nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Serikali inatambua mchango wa Chuo cha IAA katika kuendeleza Michezo nchini

    Serikali inatambua mchango wa Chuo cha IAA katika kuendeleza Michezo nchini Na Eleuteri Mangi-WUSM, Dodoma Serikali inatambua na kuthamini mchango unaotolewa na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) katika kuendeleza na kuimarisha sekta ya michezo nchini hatua inayosaidia kutoa ajira kwa vijana na...
  2. JamiiForums Tanzania Namibia: Wanafunzi waliokuwa wanasoma Ukraine watakiwa kujiunga na vyuo vya nchini kwao

    Wanafunzi 23 wamefanikiwa kurejeshwa #Namibia kutoka #Ukraine. Wizara ya Elimu imewataka wanafunzi hao kujiunga na vyuo vya nchini kwao ili kuendelea na masomo. CNN imeripoti wanafunzi takribani 13,000 wa Ghana, Somalia na Nigeria ambao wamekwama mjini Sumy na hawana chakula wala fedha kwa kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

    1. Ni Majuha 2. Ni Wanafiki 3. Ni Waongo 4. Ni Waoga 5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi 6. Wana Uwendawazimu wasioujua 7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya...
  4. JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Pooltable yaifunga Kenya 13 – 9, mashindano Afrika Nchini Zambia

    TIMU ya Taifa ya Pooltable Waanaume imeanza vyema mashindano Afrika kwakuwafunga majirani Kenya 13-9 katika mchezo wake wa kwanza wa mashindano hayo yaliyoanza leo Nchini Zambia. Mashindano hayo yameanza kwa makundi A na B ambapo kundi A ni Tanzania, Kenya Uganda na Zimbabwe wakati kundi B ni...
  5. JamiiForums Tanzania Simba SC ndiyo Klabu pekee nchini yenye Meneja Mawasiliano na Habari huku zingine zikiwa na Maafisa Habari na Wapayukaji tu

    Kama umekasirika na Unabisha haraka sana hapo ulipo nitafutie Klabu nyingine ukiiondoa ya Simba SC yenye Cheo cha Meneja Mawasiliano na Habari. Kuna Klabu moja ( ya Ligi Kuu ) siikumbuki Jina ila ninachokumbuka na kujua tu ni kwamba ina Maafisa Habari na Wapayukaji tena Wawili ambapo wakiwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya majira ya baridi kati ya walemavu yaendelea kwa kasi nchini China

    Baada ya China kupata nafasi ya kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing, michezo ya majira ya baridi ya walemavu imeendelezwa kwa kasi nchini China. Katika miaka 6 iliyopita, shule nyingi maalumu kwa ajili ya walemavu zimeanzisha masomo ya michezo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Baharia wa Ukraine akamatwa akitaka kuizamisha boti inayomilikiwa Mrusi Nchini Hispania

    Mbaharia mmoja wa Ukraine amekiri kujaribu kuizamisha boti inayomilikiwa na mkuu wa kampuni ya silaha ya serikali ya Urusi, kwa lengo la kulipiza kisasi kwa uvamizi wa Ukraine. Boti hiyo yenye urefu wa mita 48 sawa na futi 157 inayoitwa Lady Anastasia inamilikiwa na Mkurugenzi Mkuu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia arejea Tanzania akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu kikazi

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 28 Februari, 2022.
  9. JamiiForums Tanzania Natamani sana Ubunifu huu wa 'Daladala' za nchini Denmark uigwe na za Tanzania ili tusiooa na wasioolewa tupate Wenza wetu wa Maisha

    Wamiliki wa Daladala nchini Denmark wamebuni Mbinu mpya kwa Abiria ambao hawataki Kuoa kama GENTAMYCINE au Kuolewa kama wengine ili waweze kuwapata Wenza wao ndani ya hizo Daladala. Ni kwamba sasa katika kila Daladala nchini Denmark huwa zinaachwa wazi Siti Mbili ambapo Yule Abiria ambaye...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Australia aonya waAustralia wasijaribu kwenda pigana na majeshi ya Russia nchini Ukraine

    Waziri Mkuu wa Australia kawaonya raia wa nchi yake wasijaribu kusafiri kisirisiri kwenda kupewa silaha na rais wa Ukraine ili kupigana na majeshi ya Russia. Onyo hilo la Waziri Mkuu limejiri baada ya rais wa Ukraine kuomba msaada wa raia wa nchi nyingine waende Ukraine wakasaidie kupambana...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe amesaini mikataba mitatu ya ushirikiano na makampuni matatu Dubai, nchini U.A.E

    Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesaini mikataba mitatu ya ushirikiano na makampuni matatu Dubai, nchini U.A.E. Makampuni hayo ni pamoja na Ofisi binafsi ya biashara ya mwana Mfalme Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum, AFRIDE na DMCC pamoja na Agritech Global. Mikataba hiyo imesainiwa mbele ya...
  12. JamiiForums Tanzania Leo kila nikiwawazia walioko huko Berkane nchini Morocco Moyo wangu unanidunda sana halafu kwa mbali Machozi yananilenga mno

    Ogopa sana Kifaru mwenye Hasira Kali za Kujeruhiwa aliyemkuta Simba aliyebweteka kwa Kujiamini baada ya Kushiba kiasi kwa Kitoweo dhaifu cha Misitu ya nchini Niger.
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kampuni ya China yazindua paneli za jua za photovoltaic nchini Kenya

    Kampuni ya China JinkoSolar jana Jumatano ilizindua paneli zake mpya za jua aina ya photovoltaic “Tiger Neo” zenye uwezo wa kuzalisha megawati 410 hadi 620 za umeme kwenye soko la Kenya ili kuhimiza upatikanaji wa umeme nchini humo. Meneja wa maendeleo ya biashara wa kampuni hiyo kanda ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Trump amsifia Putin kuwa ni 'Genius' kwa namna alivyoingia Ukraine

    Trump anasema kuwa namna Rais Putin alivyotangaza majimbo mawili makubwa ya Ukraine kuwa huru, hayapo ndani ya Ukraine, ni namna ya kipekee iliyotumia akili kubwa mno (Genius). Trump akaendelea kusema kuwa Putin anaenda ingia ndani ya Ukraine na kuwa mlinda amani..."hilo ni jeshi imara zaidi la...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mawasiliano ya Makerere University au Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda?

    Habari zenu wakuu. Hizi taasisi mbili nimeshatumia njia za email kuwafikia naona hawajibu. Sijui ubusy au email zimekuwa nyingi sasa naomba aliye na mawasiliano ya pale au ubalozi anisaidie
  16. JamiiForums Tanzania Magaidi waua raia 40 nchini Mali

    Dunia hii amani tuitafute wapi haswa. Afrika bado tunauana kwa misingi ya dini za kuletwa. An Islamic State-linked group killed around 40 civilians this week in a northern region of Mali that has been plagued by clashes between rival jihadist groups, local sources told AFP on Friday. "There...
  17. JamiiForums Tanzania Orodha Rasmi ya watu wanaopitia Maisha magumu nchini Tanzania

    Wakuu Kwema! Ifuatavyo ni orodha Rasmi ya Watu wanaopitia Maisha Magumu katika nchi yetu ya Tanzania. 1. Single Mother. Moja ya kundi linalopitia maisha magumu hapa nchini Tanzania ni Dada zetu waliopata watoto kabla ya kuolewa. Ugumu wa maisha yao unatokana na mtazamo wa jamii dhidi Yao, pia...
  18. JamiiForums Tanzania Picha za Satelite zaonesha harakati za kijeshi nchini Urusi

    Picha za hivi karibuni zilizotolewa na kampuni ya ujasusi ya teknolojia ya anga ya Marekani Maxar zinaonyesha kwamba shuguli za kijeshi za jeshi la urusi zimeendelea kuwepo karibu na mipaka yake na Ukraine, licha ya madai ya hivi karibuni ya Urusi ya kuondoa vikosi vyake kwenye mipaka hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Kufufuka kwa wafu - Ni maajabu yanayoendelea kwa kasi nchini huku wanahabari/jamii wakizipa nafasi ndogo kama habari zinazohitaji uchunguzi wa kina

    Habari za watu kufa na kuzikwa na baadae kupatikana wakiwa hai ni za kushangaza mnooo. Yaani mtu amekufa kwa kuugua au ajali au ghafla tuu, hospitalini wanahakikisha amekufa na wanatoa cheti cha kifo na mwili mnakadhiwa, mnaenda kuzika na viongozi wa serikali za mtaa, viongozi wa dini na...
  20. JamiiForums Tanzania TFF ndiyo wanamiliki soka hapa nchini?

    Nimesikia TFF wamemfungia Shafii Dauda kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa miaka mitano. Imekuwa ikifungia watu wengi sana. Naomba kujua kama TFF wana monopoly ya soka nchi, yaani kama TANESCO walivyo na monopoly kwenye kuzalisha na kuuza umeme? Kwamba ukitaka kufanya shughuli zozote za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…