nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuendelea kutofanya kazi kwa mtandao wa X Nchini si sawa na kukubali matakwa ya adui?

    Napata shida kidogo hapa. Kuendelea kutopatikana kwa mtandao wa X Nchini si sawa kabisa na kukubali hila mbaya za adui? Ebu fikiri, mwizi kavunja mlango na kuiba mali zako. Badala ya kuimarisha ule mlango na ulinzi kwa ujumla na kuendelea kuishi katika nyumba yako, wewe unaamua kuivunja nyumba...
  2. funaku

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya Post Election Violence nchini Kenya sababu ya mizaha ya siasa

    Inasikitisha Sana na kamwe tusijipeleke huku.
  3. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    FT: Simba SC 1-1 RS Berkane (Agg: 1-3) | Ni kufa au kupona. Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika. Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0. Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili. Mchezo ni saa 10:00 jioni kwa...
  4. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Press ya Jerry Muro ni press ya hovyo kuwahi kufanyika nchini

    Wakuu Nimesikiliza press ya Jerry muro nimelia sana yn ningekua ndugu yangu luka ningesema nimebubujikwa na machozi Yani kanavoongea unaona kabisa kama njaa anafukuzia teuzi Yan mtu kabsa unaitisha press kusema lazma umtetee mtu kwa sababu alikuteua? Kwahiyo kukuteua tuu imetosha kumtetea...
  5. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Juja George Koimburi aliyetekwa apatikana kwenye shamba la kahawa akiwa amejeruhiwa vibaya

    Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu. Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Unajua kauli moja inaweza kubadilisha joto la kisiasa nchini?

    Hata kama siyo wote , lakini wengi wataweza kuelewa wakiona mtuhumiwa ameamua kubadilika toka moyoni! Fikiri, kwa mfano, alkijitokeza na kusema, "Ndugu Watanzania wenzangu, naomba mnisamehe! Nimetambua makosa yangu, na ninayajutia sana. Mnisamehe, na mnipe muda nirekebishe nilikoharibu" Kwani...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Soka sio mchezo pendwa namba moja Nchini Finland, unaoongoza ni ice hockey

    Wakati Barani Ulaya inajulikana wazi kuwa mchezo wa soka (Football) ndio namba moja kwa kupendwa na kufuatiliwa zaidi na Watu, Nchini Finland hali ni tofauti, wao mchezo wao namba moja ni ice hockey. Mchezo huo unaongoza kwa umaarufu na kwa kufatiliwa na watu wengi Finland, hii inajumlisha...
  8. N

    JamiiForums Tanzania MAREKANI YADAI kuchunguza ripoti za mateso za mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania; inataka uchunguzi

    https://nation.africa/kenya/news/africa/us-demands-answers-from-tanzania-on-boniface-mwangi-agather-atuhaire-torture-claims--5055008?fbclid=IwY2xjawKedsVleHRuA2FlbQIxMQABHukqJTQqQdD9M6_P7IAPsxMA2SmVPDulEpTFYPt8dKYcN4gL5jg93slqRle4_aem_Z13cOlvjRQOfJnicy5KMJg
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kila mtu nchini ameichoka TANESCO.

    Kila anashangaa kwanini umeme lazima ukatike sila siku kuanzia mijini hadi vitongojini, hata baada ya kuambiwa bwawa la Nyerere linafanyakazi Sasa, mvua zinanyesha mabwawa yote yamejaa na Tanzania tuna umeme wa geai. Katikakatika hii inasababisha hasara kubwa sana kwa watumiaji hivyo kero...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi: Waliotaka kufanya vurugu nchini, Mataifa yao hayajawasapoti

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax amesema uwepo wa ushirikiano wa kidiplomasia wa kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na majeshi ya nchi zingine umesaidia hata watu aliowataja kutaka kufanya vurugu nchini kutoungwa mkono na nchi zao...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kuna wimbi la bidhaa feki nchini kuuzwa kwa bei sawa na bidhaa halisi; Mamlaka husika zinawalindaje walaji?

    Je, umewai kuuziwa bidhaa feki au bandia kwa bei ya bidhaa halisi? Uchunguzi uliofanywa na 'wazalendo' umebaini kuongezeka kwa bidhaa feki sokoni ambazo zinauzwa kwa bei sawa na zile halisi jambo ambalo ni kilio kwa walaji. Uchunguzi huo ambao unawasilishwa kwenye andiko hili kwa ufupi...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena Tax: Walitaka kujipenyeza nchini kuleta vurugu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dkt. Stergomena Tax amesema kuwa kumekuwa na ushirikiano mzuri wa kidiplomasia ya kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na majeshi ya nchi nyingine. Dkt. Stergomena ameyasema hayo leo, Mei 22, 2025, jijini Dodoma wakati...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tanzania watembelea Bandari ya Oslo nchini Norway

    Bandari chanzo kingine cha Biashara ya Kaboni, hayo yaamelezwa na Ingvar M. Mathisen, Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Oslo, Norway kwa ujumbe wa Tanzania uliotembelea bandari hiyo hivi karibuni. Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X

    Hali si Hali nchini Tanzania. Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X. Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Cassypool, Chawa wa Rais Samia nchini Kenya

    Huyu jamaa aniachaga hoi kwa vituko vyake.
  16. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania yang’ara katika mkutano wa wakaguzi wa majitaka migodini nchini Sweden

    Tanzania imeendelea kung’ara katika majukwaa ya kimataifa baada ya kuwa kivutio kikubwa katika mkutano wa Tathmini ya Mafunzo ya Ukaguzi wa Majitaka ya Migodini unaofanyika katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Luleå, nchini Sweden. Mkutano huo wa kitaalamu unahusisha nchi saba...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na uhuru nchini umepitiliza mipaka mpaka akina Heche wanatukana Polisi na Wanaharakati wakivuka mipaka kuja kuleta uchochezi nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Naona Sasa Demokrasia na uhuru hapa Nchini Umepitiliza Mipaka na kuvuka mstari wa demokrasia na uhuru unaopaswa kuwepo hapa Nchini na mahali penginepo pale popote Duniani. Uhuru umezidi mpaka sasa watu kama akina Heche wanafikia hatua ya kusimama kwenye magari yao...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini kuna wimbi la wakenya wameingia nchini kwa lengo la kufanya uchochezi na fujo kwa lengo la kuharibu amani ya nchi yetu

    Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wawe makini na raia wa kigeni wanao ingia nchini katika kuelekea uchaguzi mkuu, wengi wao ni Wakenya ambao ni wazoefu wa kuhamasisha vurugu wapo wengi sana. Na baadhi yao ni wataalamu wa IT wanafuatiliwe kwa makini hadi chooni. TCRA kuweni macho, wadukuzi...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM wanaushawishi kuliko G55. Hii ni kusema G55 ni Liability na sio tishio kwa chama chochote Kikubwa hapa nchini.

    Wanakwenda Kuumia! Hiya ndio salamu inayoendana na Uzi huu. Kwenye hii nchi hasa ukiwa mpinzani hakikisha chama tawala kitamani kuwa na mtu dizaini yako ndani ya CCM. Lakini kama wewe ni Mburuja, ambaye uwezo wako mdogo, elimu duni ta kuungaunga, huna kipaji wala karama yoyote. Vijana wengi...
  20. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Hoja sita juu ya Martha Karua kuzuiliwa kuingia nchini

    Na Adv. Heche, Dodoma Leo, tarehe 18 Mei 2025, mawakili Martha Karua, Gloria Kimani na Lyn Ngugi wamezuiwa kuingia nchini wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kama wakili mwenye uzoefu na niliyeapa kutetea Katiba na uhuru wa mahakama bila kuegemea upande wowote...
Back
Top Bottom