nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafuta ya Taa yaadimika Nchini, Bei yapanda

    Bei ya mafuta ya taa imeongezeka kwa wastani wa Sh39 kwa mikoa mitatu ya Dar es Salaam, Mtwara na Tanga mwezi Machi ikilinganishwa na Februari 2023, huku uhaba wa bidhaa hiyo ukitawala. Katika taarifa ya bei mpya za mafuta iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za...
  2. G

    Baba askofu wa Kanisa Katoliki Nchini Marekani Father Hilarion Heagy amesilimu na kuingia katika Uisilamu

    baba askofu Hilarion Heagy baada ya kusilimu amechagua jina "Said Abdul Latif" alisema kwamba "Baada ya miongo kadhaa ya kuhisi kuvutiwa na Uislamu kwa viwango tofauti, hatimaye niliamua kusilimu", "Sikuwa na chaguo lingine isipokuwa ni kusema Laailaha illa Allah Waanna Muhammad...
  3. Mlioko nchini Mali mbona hamtupi Updates zenu za Mganga wenu Kuzuiliwa tena Airport kama kule Tunisia?

    Si huwa mnasema kuwa Simba SC tu pekee ndiyo Walozi ( Wachawi ) kwa Soka la Tanzania? Na akirejea Tanzania mtatuambia hayo Manyoya ya Sungura na Bundi aliyabeba ya nini kwenda nayo nchini Mali. Tukutane baada ya Mechi Usiku Ok?
  4. Asante sana Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kwa Kutuandaa vyema Kisaikolojia wana Yanga SC na Wanamichezo nchini

    "Yanga SC imeshatimiza malengo yake ya kuingia Makundi CAFCC kwa mwaka huu na haya mafanikio ya sasa katika Mechi zetu za Makundi ni Bonus tu kwetu. Hivyo hata tukitolewa hatutokuwa na deni kwa Wachezaji wetu waliopambana," Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC) alipokuwa akizungumza na kipindi...
  5. M

    CCM inatumia pesa za umma kuwalipa Chadema ili kuonesha kuwa kuna demorasia nchini ili kuwalidhisha Mabeberu.

    Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki Huu ni uzandiki wa kisiasa. Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
  6. K

    Serikali inafungua soko la kimataifa, Fursa soko la Mbaazi nchini China

    Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imetengaza fursa kwa wakulima na wauzaji wa mbaazi nchini, matokeo ya kupatikana kwa soko hili ni kuimarika kwa diplomasia ya uchumi kati ya Tanzania na India. Ikumbukwe mbaazi hizo zitaingia nchini India bila ushuru.
  7. Serikali yaipa TCU bilioni 6.1 kuimarisha ubora vyuo vikuu

    SERIKALI imeipatia Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Sh. bil 6.4 kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kwa ajili ya kuimarisha uthibiti ubora na uhuishaji wa mitaala ya vyuo vikuu ambapo zaidi ya mitaala 300 ya vyuo vikuu iko katika hatua mbalimbali za kufanyiwa mapitio...
  8. L

    Simu janja kutoka nchini China zachochea ukuaji wa uchumi wa kidijitali Afrika

    China ni nchi inayoendelea ambayo imepata mafanikio makubwa sana katika maendeleo ya teknolojia, hususan katika teknolojia ya mawasiliano. Simu janja zinazotengenezwa nchini China zimekuwa kichocheo kikubwa cha maendeleo ya uchumi wa kidijitali katika nchi nyingi zinazoendelea hususan za...
  9. Fursa soko la pilipili nchini China

    Kampuni ya Greenchain ya Shanghai, nchini China itatembelea Tanzania mwezi Machi 2023 kwa ajili ya kukutana na wazalishaji wa Pilipili aina ya Tajin (Sweet And chili pepper au kitaalamu Capsicum annuum.) Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa katika mkutano wa Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa...
  10. Ripoti NPS: Mbumbumbu waongezeka nchini

    Ripoti ya utafiti wa ufuatiliaji wa kaya (NPS) ya mwaka 2020/2021 inaonyesha kuwa asilimia 76.0 ya Watanzania wote kwa ujumla ndiyo wanaojua kusoma na kuandika. Takwimu hizi zinatoa tafsiri kuwa asilimia 24 iliyosalia ya Watanzania wote hawajui kusoma na kuandika. Idadi hii ni ishara hasi...
  11. Joe Biden amesema Ukraine 'imesimama huru'

    Biden amesema Mataifa ya Magharibi hayana njama ya kuishambulia Urusi kama Putin alivyosema leo," Biden alisema. "Mamilioni ya raia wa Urusi wanataka tu kuishi kwa amani na majirani zao sio adui." Pia Biden amesema Nitarudia usiku wa leo niliyosema mwaka jana mahali pale pale. Dikteta aliye na...
  12. Benki ya CRDB yaingia mkataba wa makubaliano na ICTC na COSTECH kuwezesha biashara changa (startups) nchini kupitia programu ya Imbeju

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Mwasaga (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, Dkt. Amos Nungu (kulia) wakisaini mkataba wa makubaliano kwa ajili ya utekelezaji wa programu ya...
  13. T

    DOKEZO Wanywaji wa pombe kali tuwe makini, kuna pombe kali feki nyingi nchini

    Kama ni mnywaji wa hard liquor inabidi uwe makini sana. Mimi nilishanunua jagger shopperz, nafika home nafungua tu, ikatoka kaharufu fulani not amazing. Second chupa haina filter, nikarudi shoppers nikawaambia, huu mzigo feki, wahindi wakagoma goma. Nikawaambia filter ni lazima iwepo...
  14. J

    Mkoa wa Geita ndio unaongoza kwa mauaji nchini, kuna haja Serikali iufanye kanda maalum

    Baada ya kuona habari ya vijana waliomuua mama yao jana kisha na wao kuuawa huko Geita Naona mkoa huu ndio unaoongoza kwa mauaji nchini Mikoa ya kanda ya ziwa imekua kinara wa mauaji nchini yanayosababishwa na ushirikina, tamaa za mali, wivu wa mapenzi na mengineyo nadhani sasa Serikali...
  15. Vituo vya Uokoaji Maziwa Makuu Kujengwa Nchini

    Serikali kupitia Shirika la Wakala wa Meli nchini (TASAC), imeeleza kuwa inatarajia kujenga vituo vya uokoaji katika Maziwa Makuu nchini ili kusaidia katika tahadhari na uokoaji pindi yanapotokea majanga kwenye vyombo vya usafiri wa majini. Mwenyekiti wa Bodi ya TASAC, Kapteni Musa Hamza Mandia...
  16. Je, sheria za ndoa nchini zilitungwa na Bunge la ngapi? Je, Bunge hilo lilikuwa na wanaume?

    Leo kuna mtu ameniuliza, kwamba sheria za ndoa nchini Tanzania zilitungwa na bunge la ngapi na mwaka gani, na katika bunge hilo kulikuwa na wanaume? Au lilikuwa ni shinikizo la kupata misaada toka nje ya nchi hivyo watu wakafumba macho tu na kupitisha hizo sheria? Huwezi ukawa na sheria...
  17. K

    Mama Samia Legal Aid Campaign

    Katika kuunga Mkono jitihada za Rais Samia Suluhu kujenga Tanzania bora yenye ustawi, Wizara ya Katiba na Sheria imezindua kampeni ya Mama Samia ya msaada wa kisheria kwa lengo la kutoa msaada wa kisheria nchi nzima kwa miaka mitatu. Kampeni hiyo itaelimisha haki ya kulinda mila na desturi...
  18. B

    Rais Samia awasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) tarehe 16 Februari, 2023. Rais wa Jamhuri ya...
  19. Nape, Marekebisho ya herufi yanaongezaje uhuru wa habari nchini?

    Nimemsikia Waziri Nape akisema serikali italinda uhuru wa kujieleza (Serikali italinda uhuru wa kujieleza). Maneno haya yametokana na serikali kuwasilisha Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari tarehe 10 Februari 2023 bungeni Je, ni kweli yanalenga kuimarisha uhuru wa kujieleza nchini...
  20. TCDC yawakaribia wadau Sekta ya Ushirika kujadili na kuweka mikakati ya kukuza Sekta hiyo

    Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) wameandaa mkutano maalum wa wadau wa sekta ya ushirika unaotarajiwa kufanyika Februari 27, 2023, katika ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya Benki ya CRDB. Taarifa hiyo imetolewa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…