ndani

The Dani people, also spelled Ndani, and sometimes conflated with the Lani group to the west, are a people from the central highlands of western New Guinea (the Indonesian province of Papua).
They are one of the most populous tribes in the highlands, and are found spread out through the highlands. The Dani are one of the best-known ethnic groups in Papua, due to the relatively numerous tourists who visit the Baliem Valley area where they predominate. "Ndani" is the name given to the Baliem Valley people by the Moni people, and, while they do not call themselves Dani, they have been known as such since the 1926 Smithsonian Institution-Dutch Colonial Government expedition to New Guinea under Matthew Stirling who visited the Moni.

View More On Wikipedia.org
  1. SoC01 Maendeleo ndani ya Jamii ni chachu kubwa katika kuinua Uchumi wa Nchi

    Ni Vema tungeanza kwa kutambua maana halisi ya neno MAENDELEO. "Maendeleo ni mabadiliko yanayo onekana kuboresha hali ya binadamu na mazingira kwa ujumla".Kuna ngazi tatu za kimaendeleo; Maendeleo Binafsi,Maendeleo ndani ya Jamii na Maendeleo ya Nchi kiujumla.Aina zote hizi za maendeleo...
  2. Katika ulimwengu wa kishirikina, nguo yako ni wewe

    Habari zenu wakuu natumahi mu wazima wa afya. Leo nimekuja na hili baada ya kuona matukio yakufanana yahusishayo Nguo. TUKIO LA KWANZA (1): Kuna jamaa yangu tulifahamiana nae yeye ni ndugu yake na binamu yangu. Yeye ni Upanga Boy (Mzaliwa wa kata ya Upanga wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es...
  3. Ipo hatari hapo mbele wanaomiliki hisa 51% kumgeukia MO kama Simba Sc itafanya vibaya ndani na nje

    Wapenzi na mashabiki wa Simba wameridhia Mo kumiliki timu ilimradi wanapata furaha na makombe hawatarajii na hawategemei kama Simba itakuja kushindwa sidhani kama wataweza kumvumilia pale mambo yakienda kinyume na matarajio yao.
  4. Polepole awataka wataalam wa ndani wavumbue chanjo ya UVIKO

    Ukiachilia mbali kuwa mfuasi wa katiba pendekezwa, Humphrey Polepole ameamua kuvunja ukimya kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa maneno haya yaliyo katika tafsida... Unadhani ameongea maneno hayo kwa dhumuni au lengo gani?.
  5. B

    Mamluki ndani ya Magwanda ya Makamanda

    Pana tofauti za wazi baina ya wana Chadema almaarufu makamanda na wale wa ule upande mwingine wakiwamo CCM. Habari ya mjini, masikioni mwa watanzania kwa sasa ni chanjo ya Corona. Safari inayotegemewa kufikishwa palipo pema takribani ndani ya kama wiki 2. Habari ya mjini kwa makamanda ni...
  6. Miaka ya nyuma ilikuwa dili kumvua nguo ya ndani binti, siku hizi wanavua wao

    Miaka ya nyuma ilikuwa raha sana kwenda kuchapa demu. Kwanza unamsotea kutongoza halafu kama amekukubali anakupa penzi kwa mbinde. Kumvua nguo ya ndani inakua ugomvi na unakula mzigo kijasho kinakutoka. Siku hizi mabinti wakiingia geto wanavua kabla hata mwanaume hajavua!
  7. Tumsikilize mchungaji Gwajima, tusimbeze. Chanjo zote zina bechi tofauti na kuna nchi hukataa baadhi ya bechi na nyingine ni zile zilizobakia

    Utangulizi- Nawaomba Mods msihamishe uzi huu. Mchungaji Josephat Gwajima asimamia maeneo mawili katika hoja yake. Kwanza, kilichomo kwenye chanjo na pili chanjo dhidi ya wanajeshi na walinda usalama wa nchi. La kwanza kuhusu kilichomo kwenye chanjo au (content). Mchungaji Gwajima anadai ni...
  8. Kwa mara ya kwanza, tumeonyeshwa jinsi Majengo marefu ya GTC yanavyofanana kutoka ndani

    Hii video inaonyesha jinsi Majengo ya GTC ni ya kisasa na yanavutia kweli. Halafu upeo kutoka juu la jengo ni nzuri sana. Mtu anaweza kutazama Nairobi yote bila tatizo
  9. M

    Nimemsikiliza vizuri Askofu Gwajima, nina maswali machache juu ya nadharia yake

    Nimesikiliza kwa umakini sana juu ya mambo aliyoyasema mchungaji Gwajima. Nina maswali machache sana juu ya nadharia yake juu ya korona na namna alivyosema na kuaminisha watu: 1. Yeye ni mtumishi wa Mungu na anaamini Mungu ni alfa na omega na hashindwi na chochote, sasa kama ni hivyo kwanini...
  10. Ipo haja ya bunge letu lijalo kutupia macho kipengele ndani ya katiba kinachoruhusu mikutano ya vyama kufanyika hovyo hovyo.

    Wakuu asalama alykum......Nadhani ipo haja kwa sasa bunge letu tukufu kuangalia ni jinsi gani litaweza kuondoa baadhi ya vifungu ndani ya katiba vinavyoruhusu watu kufanya shughuli za kisiasa kila wakati ili kuongeza utendaji kazi wa watanzania badala ya shughuli za kisiasa kufanyika kila wakati...
  11. Namna bora ya kupika pilau lenye mchanganyiko wa viazi mviringo ndani na njegere

    Nahitaji kuaandaa huo msosi, maelekezo tafadhali, na kipi niongeze humo ndani kunogesha pilau langu. Asanteni
  12. Ecuador: Waliofariki baada ya kutokea vurugu ndani ya magereza wafikia 27

    Idadi ya wafungwa waliofariki baada ya kutokea vurugu ndani ya gereza magereza mawili nchini Ecuador imefikia watu 27 huku serikali ya nchi hiyo ya pwani ya Magharibi mwa Amerika Kusini ikilazimika kutangaza hali ya hatari. Rais wa Nchi hiyo, Guillermo Lasso ameagiza kutumia kila linalowezekana...
  13. Napata shaka, kuna kikundi ndani ya CCM kinaratibu kumkwamisha Rais Samia 2025

    Napata shaka ndani ya CCM kinaratibu mipango kiufundi sana kumkwamisha Mama 2025 ikiwa anatahitaji tena kugombea. Hili jambo tunaweza kuona kama masihara lakini tutaelewana tu mbele ya safari. Wanataka kumchonganisha Mama na wananchi na jumuiya za kimataifa ili kufikia 2025 waseme ameshindwa...
  14. Serikali ijitathimini, kuna wimbi kubwa la vijana kuacha kazi ndani ya kipindi hiki cha miaka 7

    Nina washkaji zangu kadhaa nilisoma nao wameacha kazi za serikali. Na jana nimekutana na mwanangu nilikua nae room moja chuo ameniambia ameacha kazi aliyokua anaifanya huko serikalini. Nilipomhoji akanambia ishu ni maslahi ilihali muda mwingi anautumia kazini, hata muda wa kufanya shuguli...
  15. S

    Waziri wa Mambo ya Ndani asonga ugali wa wafungwa katika gereza la Isupilo wilayani Mufindi mkoani Iringa

    Hawa ndio viongozi wa kuivusha Tanzania! Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, akisonga na kula ugali wa wafungwa katika Gereza la Isupilo, Wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa, alipolitembelea gereza hilo katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa taasisi zake mkoani humo.
  16. Mbunge Erick Shigongo asikiliza kero za wananchi ndani ya basi

    Mh Shigongo mbunge wa Buchosa ameanza kampeni ya kutatua kero za wananchi wake kwa kuwafuata popote ikiwemo ndani ya mabasi ya abiria. Leo ameonekana ndani ya basi lililotokea Kanyara kwenda Sengerema. Chanzo: Global Publishers
  17. Zifahamu athari za kuvaa nguo za ndani zikiwa mbichi

    “Kuvaa nguo ya ndani ambayo ni mbichi kunatengeneza fangasi ukeni, fangasi inaathari kubwa ikiwemo ya kula hadi mfumo wa uzazi, hivyo upo uwekezano mkubwa hasa kwa mwanamke kupata tatizo la uzazi.” Hiyo ni kauli ya Dk Elizabeth Lema kutoka Hospitali ya Cornwell Tanzania ambaye amefunguka na...
  18. Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita

    Watoto 981 katika Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, wamepatiwa ujauzito ndani ya kipindi cha miezi sita kilichoanzia mwezi Januari mwaka huu. Kutokana na kitendo hicho cha ukatili wa kijinsia, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis, ameagiza...
  19. SoC01 Namna ya kuondoa Usaliti ndani ya ndoa

    Moja ya mambo yanayovunja ndoa za siku hizi ni ongezeko la wanandoa kutokuwa waaminifu. Usaliti unaumiza, Usaliti unaua, Usaliti ni moja ya majanga yasiyosemwa ndani ya jamii yetu yaliyomo kwenye ndoa. Ndoa ni muunganiko wa mwanaume na mwanamke, walioamua Kwa hiyari yao wakiwa na akili timamu...
  20. B

    James Mbatia: Ndani ya wiki mbili zijazo Corona itatupiga sana Tanzania

    17 July 2021 Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI azungumzia hali ya tishio kwa afya-ya-umma (public health ), umasikini na ukosefu wa ajira kwa vijana Tanzania Mwenyekiti wa chama cha NCCR - MAGEUZI Mh. James Mbatia kwa kina atoa angalizo juu ya gonjwa kubwa lililo janga la kidunia la corona covid-19...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…