nchi

  1. Wachezaji na wasanii toka DRC rudini nyumbani mkaikomboe nchi yenu

    Yaani jamaa wako stejini wananengua,wengine wako viwanjani wanacheza tu mpira,hizo nguvu mgezitumia vitani M23 wangeshasalimu amri Mwaka 1978 nilijitoleakumfurusha iddi amini kule uganda nikiwa na miaka 18 tu,nilijitolea kamamgambo tukapewa mafunzo ya ukuruta mimi na wenzangu. Huko Ukraini pia...
  2. Prophet Denis Tanzania: Tundu Lissu amebeba ajenda ya Mungu ndani yake. Asipopewa nafasi, hasara sio yake bali ni ya taifa na nchi...!!

    https://youtu.be/Isx1OohuSwE?si=h2rmCO7VUQwe_PWb ➡️Huu ni unabii mwingine kumhusu Tundu Lissu kutoka kwa nabii aitwaye "Prophet Denis wa Tanzania...." ➡️ Nimemsikiliza na kumtazama hadi mwisho ktk video clip hiyo. Nimemwelewa na kumuamini kwa kiasi kikubwa.. ➡️Anasema kuwa, Mungu ameweka...
  3. M

    Miaka kumi from 2015 - 2025 ni Golden age ya CCM, Mendeleo waliyoyafanya ni CV ya kuwapa ushindi kwenye nchi yoyote East na central Africa

    Ukweli kwa miaka kumi hii ambayo nusu imeongozwa na Magufuli na Nusu imeongozwa na mama Samia. CCM wamefanya mambo makubwa mengi sana yanayoonekana kwa macho, bila mizengwe yanawapa uwezo wa kupata ushindi hata wangekuwa wanagombea urais Kenya, Zambia, Msumbiji, Congo, Rwanda, Uganda etc...
  4. Wachina wengi wanaamini nchi yao ni ya kidemokrasia, Wamarekani wengi zaidi wanaamini nchi yao(US) sio demokrasia!

  5. Kagame aondoe majeshi yake Congo. Akigoma tuwaondoe kwa nguvu zote

    Leo na kesho naambiwa kuna mkutano WA Maraisi wa Congo na Rwanda na SADC na EAC Huyu Bwana akikanyaga Tanzania mwambien tunalaan yote yanayoendelea congo na WANAJESHI wake WA M23 Na Wala msipotexe mda mwambien aondoe wale wahuni MAGAIDI WA M23 Soma: Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa...
  6. T

    Baadhi ya magereza tofauti katika baadhi ya nchi

    🤔🤔
  7. Ni lini tutataka nchi zilizotutawala, dini zilizotudanganya, kutuibia na kutuharibu zitulipe fidia kwa uharibufu na hasara vilivyotusababishia?

    Kwa wataalamu wa historia, sayansi ya jamii, na uchumi, umaskini na kubakia nyuma kwa Afrika ni matokeo ya ukoloni uwe wa kisiasa au kiimani au kiutamaduni kama siyo kijamii. Kupitia jinai hii, nchi za magharibi na za mashariki ya kati ziliingiza dini na kutuibia mali nyingi huku zikiharibu na...
  8. Afghanistan ni nchi moja safi sana kibinadamu kama mgeni japo vyombo vya habari kutangaza vibaya

    Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo ni fursa. Katika kitu ambacho unatakiwa kuelewa walipotokea na ukarimu wa afghanistan ni kwamba...
  9. P

    Waliomchomoa Ndugai kwenye Usipika wa bunge, wamuombe radhi, alionya nchi kuendeshwa kwa mikopo..!

    Kina Ndugai walikuwa wakiona mbaali sana, walikuwa wakiziona hizi nyakati, walionya wakapuuzwa na viongozi wa ccm, leo kiko wapi Nchi kujitegemea ndio mpango mzima ingawa mwanzo una maumivu yake lakini ndiyo heshima yenyewe Kina JPM (RIP) walikuwa na jicho kali sana, walijua kuwa, kuna siku...
  10. Kuna Uhusiano wa Wizi wa Raslimali za Nchi Yetu na Wanasiasa wa Chama cha Democratic cha Marekani?

    Nakili sina ujuzi wa mada za uchunguzi ila kwa kutumia tu "common sense" ambayo kila mtu anazaliwa nayo na kwa msaada wenu "great thinker" hebu tuunganishe dots hapa(huu ni Uzi shirikishi) ili kuwabaini Wanasiasa hapa nchini ambao wapo karibu sana na wana urafiki na wenzako wa chama cha...
  11. S

    Nchi za Ulaya nazo ziungane na Marekani kukata misaada. Ajira zikikosekana, ndio watanzania wataelewa kwanini CCM inafaa kuondolewa madarakani

    Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana. Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
  12. Tanzania imeshika nafasi ya 13 nchi zisizo na furaha duniani

  13. T

    Bunge la Afrika Kusini, lamhoji waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi kilichowapeleka wanajeshi wa nchi hiyo DRC

    "IT IS NOT A PEACEKEEPING MISSION, IT IS AN OFFENSIVE MISSION". Wabunge wa Afrika Kusini walipokuwa wakiongea na waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi la South Afrika, wameonekana kutofurahia kitendo cha badhi ya watu kuamuwa wenyewe kupeleka wanajeshi nchini DRC, kwa kisingizio cha kulinda amani...
  14. N

    Rais Samia ni lazima Jenista Mhagama awe waziri wa Afya?, Unataka aaibishe nchi mpaka lini?

    Mapenzi haya ya Samia kwa Jenista ni sawa na uwehu, huyu waziri wa Afya wa sasa Jenista Mahagama ni kilaza kiasi kwamba hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi kusoma. Km anampenda sana kwanini asimpatie kazi itakayomfanya asionekana mbele ya hadhara? Nia ya Samia ni kuiaibisha nchi yetu? Miaka...
  15. Tazama hizi video 3 ili ukiri kuwa bado wazee kama Wasira wanahitajika kwenye uongozi wa nchi yetu.

    Sio upinzani wala tawala, vijana bado. Kijana kama Yericko na huyu Assenga wanakatisha tamaa mno. Dunia inaenda mbele ila wao bado akili ziko enzi za mawe. Video ya 3 ni vijana wapuuzi wa UVCCM wakicheza kwenye maji machafu. https://www.instagram.com/reel/DFc4a3wSWhI/?igsh=OHVibDR6bDViYmU3...
  16. Huyu lady soloist ni nani na anatokea nchi gani?

    Msikiliziseni na kumtazama msimsumbue
  17. Pendekezo: Tanzania tuwe na miji mikuu miwili ya nchi, Dodoma na Dar es Salaam

    Kwa sababu Dar es Salaam bado ni mji muhimu sana katika utawala wa nchi kutokana na uwepo wa miondombinu ya kutosha na kuwa mji mkubwa wa kibiashara na pia kwa sababu kwa upande mwingine Dodoma ni mji muhimu sana kwa sababu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere alishaamua na kuelekeza uwe ndio mji mkuu wa...
  18. TLS wao kila siku ni kulia na kuomba misaada kwa Rais, Law Bar za nchi nyingine hazina huu ujinga

    Ukifuatilia hata Law Bar Associations ya Rwanda tu utagundua huwezi wakuta wanaenda kulia lia kwa Kagame mara wapewe Gari mara Kagame awwpunguziwe Kodi, nenda Law Bar ya Uganda huwezi kuta huu ujinga wa kwenda kuomba msaada kwa Mseveni. Njoo sasa kwa Law bar association ya Kenya, ile ndio...
  19. Tatizo la hii nchi ni ubinafsi

    Watu wachache wanataka wachukue mali yote ya nchi. Wanataka wachukue kila kitu: dhahabu,almasi. In fact,almasi hatuisikii kabisa. Inanikumbusha zamani nilipokuwa shule ya msingi boarding school. Nikaenda nyumbani weekend nikarudi na keki. Nimekaa dormitory nakula keki na rafiki yangu yupo...
  20. Siasa za misaada ya Wahisani na Madeni, Je, Nchi Zinazoendelea Zinaweza Kufikia Uhuru wa Kiuchumi?

    👉🏾Nchi zinazoendelea zimekuwa zikitegemea misaada ya wahisani ili kugharamia maendeleo katika sekta mbalimbali, lakini misaada hii mara nyingi inakuja na mzigo wa madeni. Madeni haya yanaweza kudhoofisha uchumi na kuzuia maendeleo ya kudumu, huku mataifa haya yakikosa uhuru wa kiuchumi. source...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…