nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kauli zenye Utata: Kassim Majaliwa ni katika Mawaziri Wakuu waliotudanganya sana nchini

    Ukiacha Taarifa za Kuumwa kwa Mh. Magufuli ambapo tulidanganywa Mchana kweupee tena katika Nyumba ya Ibada, katika siku tukufu. Unadhani jengine lipi ambalo Mh. Kassim Majaliwa alilidanganya Taifa?. Za kwangu hizi...
  2. JamiiForums Tanzania Sad News: Watanzania Wanne Wauawa Afrika Kusini Katika Vurugu Zinazoendelea Nchini Humo

  3. JamiiForums Tanzania Hoja Saba za Zitto Zuberi Kabwe kwa yanayoendelea nchini

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter anaandika Zitto. 1.Rais na Serikali yake wanajua wazi kuwa Mbowe Si gaidi,na hilo watanzania wote wanalifahamu kuendelea kumshikilia kwa mashtaka ya kubumba kunaenda kufuta matumaini ya dunia kwa Raisi Samia kuwa Tanzania ilianza kurudi ktk misingi ya Demokrasia...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Majibu ya maswali mbalimbali yaliyoteka mjadala wa chanjo ya corona kuletwa nchini

    MAJIBU YA MASWALI MBALIMBALI YALIYOTEKA MJADALA WA CHANJO YA CORONA KULETWA NCHINI Toka Serikali kupitia kwa Kamati maalum aliyoiunda Rais Samia Suluhu Hassan itangaze uamuzi wa kuruhusu chanjo kuja na toka chanjo iingie nchini, kumezuka mjadala mkubwa sana kwa Watanzania, kila mtu akisema lake...
  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia bora za kutokomeza uvutaji wa bangi nchini Tanzania

    Ukipita katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na katika miji mingine mikubwa, aghalabu utawakuta vijana na baadhi ya watu wazima wamekaa katika makundi wakivuta bangi na kutumia dawa nyingine za kulevya bila wasiwasi wowote. Hili hutokea zaidi nyakati za jioni na usiku lakini pia sio...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tozo za simu zingetumika kutengeneza Mfuko wa Bima ambao ungekuwa maalumu kukabiliana na corona nchini

    Kabla hata Zungu hajapendekeza Bungeni kodi kwenye miamala ya simu, mimi nilileta wazo kupitia hapa JamiiForums nikipendekeza tozo kupitia line za simu zitumike kuunda Mfuko wa Bima ya Afya kwa kila mtanzania atakaekuwa tayari kuchangia bima hiyo kupitia line yake ya simu. Nilipendekeza namna...
  7. JamiiForums Tanzania Hizi chanjo za Corona zinaenda kuondoa herd immunity tuliyoipata nchini

    Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa nchi zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata kwa muda wa takribani miaka miwili. Kwa wasiojua, herd immunity kwa lugha ya kawaida huitwa Kinga Kundi, hii ni aina ya kinga...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli uliojificha: Tozo za miamala ya simu ndiyo jawabu la kilio cha Mabenki nchini

    Haya malalamishi yamekuwapo siku nyingi sana toka kwa Mabenki kuhusiana na Kampuni za mawasiliano kufanya kazi kama Benki za Akiba yaani zaidi ya Mobile Transfers (Mfano Moneygram, Western Union, n.k) pia watu wengi sana wamekuwa wakihifadhi pesa kwenye akaunti zao za huduma za kifedha kwenye...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Kasi Hii Rais Samia Suluhu Hassan lazima Upinzani upoteane nchini

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango leo ameweka jiwe la msingi katika Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini - Mtwara lililopo Manispaa ya Mtwara Mikindani eneo la Mitengo Mkoa wa Mtwara. #KaziIendelee Source: Wizara ya Afya
  10. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Athari za Tozo za Laini ya Simu kwa ukuaji wa Sekta ya Mawasiliano nchini

    Wakati kilio cha wananchi kikiongezeka kuhusu tozo mpya za serikali kwenye miamala ya kifedha kupitia simu, Watanzania wanajiandaa kukabiliana na tozo mpya kwenye laini za simu kuanzia mwezi Agosti mwaka huu. Serikali imekusudia kukusanya jumla ya Tsh. bilioni 396.3 kutokana na tozo hizo ndani...
  11. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Teknolojia ndio sulushisho la mambo yote yanayotukabili hapa nchini Tanzania kuanzia ajira, afya, elimu nk.

    Suluhisho la kudumu kuhusu changamoto nyingi zinazotukumba hapa nchini zinaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza kwenye teknolojia. Leo nitazungumzia teknolojia kwenye nyanja tofauti tofauti kama vile kwenye ajira, afya,kuleta nidhamu kazini,vyuoni,kuongeza mapato serikalini ,kupunguza...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kamwe usirithi maadui, tengeneza wa kwako

    Ningelipata nafasi ya kuonana na rais SSH ningelimuuma sikio na kumpa tahadhari kwamba awe kama ndege mbayuwayu (akili za kuambiwa achanganye na zake. Rais SSH bado ana kundi kibwa Sana la watu ktk serikali yake waliokuwa wameaminiwa na mwendazake. Na kimsingi watu hawa walijipanga kufaidi...
  13. JamiiForums Tanzania "Sakramkritorevibieji" alisikika Kabudi mwishoni mwa hotuba yake nchini Kenya

    Tafadhali sana hilo neno haliandikwi wala kutamkwa hivyo ila linasikika nna hiyo (kama kabudi alivyo litamka) wakati fulani akitoa hotuba nchini kenya wakati akiwa waziri wa mambo ya ncho n.k Na alilitamka wakati akihitimisha kwa kusema forgive me for my "sakramkritorevibieji" words and perhaps...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia ya upatikanaji wa fedha kupitia mzunguko wa fedha nchini

    Mzunguko wa fedha ni kiwango cha fedha ambacho kipo katika jamii kupitia matumizi mbalimbali ya serikali. Mzunguko wa fedha hutokana na sera mbalimbali ambazo ni zimewekwa na Bank kuu katika kuruhusu kiwango cha mzunguko wa fedha KWA NAMNA GANI MZUNGUKO WA FEDHA UNAWEZA KUWA MDOGO Mzunguko wa...
  15. V

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ulaghai unaofanywa na baadhi ya vyuo nchini, chukua tahadhari na usitapeliwe

    Vaa viatu vya mzazi/mlezi aliyejibana ili kijana wake apate elimu zaidi huku akiamini kabisa kuwa elimu ni daraja kuelekea mafaniko. Au mfikirie kijana aliyeamua kwa dhati kusoma kwa bidii ili tu kutimiza ndoto yake kupitia elimu. Bahati mbaya sana mwisho wa haya unakuja kuambiwa kuwa kile...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Elimu na harakati za kijana

    Elimu ni muhimu Sana ndiyo kauli ambayo ipo katika vichwa vya watu wengi ikiwemo watanzania Ili elimu iwe na Tija kwa kijana ni pale anapoitumia elimu yake katika harakati anazifanya kila siku. Kwa Sasa elimu ya Tanzania inapoteza sofa ya kuwa na uzito uke uliokuwepo mwanzo. Chanzo:Google...
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Namna ya kutumia changamoto ya ajira kama njia ya kutengeneza ajira zaidi nchini

    Ni ukweli usopingika Tanzania kwa sasa tuna wimbi kubwa la vijana wasio na ajira kutokana na mfumo wa elimu kutokuwa rafiki sana kwa vijana kujiajiri, hivyo kupelekea vijana wengi kukata tamaa na kupoteza kabisa malengo yao walojipangia katika maisha. Laikini ukweli ni kwamba kuna njia nyingi...
  18. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia 5 Bora za Kutatua Tatizo Kubwa la Ajira Kwa Vijana Nchini Tanzania

    Karibu katika andiko hili muhimu juu ya utatuzi wa tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini Tanzania. Andiko hili pia limejumuhisha takwimu muhimu za ajira nchini, sababu za ukosefu wa ajira kwa vijana, athari za ukosefu wa ajira kwa vijana na njia muhimu za kutatua tatizo la ajira...
  19. JamiiForums Tanzania Maajabu ya serikali ya CCM: Spika wa Bunge ana kinga na hashtakiwi, Wabunge wanatunga sheria lakini hawalipi kodi!

    Mbunge anakunja milioni ishirini na mbili (22,000,000/=) kwa mwezi lakini halipi kodi Mbunge huyo huyo anatunga sheria ya kodi huku yeye akijipa kinga ya kutolipa kodi! Pesa anazolipwa Mbunge zinatokana na kodi ya ambao hata mlo moja kwa siku ni shida! KumbeTanzania inajengwa na wazalendo...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Chama kimoja nchini siyo demokrasia. Mfumo wa vyama vingi inatafsiriwa ni uchochezi

    Kila nyakati za uchaguzi na zisizo za uchaguzi, mfumo wa shughuli zakisiasa ni chonganishi kwa wananchi na si rafiki kwa wananchi. Kuna umuhimu wakuendelea kuwa kujiita tuna mfumo wa vyama vingi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…