la kibishiara na uwekezaji lakini jambo baya zaidi katika wilaya hii ni kama imetelekezwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Polisi tendeni haki, siku moja mkamateni Wasira au Nchimbi na kumweka ndani Ili kubalance mizania!

    Sasa! Imeshakuwa kawaida, polisi wa kawaida tu Cheo Cha chini, utasikia amemkamata na kumweka ndani Makamo mwenyekiti wa chama Cha upinzani CDM,kwa sababu sizoeleweka, Leo imeripotiwa kiongozi mkubwa wa chama CHADEMA ,Amani Golugwa kakamatwa na polisi airport, na imedaiwa kapigwa pia ,ukiuliza...
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Onesimo Ole Ngurumwa: Ni Bora Demokrasia ndani ya Udikiteta kuliko Udikteta ndani ya Demokrasia, Uganda ndio Case Study

    Wakili Onesmo Olengurumwa Onesmo Kasale Olengurumwa ambaye ni mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu na Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kupitia ukurasa wake wa X ametoa somo kuhusu masuala ya Demokrasia akilinganisha mifumo ya Demokrasia kati ya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Mwabukusi kwenye mtandao wa X unaweza kutumika kuhakikisha aende Mbeya kwa kumfungulia kesi na kumuweka ndani

    Ule ujumbe wa vitisho wenye matusi ndani yake alioundika kwenye mtandao wa X, unaweza kutimika kama sababu ya kumkamata na kisha kumshitaki lengo ni kuhakikisha harudi mbeya. Kwa jinsi hawa watu walivyowaoga, wataona ni bora wamalizane nae mapema kabla hajafika Mbeya na njia mojawapo inaweza...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CHADEMA INA NA KUTOKOMEA KWENYE NYUFA ILIZO ZISABABISHA YENYEWE.

    Unashauri chadema watumie mbinu za kisiasa kudhibiti nyufa zaidi za kudhoofisha chama hicho, hasa ukizingatia chadema haina sifa wala vigezo vya kisheria kushiriki chaguzi zozote za kisiasa humu nchini kwa miaka mi5 ijayo? Kumbuka, chama hicho kinajiendesha kwa kuombaomba kuchangiwa pesa za...
Back
Top Bottom