nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hatua za kuanzisha biashara kisheria nchini Tanzania

    Elimu ya sheria: Kuhusu namna ya kufanya biashara yako iwe rasmi na inayoaminika kwa kufuata taratibu za kisheria. Kama unataka biashara yako iwe rasmi na ilindwe kisheria nchini Tanzania, fuata hatua hizi: 1: Chagua wazo la biashara. Tambua unataka kuuza nini au kutoa huduma gani. 2: Chagua...
  2. JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, ni kweli kuwa baadhi ya mataa nchini Ujerumani yameanza kuyeyuka kutokana na joto?

    Kumekuwepo na video iliyochapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook ikidai kuwa kutokana na wimbi kali la joto linaloendelea kulikumba bara la Ulaya, hususan nchini Ujerumani, baadhi ya mataa ya kuongozea magari yaliyowekwa kandokando ya barabara yameanza kuyeyuka kutokana na kiwango...
  3. JamiiForums Tanzania Asante katambi kwa kupunguza vurugu za kisiasa nchini

    Mimi ni kijana amabye duka langu la simu mwaka jana lilivunjwa na kuibiwa na hata kupata hasara ya milion hamsini. Kelele za siasa zimeendelea kufanya hata sisi wafanya biashara kutokuweza kutulia na kuwa na amani kwa sababu ya harakati za kisiasa ambazo haziishi na kuturuhusu kufanya kazi na...
  4. JamiiForums Tanzania Tumezaliwa tukiambiwa magereza/Rumande nikubaya hebu ongezeni adhabu kwa hawa wahatarisha amani nchini ili wakitoka wawe mabalozi wa kulinda amani.

    Unajua amani ndo uchumi wenyewe pasipo na amani hakuna shughuli za uchumi, hakuna ajira, hakuna shule, hakuna madawa, hakuna nyongeza za mishahara, hakuna haki ya kuabudu nk. Haiwezekani mtu afanye kosa la kuhatarisha amani ya nchi au afanye vurugu halafu aende Rumande halafu atoke halafu...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Khalifa Abdulrahman Almarzouqi, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Juni, 2026.
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni akili ya kujifariji. Ukweli ni kwamba hamkubaliki na wapiga kura

    Nashangaa kuona wafuasi wa chadema wanatumia mikutano Yao kujifariji kuwa wanakubalika🤣🤣 Hebu pokeeni ukweli huu. chadema hamtakaa mshinde uchaguzi hilo msahau hao watu siyo wapiga KURA wenu wanakuja kuwashangaa tu. wapiga KURA Wapo nyumbani siyo hao mnaotumia nguvu kubwa kuwaita kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Namna Milioni 100 ‘kuwalipa watoa taarifa’ za uhalifu nchini malawi zitakavyotumika

    Kielelezo cha kula kwa ufupi wa kamba Sample bajeti Idadi ya mikoa 5 Idadi ya wanufaika kwa mikoa yote ni 100 Viongozi 15 @200,000 = 3,000,000/= Wasaidizi 50 @100,000 = 5,000,000/= Vidampa 50 @50,000 = 2,500,000/= 500,090 logistics jumla kuu 11,000,000/= Kielelezo cha kula kwa urefu wa kamba...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo Kazi zinazowafanya watu wasiwe na furaha zaidi nchini Marekani

    Kuridhika na kazi si swala la mshahara pekee. Tafiti mbalimbali zimeendelea kuonesha kuwa mambo kama vile viwango vya msongo wa mawazo, usawa kati ya kazi na maisha binafsi, ubora wa uongozi, na mazingira ya kila siku ya kufanyia kazi mara nyingi huchangia kwa kiasi kikubwa zaidi katika kuamua...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yasema huduma zilizotolewa katika Mradi wa Kupanua Huduma za Uzazi wa Mpango (SuFP) zitaendelea kutolewa nchini

    Viongozi wa serikali, washirika wa maendeleo, wataalamu wa afya, asasi za kiraia pamoja na wawakilishi wa jamii wamekutana jijini Dodoma, Juni 18, 2026 katika kongamano la kujifunza lenye kaulimbiu “Kudumisha Mafanikio Yaliyopatikana katika Afya ya Uzazi na Jinsia”, kuadhimisha kufungwa rasmi...
  10. JamiiForums Tanzania Report ya ubakaji nchini UK ilitoka na kuonesha wasichana 250,000 kama wahanga huku watuhumiwa wakuu ni wahamiaji kutoka pakistan na uarabuni

    RAPE GANG INQUIRY:https://t.co/EuKgGWBRhS Uingereza walijifanya sana kuwa na ubinadamu kuzidi watu wengine, wakawapokea wahamiaji kiholela kutoka nchi za kikobazi, kilichofatia ni UK kuwa kitovu cha magenge ya ubakaj na grooming barani ulaya.
  11. JamiiForums Tanzania Nchini uganda ukiwa serikalini au polisi unaambiwa utapandishwa cheo ukideal na upinzani.

    Sio simulizi ni ukweli ndani ya nchi ya uganda. Vyeo vya uganda tena upande wa polisi unavipata kwa ku deal na wapinzani. Ndio maana wakistaafu kuna mawili wauliwe au wabaki kujiona wametengwa.
  12. S

    JamiiForums Tanzania D RAX MSANII WA BONGO FLAVA ANAEKUJA KWA KASI NCHINI TANZANIA MWENYE ZAIDI YA WAFUASI LAKI TATU

  13. A

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Shabiby Aifagilia Bajeti Kuu, ampa tano Waziri wa Fedha, Akiwatetea Bodaboda

    Wakati akiritirisha maoni, ushauri kwenye kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2025-2030, Mbunge wa Gairo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby amesema kuwa, kwa mara ya kwanza mwaka huu (2026) ameona bajeti iliyo bora sana katika bajeti nyingi alizowahi kushuhudia. Mbunge huyo...
  14. JamiiForums Tanzania Wanandoa wa couple mbili (watu 4) wakamatwa nchini Malaysia kwa kumnyanyasa mfanyakazi wa ndani kutoka Indonesia

    Wanandoa wa couple mbili tofauti nchini Malaysia, katika jimbo la Johor, wamekamatwa kwa tuhuma za kumshambulia kimwili mfanyakazi wa ndani kutoka Indonesia. Inadaiwa kuwa mwathiriwa alirekodi tukio hilo kwa siri mwaka uliopita, na baadaye video za unyanyasaji huo zilisambaa kwenye mitandao ya...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa usalama wa taifa nchini Israel, Itamar Ben-Gvir anyimwa visa ya kutimkia Marekani.

    Niaje waungwana Wakuu niliwahi kuandika humu mara kibao, kwamba Dunia inakwenda inabadilika hatua kwa hatua kiasi ya kwamba kuna mabadiliko mengine yanatokea, au yanaweza kutokea katika mazingira ambayo wengine hawakuyategemea. Hii sio bahati mbaya, bali ni uhalisia wa Dunia jinsi...
  16. JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Utoaji mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo nchini unafanyika kwa ubaguzi sana

    Mwanasiasa Abdul Nondo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo amezungumzia taratibu zinazotumika kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo kutoka kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akisema utoaji wake ni wa kibaguzi. Wanafunzi walioshtakiwa ~...
  17. JamiiForums Tanzania Iran yawataka raia wa Israel kukaa mbali na kambi za jeshi kwa ajili ya usalama wao. Yasema shambulio la Israel nchini Lebanon haliwez kuachwa ivi ivi

    Niaje waungwana Iran inajiamini sana, ndio maana haiwezi kufanya shambulio bila kutoa taarifa mapema ili kuepusha maafa kwa kina mama na watoto kama Gaza na Lebanon. Ila sasa taarifa hizi za kuwaepusha raia na maafa, hutumiwa na viongozi wa Israel kukimbilia kujificha kwenye bunker ili kuepuka...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar isichukulie kama fursa ongezeko la wanaokimbilia nchini humo kutafuta matibabu?

    Badala ya nchi ya Zanzibar kukataza watu wa nchi nyingine kama Tanganyika na Kenya kutibiwa nchini Zanzibar mimi ningewashauri viongozi wa nchi hii kuchkulia jambo hilo kama fursa ya kiuchumi ya kuingiza fedha za kigeni.
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Magari yaliyotumika yanayoingizwa Nchini kutozwa Ushuru wa 50%

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni Juni 11, 2026, ametangaza kupandishwa kwa viwango vya ushuru wa bidhaa kwenye magari yaliyotumika yanayoingizwa nchini, huku kigezo cha umri wa gari kikichukua nafasi...
  20. JamiiForums Tanzania BULABO 2026 yahimiza vijana kutumia fursa zilizopo nchini kujikwamua kimaisha

    Kando ya Tamasha la Asili la Utamaduni BULABO linalofanyika katika Viwanja vya Ngomeni-Kisesa, Ilemela Mkoani Mwanza, leo tarehe 11/06/2026 limefanyika Kongamano lililowakutanisha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Vya Kati katika Chuo Cha Mipango kwa lengo la kukumbushana umuhimu wa kuenzi tamaduni za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…