nchi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Masettler wa Kiyahudi waendelea na njama zao za kuwafukuza Wakiristo katika nchi takatifu

    Masettler wa Kiyahudi huko West bank wameendelea na harrassment yao kwa Wakiristo waishio huko. Lengo ni kuwafrustrate Wakiristo hao ili waondoke katika ardhi hizo. Mashambulizi ya Masettler wa Kiyahudi hivi karibuni ni kushambulia kanisa kongwe la St George lililojengwa maeneo hayo toka karne...
  2. JamiiForums Tanzania Kuanzia Tarehe 1-7 Agosti, NCHI itasimama! Chawa Watashangazwa. Kwa Sasa MIOYO yao imefanywa kuwa Migumu ili washangazwe

    Wakuu Kwa Ufupi naendelea kurudia kile kile nilichokisema Jana !! Hamna Uchaguzi Oktoba 2025. LISSU anaachiwa. Reforms zitafanyika. Ili haya yote yatimie, Kuanzia tarehe 1-7 ya mwezi ya Nane Kuna matukio yanaenda Kuwashangaza Machawa kwelikweli !! Oyaa Machawa wa Mama, Narudia, Mwisho wenu...
  3. JamiiForums Tanzania NCHI ZA MAZIWA MAKUU: Hapakuwa na meli kubwa inayoweza kubeba watu 1,200 Tani 400 za mizigo, Magari 23 kwa pamoja kabla ya Rais Samia kutoa TZS121bn

    Rais Samia atumia TZS120.56 kujenga Meli ya MV Mwanza itakayobeba Tani 400, magari 20 na Malori 3 pamoja na abiria 1,200 kwa wakati mmoja. Kwa msiofahamu, MV Mwanza ni mradi wa kimkakati wa kitaifa unaoonyesha dhamira ya Rais Samia katika kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Heche adai kua Mwanza ingekua kama Shenzhen Kama nchi ingekua na viongozi wenye maono!

    JE UNAONA NI KWELI?? Maendelel makubwa na kitovu cha utalii
  5. JamiiForums Tanzania Ushindani wa matajiri wakubwa wazawa Tz uwezi kuwapeleka nchi zenye ushindani na bidhaa zao.

    Nilifika dubai kuingia super market kuna friji zimepangana za vinywaji baridi yani kukuta mpaka coca cola inayofanana na maji ya kunywa hipo. Sasa hawa wa kwetu nikafikiria yani friji zilizopangana kama behewa na kila aina ya kampuni wanaweza kupeleka bidhaa zao kushindana ukiachana na mazao.
  6. JamiiForums Tanzania CCM chini ya Mwenyekiti wetu Dr. Samia Suluhu Hassan imekuwa maarufu kama Marekani Dunia yote inaiongelea Marekan hii ndo siasa Sasa.

    Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...
  7. JamiiForums Tanzania CCM wameshindwa kufanya mabadiliko ya katiba ya nchi, Wameamua kubadili katiba ya chama ili kumbeba mgombea aliyepitiahwa kwa njia HARAMU.

    Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
  8. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Ni ngumu kujenga Demokrasia kwenye nchi masikini

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila anasema, Akirejelea Utafiti unaosema kwenye nchi ambazo watu wake wanakipato chini ya DOLA 1,000 Kwa mwaka zinaweza kuishi kidemokrasia si zaidi ya Miaka 10 tu na baadae kuangukia kwenye Tawala nyingine zisizo za...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri wa vijana kwa nchi yao

    Mimi kama kijana mzalendo wa nchi yangu tanzania ningependelea mawazo tofauti tofauti kuishauri selikali yetu Mfano Ungekuwa rais wa tanzania ungeifanyia nini nchi kuiepusha kwenye kundi la nchi za africa 🌍 zisizo jitambua.????¿?? Kwa mimi binafsi ..Rushwa ni kunyongwa hadi kufa ..kilimo...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi huyu ni hatari kwa mustakabali wa chama na Taifa!

    a. Aliingia kupitia mtandao b. Akamtema namba mbili wake katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi c. Uchaguzi uliofuata akatumia familia kufanya kampeni nje ya mfumo wa chama. d. Alitumia muda mwingi nje ya nchi e. Akamuaandaa shemeji yake kuwa kumrithi wa nafasi yake. Alimanusra chama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa chama umevunjwa, Je, itakuwaje kwa utaratibu wa Nchi?

    Ikiwa anaweza kuvunja utaratibu wa chama chake mchana kweupe na wanachama wake wengi wakakaa kimya, Je, ataweza kuheshimu na kufuata utaratibu wa Nchi?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo Polepole kujali uchama kuliko nchi🤦🏾‍♂️

    Polepole anabaki kujaribu kumuiga Nyerere muonekano na sauti lakini ukweli ni kwamba hoja zake za utaratibu wa ndani ya chama hazina manufaa yeyote kwa taifa. Polepole haongelei katiba mpya, utekaji, rushwa, uzembe, uzaji wa bandari na mikataba mibaya badala yake kuongelea taratibu za tamaduni...
  13. JamiiForums Tanzania Nawaza kwa sauti!: TISS nayo imewahi kutumia mabalozi kama mawakala wao wa kiupelelezi?

    Tanzania kama ilivyo Marekani na CIA (Central Intelligence Agency) , kuna TISS idara ya kijasusi na upelelezi zinazotekeleza majukumu sawa kwa maslahi ya usalama wa taifa. Inaweza vipi kufanana na Idara maarufu za kijasusi duniani kama CIA? Hii ndiyo idara ya kijasusi ya serikali inayohusika...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi Tumekuwa Spectators Katika Nchi Yetu – Hii Ni Dhihaka Kubwa Kwa Demokrasia Yetu!

    Kweli tumefika pabaya! Tumepunguzwa hadhi mpaka kura yetu imegeuzwa kuwa kama ritual tu ya kufurahisha watawala, bila thamani ya kweli. Wananchi tumeonekana wajinga, tumetupwa pembeni kana kwamba hatuna akili za kupambanua nani anafaa kutuongoza. Hivi kwanini kura yangu – kura yako – iwe treated...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupiga simu nje ya nchi

    Wataalamu, naomba kufahamishwa namna ya kupiga simu nje ya nchi kwa bei nafuu kwa contacts ambazo haziko linked na call apps au sociaL media apps(whatsapps, line, viber..). MItandao ya simu ina vifurushi vya kimataifa ambavyo ni bei ghali, haviendani na uhalisia, na vina mawasiliano ya nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katika ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda

    Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katiba ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda. Nilimsikia samia anasema katiba ni kajitabu tu baada ya kupata madaraka kupitia katiba hiyo hiyo. Ni wazi katiba haina maana tena hapana tunaitaji mabadiliko. Tunahitaji...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran Masoud Pezeshkian asema kuwa jeshi la nchi yake limejiandaa kikamilifu kuipiga Israel

    We are ready to strike Israel again,' Iran’s president warns 1 hour ago Updated 8:53 AM Share A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July 2025) A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Breaking Wairan wailaani Serikali ya Ayatollah na kuifananisha nchi yao na gereza kubwa ambalo ndani yake hakuna umeme wala maji.

    VOICES FROM IRAN 'A big prison with no water or power', fed up Iranians speak out 2 hours ago Share Iranians are speaking out with increasing urgency over chronic water and electricity outages that upend daily life and fuel fury at the government. With temperatures topping 40°C in Tehran and...
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania, Kirusi kinachoitafuna kikiondolewa nchi itapona

    Kirusi hicho ni EX CEO. Kikiondolewa hiki kirusi Tanganyika itapona na itapata ahueni. Hata mubadilishe Ma CEO mara elfu moja kama bado hiki kirusi kitakuba bado SCANNED ni bure.
  20. JamiiForums Tanzania Ni nani alikaua kale kapambio ka "Chama chetu cha Mapinduzi chajenga nchi"?

    Enzi hizo tulijirusha na hako kapambio hata tukiwa bar tunakunywa bia na kusakata dance... Ila kalipotea ghafla sijui ni nani aliyekaua.. Nauliza sasa ni nani aliyekaua hako kawimbo ka Nyerere aah Nyerere ajenga nchi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…