Tulikua kijiweni tunapoteza muda,jamaa mmoja akatuambia anataka ajilipue aende India kutafuta maisha.
Nikawaza,then nikaingia youtube kucheck maisha ya wahindi wenyewe tu huko India ni mara mia ya hapa kwetu.
Hivi kuna mtanzania aliwahi kwenda kujitafuta India akatoboa?
Katibu mkuu wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Ado Shaibu, amewaasa wana ACT kufurahia na kitendo cha dola kula njama za kutaka kuiangamiza CHADEMA, akasema kuwa Dola ikishamalizana na CHADEMA wanaofuata kushughulikiwa ni wao.
Pia Ndugu Ado Shaibu akasema kuwa wana ACT wajizatiti ipasavyo...
Habarini,
Kutokana na ubabaishaji wa wakurugenzi wanaoteuliwa na Rais kuwa wababaishaji napendekeza wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe wanajeshi.
Hii ni kutokana kwamba wanajeshi wameonesha kufanya kazi vizuri katika sehemu nyingi wanazosimamia ikiwemo uRC, uDC,uRAS,nk.
Naomba kuwasilisha
Gwajima yuko sahihi sana, alichokieleza siyo taarifa mpya kipya katika jamii. Taasisi na watu mbalimbali influential ikiwemo TLS, Shura ya maimamu, Maaskofu wamelipigia kelele sana hili tatizo la utekaji nchini. Hapa chini ni Sheikh Ponda akiwa katika kongamano la TLS akieleza ukubwa wa tatizo...
Kawaida kila baada ya miaka kumi yani awamu mbili kupita basi chama tawala tunachagua mgombea Mpya katika kiti cha Urais baada ya kutuongoza kwa awamu mbili.
Aliyekalia kiti cha urais akifanya jambo lolote ovu basi adhabu lazima apewe atakayefata kukalia kiti.
Nakupa mfano mmoja, Daudi...
Mnapojipambanua kua ni watu wa haki basi msiweke unafiki, kam umeamua usimamir haki, simamia kama vile Tundu lissu, haijalishi dini, kabila, ukanda au uswahiba. Uupinge udhalimu na uonevu ukweli wa kuupinga.
Kwa miongo kadhaa, wapalestina wamekua wakipitia uonevu na madhira makubwa. Cha ajabu...
Hakuna kitu Cha milele
Dunia tunapita kitabaki milele ni milima. Kama imefikia hatua Katika nchi ya Amazonia dini zinafutwa kisa tu zinapinga utekaji na manyanyaso kwa raia basi hii sawa kabisa au zaidi hata ya enzi za mkoloni.
Wakati dini na makanisa zilipokuwa zinasifu hazikuwahi kuambiwa...
Mtaalamu wa Uchumi na fedha, Ally Mkimo amefafanua dhana ya Uchumi wa Taifa, Vigezo vinavotumika kutambua iwapo Uchumi wa nchi Umepanda ama Umeshuka, Upimaji wa Uchumi Kimataifa lakini pia nini kifanyike ili dhana ya ukuaji wa uchumi na taifa uendane na ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja...
30 May 2025
Dar es Salaam
https://m.youtube.com/watch?v=nUGKwZ44tlQ
Tech & Media Covergency na PIN wazungumzia kuhusu changamoto za TEHAMA barani Africa huku mtandao wa X ukiwa umezimwa, na nchi mwenyeji wa mkutano huo wa wadau wa Barani Africa unafanyika Tanzania jijini Dar es Salaam.
Wadau...
Ni wazi chadema haina inachoweza tena katika kujikwamua kwenye mikwamo ya kisiasa ambayo inapitia.
Ukata wa pesa, kukimbiwa na makundi ya wanachama wake, kukwama kwa wanasheria wake mahakamani kumekifanya chama hicho kukosa cha kufanya zaidi ya kupiga mayowe na kuomba huruma ya viongozi wa dini...
Chadema wameungundua nini sasa hata kiwatume viongozi wa dini na jumuiya ya kimataifa kuwaomba tume huru ya Taifa ya uchaguzi kuijumuisha chadema kwenye mchakato wa uchaguzi uliosalia kwa maana ya kwamba chadema nayo iwepo kwenye karatasi ya kupigia kura, hali ya kua chama hicho hakina sifa na...
Harufu kali imetanda kwenye mji wa Rodynske. Dakika chache baada ya kuingia mjini, tunatazama inatoka wapi.
Bomu lenye uzito wa kilo 250 liliharibu jengo kuu la utawala la jiji hilo na kutandaza vyumba vitatu vya ghorofa. Tumewasili eneo hilo siku moja baada ya bomu kupigwa, lakini moshi bado...
BALOZI MATINYI AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI NCHINI USWIDI
Balozi wa Tanzania katika Ufalme wa Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi, tarehe 29 Mei, 2025, alifanya kikao na Watanzania wanaoishi nchini humo katika viwanja vya ofisi za ubalozi jijini Stockhom.
Katika kikao hicho kilicholenga...
Umri wa kuishi nchini Finland ni mrefu ikilinganishwa na mataifa mengi duniani, ambapo wanaume huishi wastani wa miaka 79 na wanawake miaka 84.
Tofauti hii ya miaka mitano kati ya jinsia inaonyesha hali bora ya huduma za afya, lishe, na mtindo wa maisha unaojali afya.
Maisha marefu ya raia wa...
29 May 2025
Tokyo, Japan
PM MAJALIWA - JAPAN YAKARIBISHWA KUWEKEZA NCHINI TANZANIA
https://m.youtube.com/watch?v=OZi6y1z9ffE
Waziri mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa asema kuwa Japan imekubali sasa kufanya ubia na wazawa wa kiTanzania kufungua biashara na miradi mikubwa Tanzania
Kimkakati...
Napata shida kidogo hapa. Kuendelea kutopatikana kwa mtandao wa X Nchini si sawa kabisa na kukubali hila mbaya za adui?
Ebu fikiri, mwizi kavunja mlango na kuiba mali zako. Badala ya kuimarisha ule mlango na ulinzi kwa ujumla na kuendelea kuishi katika nyumba yako, wewe unaamua kuivunja nyumba...
FT: Simba SC 1-1 RS Berkane (Agg: 1-3) |
Ni kufa au kupona.
Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika.
Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0.
Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili.
Mchezo ni saa 10:00 jioni kwa...
Wakuu
Nimesikiliza press ya Jerry muro nimelia sana yn ningekua ndugu yangu luka ningesema nimebubujikwa na machozi
Yani kanavoongea unaona kabisa kama njaa anafukuzia teuzi
Yan mtu kabsa unaitisha press kusema lazma umtetee mtu kwa sababu alikuteua?
Kwahiyo kukuteua tuu imetosha kumtetea...
Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu.
Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
afrika
afrika mashariki
george
hali
hali mbaya
jimbo
kanisani
kenya
kidogo
kujeruhiwa
kupigwa
kwenda
mashariki
mbaya
mbunge
mbunge atekwa
mbunge wa kenya
mji
mkewe
nchini
nje
shambani
utekaji
wako
wanaharakati
wapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.