nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Amani, utulivu na usalama wa uhakika Tanzania ndio kichocheo na kivutio kikuu cha utalii, biashara na uwekezaji wote mkubwa unaoendelea nchini.

    Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
  2. JamiiForums Tanzania Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

    Hatua hiyo itasaidi pakubwa kuimarisha demokrasia, uwazi, utawala bora na utawala wa sheria nchini. Kufutwa kwa Chadema kama chama cha siasa itakua ni ni fursa muhimu kwa vyama vingine vya siasa kukomaa, lakini pia itakua ni mwanzo mpya wa zama za siasa za kistaarabu Tanzania. Kubwa zaidi...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza Ukaguzi maeneo ya Uwekezaji Nchini

    DAR ES SALAAM Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amewaagiza Makamishna wa Ardhi Wasaidizi katika mikoa yote nchini kufanya ukaguzi wa maeneo ya uwekezaji yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali kwa lengo la kubaini maeneo yasiyoendelezwa na kutoa...
  4. JamiiForums Tanzania NECTA: Darasa la Tano mwaka 2026 kumaliza Elimu ya msingi 2027

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetoa taarifa rasmi inayoeleza mabadiliko katika mfumo wa elimu ya msingi kwa wanafunzi wa shule nchini Tanzania. Mabadiliko haya yanatekelezwa kwa mujibu wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 pamoja na Mitaala iliyoboreshwa, kwa lengo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuiambia Mahakama shahidi yuko nje ya nchi bila kutaja yuko nchi gani na lini atarudi nchini?

    Japo mimi sio nwanasheria, bado najiuliza inawezekana vipi kutoa jibu rahisi mahakamani kwa kusema shahidi yuko nje ya nchi pasipo kiuileza mahakama ni nchi gani shahidi yupo na ni lini atarejea nchini? Tukumbuke hawa mashahidi (IGP,.CDF na DCI) ni waajiriwa wa serikali, hivyo ni lazima wote...
  6. JamiiForums Tanzania Dorothy Manka J. Semu: Tuungane kupigania Katiba mpya na kukabiliana na mkwamo wa kisiasa nchini

    TUUNGANE KUPIGANIA ΚΑΤΙΒΑ MPYA NA KUKABILIANA NA MKWAMO WA KISIASA NCHINI Chama cha ACT Wazalendo kinatoa wito kwa Watanzania wote kuungana na kudai kwa nguvu zote kuanzishwa mara moja kwa mchakato wa Katiba Mpya ya wananchi. Tunaamini kuwa mkwamo wa kisiasa unaoendelea nchini hauwezi...
  7. JamiiForums Tanzania Kashfa na migogoro inayoendelea nchini, kuna uwezekano mkubwa ya kukubalika kwa kiongozi Tanzania

    Kwa hizi kashfa zinazoendelea nchini—ikiwemo tuhuma za utekaji, mauaji, kesi za uhaini, kwenda EDA, wizi, rushwa na ajali nyingi za barabarani—itakuwa ngumu sana kwa kiongozi mwanamke kukubalika kwa urahisi na wananchi wa Tanzania. Hii ni kwa sababu matukio haya yanapojikusanya kwa wakati...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 150 wa kitanzania kunufaika na fursa ya elimu ya juu Algeria

    WANAFUNZI 150 WA KITANZANIA KUNUFAIKA NA FURSA YA ELIMU YA JUU ALGERIA Tanzania imepata nafasi 150 za ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Algeria kwa mwaka 2026, zikilenga wanafunzi waliofanya vizuri zaidi katika masomo ya sayansi. Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 11 jijini...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni baadhi ya vitu nchini Tanzania ambavyo vimekua tunaviomba kwa unyenyekevu wakati tunalipia pesa zetu

    1. Maendeleo kutoka kwenye kodi zetu - Picha linaanza mradi na pesa vyote kwa pamoja vinaonekana ni vya kiongozi, utasikia kiongozi akijitapa eti ni yeye anatoa pesa, atajisifu ni mradi wake utafikiri anajenga nyumba yake kwa pesa zake wakati pesa ni kutoka kwenye kodi za wananchi, na ukileta...
  10. JamiiForums Tanzania Miundombinu ya kijeshi ya Magaidi wa Hezbollah huko katika Kilele cha Ali Taher nchini Lebanon yaangamizwa!!

    Vyombo vya habari vya Lebanon vinaripoti kwamba tukio la mitetemeko ya ardhi lenye ukubwa wa 4.1 lilirekodiwa nchini Lebanon kufuatia mlipuko mkubwa katika Kilele cha Ali Taher, ambapo IDF iliharibu zaidi ya kilomita mbili za miundombinu ya chini ya ardhi ya Hezbollah kwa kutumia zaidi ya tani...
  11. JamiiForums Tanzania Wafuasi wa chadema badilikeni utu ni muhimu kuliko siasa kwahiyo watu wasishiriki misiba nyie ni watu wa ajabu sana

    Chadema hakuna wazee wa kuwashauri wote wamewakimbia kwasababu wanasiasa zisizo jari utu wa watu wengine, chadema wanafanya siasa za kimihemko sana, Inakuwaje wasitake watu wahudhurie misiba? Misiba inahusiana vipi na siasa? Kwahyo mtakuwa mnahudhuria misiba ya chadema tu? Mnajiona mpo sawa...
  12. JamiiForums Tanzania CCM imeendelea kua talk of the day katika kila kongamano la kisiasa nchini.

    Ni wazi, bila CCM mambo hayanogi. Halafu muhimu zaidi sasa, kila wawakilishi wa CCM wakipata fursa ya kuzungumza, nyoyo za hadhira na wadau wote wa kongamano husika zinaongoka na kutakasika kabisa. Kila mdau katika kongamano anatamani kuskia kiongozi wa CCM atasema nini. Na viongozi...
  13. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini, leo Septemba 7, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=f3NbH_2EkqQ Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) chenye wanachama wanaojumuisha CCM, CHAUMA, ACT Wazalendo, pamoja na NCCRA Mageuzi, leo Septemba 7, 2026 wanakutana kuzungumza kuhusu hali ya demokrasia Tanzania. na matukio ya wakati wa uchaguzi na baada ya...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Watanzania wangapi wamehudhuria mkutano huu kupitia mtandao kama ulivyoitishwa na balozi wetu nchini Marekani?

    Huu mtego si sawa na ikiwezekana itabidi mbinu hizi DHS wataarifiwe. Hata kama balozi angeitisha mkutano huu 'live' bado wasiwasi ni mkubwa kuliko inavyodhaniwa. Nasikia watu walijipanga uzuri kusubiria lakini kimyaa! Nafikiri ntaeleweka.
  15. JamiiForums Tanzania Odemba hayuko analytical kama Khalifa wa The Chanzo

    Mwandishi makini mwenye uwezo wa kudadavua mambo kama walivyokuwa akina Shaka Sali huwezi kuuliza maswali ya kipuuzi kama aliyomuuliza Mwenezi wa CCM iliyokataliwa na wananchi. Kwa sasa mwandishi Khalifa naweza kusema ndio mwandishi very intelligent and analytical. Mfano huwezi kumuuliza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Ni Ngumu kujua anayeteka Watu Nchini, Vyombo vya Ulinzi vikibaini vitaleta Taarifa, Wananchi waripoti taarifa

    Odemba: Taarifa hizo zipo, ndio na sisi tunaziona. Kwamba watu wanatekwa hapa nchini? Ndio, watu wanapata changamoto. Nani anayeteka watu hapa Tanzania? Kihongosi: Ni vigumu kujua jambo hilo ndugu Odemba, kwa sababu sisi kama Chama Cha Mapinduzi..." Odemba: Kama chama tawala mmeshindwa...
  17. JamiiForums Tanzania Umeme wa jua wazidi umeme wa makaa ya mawe nchini China

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Mamlaka ya Nishati ya Kitaifa ya China zinaonesha kuwa, uwezo wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua nchini China umefikia kilowati bilioni 1.286, ukizidi uwezo wa kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe kwa mara ya kwanza, na kuwa chanzo kikubwa zaidi cha umeme...
  18. JamiiForums Tanzania POTOSHI Polisi wamwagiwa maji nchini Afrika kusini

    Kumekuwepo na video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuonyesha raia wakimwagia maji magari ya polisi. Hata hivyo, kichwa cha habari kilichoambatanishwa na video hiyo kinapotosha uhalisia wa tukio. Baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wameeleza kuwa video hiyo ilirekodiwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania UBER Yasitisha huduma nchini Nigeria na Uganda

    Kampuni ya Uber inayohusika na huduma za taksi mtandao,imetangaza kusimamisha shughuli zake nchini Nigeria na Uganda kuanzia tarehe 2 Septemba 2026. Wataalam wa biashara na uchumi tunaomba mtusaidie, je nini kinaweza kuwa chanzo cha Uber kusitisha huduma zake katika nchi hizo ikiwa ni baada ya...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu mpango wa dharura kukabiliana na El Nino nchini

    Mkutano na Waandishi wa Habari Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, atazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mpango wa dharura wa kukabiliana na madhara ya El Nino, nchini. 📆 02 Septemba, 2026. 🕰️ 05:00 Asubuhi. 📍Ukumbi wa mikutano Ngome/Relini Dodoma.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…