nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Raia nchini Ghana waandamana kupinga gharama kubwa za maisha

    Waandamanaji katika mjini Accra wamekusanyika kwa siku ya pili ya maandamano dhidi ya kuongezeka kwa mfumuko wa bei na matatizo mengine ya kiuchumi. Ghana ikiwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi wa Afrika Magharibi na ilishuhudia ukuaji wa uchumi ukipungua kwa hadi asilimia 3.3 mwaka hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha Wavuvi nchini asema kuporomoka kwa bei ya Samaki kutasabisha uvuvi haramu

    Mwenyekiti wa Chama Cha Wavuvi Nchini, Bakari Kadabi amesema Kuporomoka bei ya samaki kutapelekea kufilisi mitaji yao na kuchochea uvuvi haramu kwasababu italazimika wavuvi wahakikishe wanapata samaki wengi ili wapate kipato kikubwa Aidha, ameiomba Serikali kuingilia kati mabadiliko ya bei za...
  3. JamiiForums Tanzania Royal Tour inavyoleta neema nchini

    Baada ya uzinduzi wa Filamu ya The Royal Tour, watalii na wawekezaji katika sekta ya utalii wameongezeka kwa mujibu wa hoteli za kitalii Dar es Salaam ongezeko la wageni limefika asilimia 280 na Arusha asilimia 340. Kwa upande wa viwanja vya ndege miruko imeongezeka ikiwamo ndege zinazoingia...
  4. JamiiForums Tanzania Faida ya ziara ya Rais Samia Suluhu nchini Oman

    Hati 4 za makubaliano zilizosainiwa baina ya Wizara za Tanzania na Oman 1. Ushirikiano katika masuala ya nishati ili kukuza taaluma na utaalamu 2. Ushirikiano katika Elimu ya Juu kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa wataalamu 3. Ushirikiano katika utalii kwa lengo la kuhamasisha uwekezaji na...
  5. JamiiForums Tanzania Ni benki ipi bora kwa ajili ya savings (yenye makato madogo na urahisi wa upatikanaji n.k) hapa nchini?

    Habari wana JF, Natumai wazima ndugu zangu nimekuja kuomba ushauri kuhusu bank gan hapa nchini yenye makato nafuu kwa mwezi, na pia wakati wa utoaji, na ipi yenye huduma bora sana, na yenye internet banking bora. Pia yenye urahis wa kupatikana namaanisha ATM's nyingi. Na je what if mtu akitaka...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya 21 ya "Daraja la Kichina" ya wanafunzi wa vyuo vikuu duniani yafanyika nchini Ufaransa

    Tarehe 25 mwezi Juni mwaka 2022 fainali ya mashindano ya 21 ya “daraja la kichina” la wanafunzi wa vyuo vikuu duniani ilifanyika nchini Ufaransa kwa njia ya mtandaoni na nje ya mtandao, kaulimbinu ya mashindano hayo ikiwa ni “ dunia moja, familia moja”. Balozi wa China nchini Ufaransa Bw. Chen...
  7. JamiiForums Tanzania Tutegemee Baada ya miaka michache kutatokea upungufu mkubwa wa nyama nchini

    Hapo vip!! Mimi huwa siasa na wanasiasa naona ndio chanzo cha umaskini katika jamii na sio suluhiyo la matatizo katika jamiii..hususana siasa za Afrika na wanasiasa wa Afrika. Kwa utafiti wangu wa harakaharaka naona viongozi wengi wanaotoka na siasa hawapo smart sana kichwani ila sometime...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa Kemikali mbalimbali nchini Tanzania

    Habari Kwa mahitaji ya chemicals mbalimbali, kama vile, ▶️CAUSTIC SODA ▶️HYDROGEN PEROXIDE ▶️SULPHURIC ▶️ACTIVATED KABONI ya (india,Philipines na usa) ▶️SODIUM CYNIDE ▶️SULPHONIC ▶️CAUSTIC SODA ▶️NITRIC ACID ▶️FORMALINE ▶️SODA ASH ▶️CMC (sodium methyl cellulose) ▶️SODA ASH ▪️TITANIUM DIOXIDE...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya zuio la miaka 21, Tanzania yaruhusiwa rasmi kupeleka bidhaa ya nyama nchini Saudi Arabia!

    Baada ya zuio la miaka 21, Saudi Arabia imeruhusu kampuni mbili za kitanzania kuingiza nyama nchini mwao Tunaposema Rais Samia anaupiga mwingi tueleweni jamani! Hii ni baada ya jitihada alizofanya kuongea na Serikali ya Saudi kutuondolea zuio hili Uchumi unafunguka kweli na nchi inafunguka...
  10. JamiiForums Tanzania Bunge nchini Ghana kuchunguza matumizi ya Trilioni 3.5 za COVID-19

    Wabunge wameidhinisha mpango wa kuchunguza matumizi ya Tsh. Trilioni 3.5 zilizotengwa kudhibiti kuenea kwa COVID19 na kuwaokoa raia dhidi ya athari za kiuchumi za janga hilo kufuatia madai ya kutofautiana kwa stakabadhi za malipo yaliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Ken Ofori-Atta...
  11. JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi laua takriban watu 1500 nchini Afghanistan

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.1, kwa kipimo cha richa, limetikisa maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo na kudaiwa kusababisha vifo 130 nchini humo, mamlaka ya kudhibiti majanga nchini humo zimesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka Inaelezwa kuwa, tetemeko hilo lilipiga takriban kilomita 44...
  12. JamiiForums Tanzania Matatizo ya figo yanakua kwa kasi Nchini Tanzania, sasa ni 6%

    Imeeleza kuwa matatizo ya magonjwa ya figo ni tatizo la Kidunia kwa kuwa takwimu za magonjw aya figo ni 10% wakati ndani ya Tanzania takwimu za nchi ni 6% Serikali inajipanga katika mambo mengi, kwanza ni kutoa elimu ya afya mfano kula na mazoezi, pili kuna usalama wa chakula na usalama wa...
  13. JamiiForums Tanzania Takriban watu 45 wadaiwa kufariki kwa mafuriko nchini Bangladesh

    Mvua kubwa iliyonyesha kwa takriban wiki moja inadaiwa kusababisha mafuriko makubwa ambayo yameacha mamilioni ya watu bila makazi Inaelezwa kuwa baadhi ya shule zimegeuzwa hifadhi za muda kwa waathirika ambao vijiji vyao vimefurika baada ya mito kupasuka kingo, huku wanajeshi wakiendeleza...
  14. JamiiForums Tanzania Sera ya matajiri wakubwa nchini kuwa Raia wenye asili fulani na kazi fulani iwe yenye malipo makubwa zibadilike!

    Wakuu Poleni na majukumu. Katika kitabu cha Ndugu yetu Reginald Mengi alichochapisha KABLA hajaitwa na Baba mwenyezi. Kitabu cha I can,I must and I Will kilieleza wakati ngumu Sana aliopitia na vikwazo vyake alivopitia wakati wa harakati zake kiuchumi enzi za uhai wake!Moja Kati ya malalamiko...
  15. JamiiForums Tanzania Mitihani ya sets inaharibu elimu nchini

    Miaka ya hivi karibuni, kumeibuka mitihani ya sets kwa madarasa ya mitihani. Mitihani hii inaonekana kuwa ndo suluhu ya kufelisha watoto kwenye mitihani ya kitaifa, walianza taasisi binafsi na hivi karibuni shule za serikali zimefuata. Tatizo la hii mitihani, imejikita kubahatisha maeneo...
  16. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani Nchini Mali watoa taadhari ya shambulio la kigaidi

    Taarifa zinadai kuwa shambulio hilo linatarajiwa kutokea katika mji mkuu Bamako, na linalenga vituo muhimu vya Serikali na maeneo ya Umma Tahadhari hiyo imekuja siku chache baada ya raia 22 kuuawa katika eneo la Menaka kaskazini mwa Mali na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo Hii ni tahadhari...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Reli kati ya Hotan na Ruoqiang nchini China yafunguliwa jana, ambayo ni reli ya kwanza ya mzunguko jangwani duniani

    Reli kati ya Hotan na Ruoqiang nchini China ambayo ni reli ya kwanza ya mzunguko jangwani ilianza kutumika rasmi jana.. Reli hiyo iko kwenye ukingo wa kusini wa Jangwa la Taklimakan, ambalo ni jangwa la pili kwa ukubwa duniani linalotembea, ikianzia mji wa Hotan upande wa magharibi hadi wilaya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya viongozi wa nchi 4 nchini Ukraine: Sura zao hazioneshi matumaini

  19. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kibali cha kusafirisha mnyama nchini

    Habari MwanaJF, Sasa nimesafirisha nje ya nchi. Niko Ulaya, nilipata hapa paka. Ninataka kurudi nae Tanzania, lakini shirika la ndege liniambia lazima kuwa na kibali cha import (certificat of import) kutoka wizara ya mifugo ya Tanzania. Nilijaribu kuwapigia simi, hawapokei. Sasa ninamtafuta...
  20. JamiiForums Tanzania Juhudi za Rais Samia kufanikisha mradi wa gesi asilia nchini

    Na George Bura, Dar es Salaam Juni 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali na kampuni kubwa za uchimbaji mafuta duniani zikiwemo Equinor na Shell kwa ajili ya utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa uchakataji na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…