nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa naye atupia lake neno kuhusu kauli ya Dr. Nchimbi ya kuwataka Watanzania wapambane wapate Katiba Mpya

    https://www.youtube.com/watch?v=_BjgSiVTCP0
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sasa nimemwelewa Dr. Nchimbi

    Siku ile aliyotoa hotuba Dr. Nchimbi kwamba Watanzania wapiganie Katiba mpya, sikumwelewa vizuri, lakini kwa sasa nadhani nimemwelewa kwa kwa asilimia kubwa. Mambo makuu matatu aliyoyasema ambayo yamenifanya nimwelewe ni kama vile:- 1. Mmemwalika mtu anayefanana fanana na kazi yenu(kutetea haki...
  3. JamiiForums Tanzania Hallelujah! Nchimbi Ameokoka, Bwana Asifiwe!!!?

    Na. M. M. Mwanakijiji Kuna vitu sitaki kuamini hata kama vinaonekana kuaminika kwa wengine. Yaani, leo hii Emmanuel Nchimbi amegeuka kuwa shujaa wa upinzani ati kwa vile ameonekana kutetea Katiba Mpya na haki za binadamu. Yaani, huyu Nchimbi amekuwa ni mtetezi wa demokrasia nchini. Kwamba...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Nchimbi anasikilizwa kuliko Mama Rojo

    Nchimbi amekataa kubaki bench badala yake kaingia uwanjani na mchezaji ambaye sio mzuri Mama rojo sasa kamaki anatembea tu uwanjani lakini hawezi tena kucheza. Anategemea marefa tu ambao ni jeshi na polisi. Mama rojo hata mwaka mmoja bado yuko chali
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nafungua Masikio Kumsikiliza Emmanuel Nchimbi, na Wengine Wooote wa Aina Hiyo Waliopo Huko

    "Ndugu" Emanuel Nchimbi kwa sasa hivi namchukulia kuwa ni mfungwa kama tulivyo wengine wote, waTanzania tusiofurahishwa na mwenendo na mwelekeo wa taifa letu ulivyo kwa sasa. Sina shaka yoyote, kwamba wapo wengine wengi huko huko aliko Nchoimbi ambao hawajapata ujasiri wa kusema, kama...
  6. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Majibu yangu kwa Dkt. Emmanuel Nchimbi baada ya kunitaja katika hotuba yake akiongea na Asasi za Kiraia za Haki za Binadamu

    Kwako Dr Emmanuel Nchimbi; Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema nchimbie lakini sasa acha nikujibu: Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu hukasirika ile mbaya - so...
  7. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Watanzania tumshukuru Dkt. Nchimbi, 'ametusanua'

    Mchungaji Peter Msigwa, aliyedai kwamba hotuba ya Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi imewaamsha Watanzania kuwa licha ya kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia ilani yake ya uchaguzi 2025/30 imeweka suala la upatikanaji wa Katiba Mpya kuwa miongoni mwa mambo yake ya msingi katika...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Emmanuel Nchimbi ndie pekee mwanasiasa mzoefu kitaifa na kimataifa anayeaminika na kukubalika pasina chembe ya shaka ndani na nje ya CCM

    Hali hiyo inampa Dr.Emmanuel John Nchimbi turufu ya kipekee sana kwamba ndie kiongozi pekee wa kisiasa nchini anae enjoy suport ya uhakika na ya kutosha ndani ya ccm, lakini suporti ya uhakika na ya kutosha miongoni mwa vyama vya siasa vya upinzani Tanzania. Zaidi sana Dkt. Emmanuel J. Nchimbi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Heche juu ya hotuba ya Nchimbi juu ya Katiba mpya

    Msikilize HECHE akidadavua moja wapo ya kauli ya Nchimbi kuhusu Katiba mpya
  10. JamiiForums Tanzania Kuhusu Kauli ya Dr. Nchimbi (VP): Ni aidha Kuna mgogoro ndani ya serikali na CCM au mbinu ya CCM ya "jifanye uko nao, then strike hard"

    Hebu jaribu kidogo kufikiri hili; KWAMBA; Ana Rais yuko madarakani na yeye ni Makamu wake, yaani kiongozi mkuu wa serikali Na. 2... Na, chama chao ndicho kiko madarakani, kinaongoza serikali.... Na siku si nyingi amekuwa Katibu Mkuu na kada mbobezi wa chama chao karibu maisha yake yote hata...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Nchimbi umetumwa kutuuza, Oktoba 29 tulipambana mkatupiga risasi ukatutelekeza

    Umetumwa kutuuza, unasema tutoke tupambanie Katiba ili tufe wakati Katiba unayo kabatini na 'ufunguo unao'. Unataka Wanaharakati warudi ili uwauze wakamatwe unataka kuwauza vijana wafe halafu ukae kimya kama ulivyofanya oktoba 29, ili upate ulichoahidiwa. Kuna sehemu nilisoma kuwa wewe eti ni...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa Ufupi NCHIMBI ,anawaambia Watanzania ,Komaeni tu hapohapo shikilieni, ACHANENI NA MARIDHIANO, NYIE KOMAENI TU

    CCM na Genge lao Wana ujinga wanauita "MARIDHIANO" . Huuuu ujinga, ndio ambao NCHIMBI, anaupiga Vita . Anawaambia Watanzania, 'Msiingie kwenye huo mtego'
  13. JamiiForums Tanzania Kauli ya NCHIMBI, "Rais yuko tayari KATIBA Mpya" alimaanisha, Matukio ya Utekaji,Mauaji Oktoba 29 , LISSU, ni Maji ya Shingo kwa Samia !!

    Wakuu nawaambia Jambo Moja kabisa la UHAKIKA bila mbambamba. SAMIA na Genge lake, wajifarague vipi, waruke, wake, wasimame ,wakimbie, wapae, yaan Hizo zote ni mbwembweeena HAZIWASAIDIII KITU CHOCHOTE. Ukweli ni kua, Mbinyo wa KIMATAIFA Uliopo kwa Samia ,ambao nayeye anaujua na Washirika...
  14. JamiiForums Tanzania Nchimbi: anatuona sisi ni majuha au hamnazo? Chonde chonde Wapigania haki msitegwe na hadaa zake. CCM haina nia njema

    Asitutoe kwenye reli, uwajibikaji wa matukio ya utekaji, utesaji, ulawiti, mauaji na kesi za kubumba ulioanzishwa na kuendelezwa hadi leo na vyombo vya dola ni CCM yeye akiwemo Mauaji ya kimbari ya Oktoba 29 2026, wahusika wakuu ni vyombo vya ulinzi na usalama na CCM yeye (Nchimbi) akiwemo Kesi...
  15. JamiiForums Tanzania Hakuna wa Kumfanya lolote Mh Nchimbi ndani ya CCM , kidogo akina Mwaipopo,wahuni wengineo ndo watatumwa kumshabulia. KATOLIKI MLINDE UHAI WA NCHIMBI

    KATOLIKI niliwahi waambia, Kosa mlofanya mkapelekea MAGUFULI kuondolewa, lisijirudie . Magufuli hata kama alikosea, ila hakuligusa KANISA Wala RASIMALI ZA NCHI. Licha ya makosa yake Madogo, Bado alibaki kua MKATOLIKI. Sasa mnaye NCHIMBI, huyu ni CCM kama alivyokua MAGUFULI, hakikisheni...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Alichomaanisha Dr. Nchimbi aliposema Watanzania tupambanie katiba mpya - ni kweli ni jambo la msingi sana na mpambano mkubwa unaokuja!

    Wengi wetu hatukumuelewa Dr. Nchimbi pale aliposema Watanzania tupambane ili kupata Katiba mpya, na hadi tukaanza kuuliza, tupambane dhidi ya nani basi, Samia? CCM? Polisi? Kuna watu hata walianza kusema mnaona, Dr. Nchimbi kaanza tena kwenda kinyume na Samia na CCM! Na ieleweke wazi mpambano...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Je kiitendo cha Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wajipambanie wenyewe katiba mpya wakati yeye ndiye alipaswa kuweka mchakato huo ni U-Yuda?

    Nafikiri kitendo cha Makamu wa rais Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wapambanie katiba mpya wakati yeye ndiye aliyepo kwenye nafasi ya kuwezesha mchakato huo lakini hata hivyo hajafanya hayo ni saliti mkubwa kwa Watanzania.
  18. JamiiForums Tanzania Fresh air, Nchimbi kaleta dhamira mpya ya CCM baada ya kubanwa na mabeberu?

    Sina zaidi la kueleza maana mada za Nchimbi jukwaani ni nyingi. Je, kibano cha mabeberu kinafanya kazi yake na watu wanfikiri sawasawa sasa? At any rate , hata Mwalimu mwaka 1977 aliwahi kusema TUJUSAHIHISHE, kama msimamo wa TANU/CCM.
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamekataa maigizo ya Nchimbi, hiki ni kiwewe cha siku 30 za Commonwealth.

    Kumbukeni CW wametoa deadline hadi tarehe 10/8 suala la Lissu liwe limetatuliwa na masuala mengine ya kisiasa yawe yamepatiwa ufumbuzi. Watoke vipi. Mbinu rahisi waliyoona inafaa ni kuwapumbaza Watanzania kujifanya hawaelewani wao kwa wao, wengine wanawaita Wanaharakati magaidi mwingine...
  20. JamiiForums Tanzania Nchimbi acharuka, atoa mbivu na mbichi juu ya Katiba.

    Hotuba aliyotoa Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi jana kwa vikundi vya wanaharakati na viongozi wengine ni nyundo. Nyundo hii ni eye opener. Nchimbinkatema che che ambazo hata wana CCM wanagwaya. Lakini all in all kasema ukweli mtupu bila ule unafiki wa akina Wasira ambso tumeuzoea. Kwa upande...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…