nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Chama cha CDU cha nchini Ujerumani kinataka wahamiaji wanaoishi nchini humo kuheshimu utamaduni wa Ujerumani na kuitambua taifa la Israel

    Chama cha CDU cha nchini Ujerumani kinataka hatua za haraka zichukuliwe ili kudhibiti wahamiaji wanaoishi nchini humo wanaotaka utamaduni wao na imani zao za kidini ndizo ziwe juu ya zile za mwenyeji wao yaani Ujerumani. Pia wanataka wahamiaji hao watambue haki ya kuwepo kwa taifa la Israel...
  2. L

    Ziara ya Rais wa China nchini Marekani yaongeza utulivu katika uhusiano wa nchi hizo mbili

    Mwezi uliopita, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara rasmi nchini Marekani, ambako pia alihudhuria mkutano wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC) uliofanyika mjini San Fransisco. Katika ziara hiyo, rais Xi alikutana na mwenyeji wake, rais Joe Biden wa Marekani, na kufanya...
  3. Baada ya kongamano lake kufana Tanzania,Wakenya wamlilia Prophet Lovy. ( Nigeria,South Africa, Ghana nao waomba akafanye mkutano nchini mwao )

    Ndugu zangu. Narudia tena kwa mara nyingine. Usicheze kabisa na mtu aliebarikiwa na Mungu. Kind David, the King of the United Kingdom of Israel and Judah alikuwa muuaji lakini alikuwa chaguo la Mungu. Baadhi ya watu walimuita mtu wa damu " bloody man" ( 2 Samuel 8) lakini Mungu alimpenda...
  4. Nahisi tunadanganywa sana kuhusu kiasi cha umeme kunachozalishwa nchini

    TANESCO wamejificha kwenye kichaka cha uzalishaji wa umeme wa gesi ili kupika data za kiasi cha umeme. Leo hii mvua zimeanza na hali ya umeme imeboreka sana. Inaonekana umeme wetu mwingi ni wa maji. Upatikanaji wa umeme wetu unabadilika kulingana na uzalishaji wa umeme wa maji. Ule wa gesi...
  5. Couple ya Manara na ZaiyLissa ni couple yenye mvuto zaidi hapa nchini na ili wadumu hawatakiwi Kuonana

    Tuseme tu ukweli, couple ya Haji Manara na ZaiyLissa ni couple inayokuwa kwa kasi sana na wakiendelea hivi hivi huenda ndio ikawa couple yenye mvuto zaidi hapa nchini. Zai na Haji wanapendezana sana sana tena sana yani, na ili couple yao izidi kunoga wanatakiwa waishi hivi hivi bila ndoa. Haji...
  6. R

    Wakati Watanzania takribani 50 wakiangamia huko Hanang na maelfu wakiachwa majeruhi, Rais wetu na Makamu wake hawako nchini

    Hii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania. Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa...
  7. Ni wapi Tanzania kuna bustani nzuri ya kupumzika kama ya Nakuru nchini Kenya?

    Ni sahihi kuiga vitu vizuri. Kama hatuna bustani nzuri kama hii iliyopo jijini Nakuru, Kenya, ni bora jitihada zifanyike ili miaka michache ijayo, tuwe na nzuri, tena kubwa kuizidi ya jijini Nakuru. Najua pale Mwanza Mjini, jirani na Gandhi Hall, kuna bustani ya uma lakini ukiilinganisha na ya...
  8. Wanaoshabikia Hamas ni wengi hapa nchini. Je, ni kwa nini?

    Nimepita mitandao mbalimbali ya kijamii hapa nchini. Nimesikia maoni ya baadhi ya vijiwe mitaa ya Korogwe, Tanga mjini, Dar nk, Wanaosupport Hamas ni wengi. Tundu Lissu naye kaunga mkono Hamas. Ni nini Maoni yako?
  9. M

    Mwandamanaji ajichoma moto nje ya ubalozi wa Israel nchini Marekani

    Mwandamanaji mmoja yuko katika hali mbaya baada ya kujichoma moto nje ya ubalozi mdogo wa Israel katika jimbo la Georgia nchini Marekani. Polisi walisema mwandamanaji huyo alitumia petroli, na bendera ya Palestina ilipatikana katika eneo la tukio, nje ya ubalozi mdogo wa Israel mjini Atlanta...
  10. Prof. Kitila Mkumbo: Pato la kila Mtanzania limeongezeka nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema katika ripoti ya Hali ya Uchumi nchini imeonesha Pato la Wananchi (GDP Per Capital Income) limepanda kutoka Dola za Marekani 399.5 (Tsh. 322,397) mwaka 2000 hadi kufikia Dola 1,200 (Tsh. 2,880,000). Akifafanua...
  11. Serikali Kuendelea Kuboresha Miundombinu ya Viwanja vya Ndege Nchini

    Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kujenga na kupanua Miundombinu ya Viwanja vya Ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi Jirani Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo...
  12. Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Bandari za Maziwa Nchini.

    Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafiri na Usafirishaji kwenye Bandari za Maziwa Nchini. Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan kutumia zaidi ya shilingi bilioni 900 kwa...
  13. Mashambulizi nchini Sierra Leone yalisababisha vifo vya watu 19

    Jeshi Nchini Sierra Leone linasema kuwa watu 19 waliuawa wakati wa shambulio kwenye Kambi ya Kijeshi na magereza katika Mji Mkuu, Freetown, Jumapili Novemba 26, 2023. Kanali Issa Bangura alisema amesema waliouawa ni pamoja na Wanajeshi 13, washambuliaji watatu, pamoja na Afisa wa Polisi, raia...
  14. Hali ya Biashara ya usafirishaji haramu wa Binadamu nchini Tanzania na Duniani

    Tanzania ni chanzo, mkondo, na nchi kusudio la safari kwa wanaume, wanawake na watoto wanaokabiliwa na ajira za kulazimishwa pamoja na biashara ya ngono. Kasi ya matukio ya biashara haramu ya usafirishaji wa ndani inazidi ile ya matukio au kiwango cha biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu...
  15. Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

    Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni. ==== Pauline...
  16. I

    Kwanini gharama za maisha zinazidi kupanda nchini Tanzania na kupelekea umaskini kuongezeka?

    Je unataka kujua ni kwa nini uchumi wa nchi kama Tanzania unazidi kuwa ktk hali mbaya kila kukicha na gharama za maisha zinazidi kupaa na kusababisha umaskini kuongezeka basi soma makala hii kwenye linki hii hapa chini...
  17. Sarafu za kidigitali mwiba kwa benki kuu nchini mwetu

    Nakumbuka maneno ya mweshimiwa raisi samia kuhusu benk kuu kufatilia swala la sarafu za digitali. Bahati mbaya tamko la benki kuu iliishia kutoa vitisho na sababu wanazozijua wao. Lakini leo benk kuu imekuwa inaangaika kutafuta pesa za kigeni zinazoingia imekuwa ngumu. SABABU NI ZIPI? Hakuna...
  18. B

    Matukio nchini Holland na Ireland yashitua Waliberali

    JAMHURI YA IRELAND 23 November 2023 Dublin, Jamhuri ya Ireland Wananchi waingia mitaani kufanya vurugu kubwa dhidi ya serikali yao ya mrengo wa kiriberali wakidai inafungua milango na kukaribisha wahamiaji bila kwanza kusikiliza maoni ya raia wa nchi ya Ireland . Picha : Polisi wakipambana...
  19. Faida nilizopata baada ya kujitolea kuwapa wajasiriamali wenzangu namba za machimbo ninayonunulia vitu nchini China

    Jikumbushe kwanza huu uzi; https://www.jamiiforums.com/threads/ninajitolea-kutoa-namba-za-machimbo-ya-china-kwa-wapambanaji-wenzangu.2137915/ Nia yangu ilikuwa kusaidiana bila kujali kupata chochote baada ya hapo ila katika hali ya kushangaza baadhi ya wachina ambao tumeshakuwa marafiki sana...
  20. Ukata watesa upinzani nchini

    Pamoja na kupiga kelele kwa muda mrefu kuruhusiwa mikutano ya kisiasa nchini, hatimae pumzi ya fedha imekata upinzani, hakuna hamu tena kufanya mikutano ya kisiasa. Pesa hakuna kabisaa. Hata mikutano ambayo wameshafanya tayari tena kwa kusuasua, bado haikua na mvuto, muitikio na mahudhurio ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…