nchi

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hata Capt. Traole awali alipingwa sana na wahuni wanaoitafuna nchi lakini Mungu almsaidia: Hivyo Msiwashangae hawa

    Mnamo mwaka 2022 jina la kapteni Traore liliibuka huko Nchini Bukina faso baada ya utawala goigoi wa rais DAMIBA Malalamiko ya wananchi kushambuliwa yalikuwa makubwa sana jambo lililoibua taharuki kubwa sana wakati huo! Vijiji na miji mbali mbali ilishambuliwa pasipo serikali ya Damiba...
  2. JamiiForums Tanzania Taasisi zinazopaswa kufutwa siku nchi itapata demokrasia

    Hizi taasisi japo hazina nguvu kali za kidola zimehusika sana kuvuruga mchakato wa mabadiliko, kufifisha na kurudisha nyuma hata jitihada kidogo za kutetea raia, siku moja kama tutafanikiwa kupata demokrasia ya kweli zinapaswa kufutwa kabisa. 1. Jukwaa la Wahariri(TEF) 2. BASATA 3. Chama cha...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauli wangu baada ya brother Philip kuchukua nchi

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU 1, afute uchaguzi 2, amwachie tundulisu haraka sana na wafungwa wote wa kisiasa 3, katika mpya 4, asifukue makuburi aanze upya kwa upendo mpya , sisi tumesamehe yote 5, ahakikishe watanzania wote wenye asili za nje wanakuwa raia rasimi 1...
  4. JamiiForums Tanzania Mwekezaji Kijana akiwa ana enjoy na maisha yake baada ya kuonana na wakuu wetu wa nchi

  5. JamiiForums Tanzania Duniani kote, hakuna Rais aliyewahi kuongoza salama Jeshi lililogawanyika. Na Jeshi ni askari wa chini wenye uchungu na nchi yao na Wananchi

    Kwa wana CCM wote Kwa machawa wote Kwa Bi Samia na familia yake Ujumbe kwenu leo ni huu. Na Jeshi ni askari wa vyeo vya chini. Askari wanaojua na kuelewa vizuri maana ya Kiapo cha Kuwalinda Wananchi na kulifia Taifa.
  6. JamiiForums Tanzania Habari njema ni kuwa JWTZ ndio Taasisi pekee ilobakia yenye Kibali Cha Wananchi Nchi nzima na inayoungwa Mkono na Ulaya, Marekan na Nchi Wahisani.

    Lolote lile litakalifanyoka na Vijana wa JWTZ wanaokerwa na Utekaji, Uuaji, Ufungwaji wa Makanisa, Majaribio ya Kuua Viongozi wa Dini ya Ukristo, kubagaWa Kwa Rasimali za Nchi n.k ,lolote lile liyakalifanywa na Wazalendo Hawa. NCHI NZIMA ITAWAWAFANYIA SHEREHE, JUMUIYA ZA KIMATAIFA...
  7. JamiiForums Tanzania Edward Snowden sio mjinga kufahamu ujasusi mnajua taarifa za CCM zipo nchi zote wanaweza kutumia kuwa tumia wanavyotaka

    Wale majajusi uchwara waliokamatwa kwenda USA wasijidanganye CCM serikali na idara kujiona wamefika level za kuwa wayahudi. JF naomba sitaki kujaza mengine kama wanatumia VPN wakushitaki uwezo wao.
  8. JamiiForums Tanzania Faida na hasara nchi ikiongozwa na jeshi

    Kulingana na muelekeo wa nchi ulivyokuwa , kuna idadi kubwa ya wananchi wanatamani nchi iongozwe na jeshi. Lakini swali la msingi kuna faida zipi na hasara ipi nchi ikiwa inaongozwa na jeshi? Maana hawa ndugu zetu wanajeshi tunajua ni watu wa amri tu mwanzo mwisho. Wasije tu na wazo vijana...
  9. JamiiForums Tanzania Mnaotaka na kulilia jeshi lichukue nchi hamjitambui

    Nilikaa mbali na mijadala ya kisiasa kwa muda ila nimelazimika kulisema hili. Huu uzi nilikusudia kuuleta kitambo sana ila nikawa napotezea au kuahirisha kuuleta. Kuna watu kutokana na sababu wanazojua wao wamekuwa wanatoa kauli za kutaka JWTZ lichukue uongozi wa nchi. Kuna wakati hadi nahisi...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Itutu: Mafisadi jiandaeni kukimbia nchi tukiingia madarakani

    Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesisitiza kuwa endapo kitapata ridhaa ya kuingia madarakani, kipaumbele chake kitakuwa kuwawajibisha wote walioiba mali za umma. Kauli hiyo imetolewa Oktoba 3, 2024 katika Wilaya ya Ilemela, wakati wa mwendelezo wa kampeni za mtaa kwa mtaa...
  11. JamiiForums Tanzania Uingereza yaongoza kwa nchi zinazoongoza kwa kukamata watu kwa kutoa comments mbaya mtandaoni

    Wakuu, Nimeshangaa sana kukutana na list hii. Kwa hiyo Uingereza kwa siku moja approximately wanakamata watu 30 kutokana na comments wanazotoa mitandaoni. Inakuwaje kuwaje, Russia na China wanakamata watu wachache kuliko Uingereza wakati UK ndo inajulikana kwa kutangaza zaidi "demokrasia na...
  12. JamiiForums Tanzania Hii Nchi hii asee kwahiyo Yeriko Nyerere naye ni jasusi?

    Akipata kura hata 3 tu basi hii Nchi Ina wajinga wengi kama uyoga. Au Ili uwe jasusi ni lazima uwe na vigezo Gani?
  13. 4

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unaenda vipi kwenye Uchaguzi nchi ikiwa katika alert kubwa namna hii?

    Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia. Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo Ikulu kisa madaraka tu ambayo huwezi zikwa nayo, baki nayo milele. Leo wenda vijana wetu katika...
  14. JamiiForums Tanzania Yani nchi ilikuwa hata wanaCCM wenyewe wakitekwa ndugu au rafiki zao wanaogopa kukemea na watu waalikuwa wanaona sawa tu??

    Hili nililiona kwa yule Chonchori nikashangazwa zaidi mpaka wenyewe wanaogopa hili genge alafu wanataka kutuaminisha hiyo ni amani mko sawa nyie??? Mzee haki yako pia itapiganiwa na sisi raia, kitu ambacho haikutegemea ila ndiyo maisha yalivyo hao uliohisi ni ndugu na watasimama na wewe kila...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Duniani kote wenye Mamlaka ya mwisho juu ya Nchi yao huwa wananchi

    Mamlaka ya mwisho kabisa iko kwa wananchi siku wananchi wa Tanzania wakijitambua dharau za Viongozi zitaisha viongozi wamejaa dharau sana kudharau wananchi kuwaona kama takataka. Hiyo inatokana na wananchi kutojua kwamba wao ndo wenye mamlaka ya mwisho ya kuweza kuondoa yale yanayowaumiza...
  16. JamiiForums Tanzania Ni nchi gani nyingine kubwa imewahi kutawaliwa na nchi ndogo hapa Afrika?

    Ukiacha li nchi hili tunalolijua ambalo lina watu milioni sabini lakini linatawaliwa na kanchi kenye watu milioni 2 nanusu! Nchi hilo ambalo limejaa wajinga wengi, yani tofauti ya msomi na asiesoma tofauti yao ni makaratasi tu. Kubwa jinga ambalo kwake gharama za matibabu na nishati ni ghali...
  17. JamiiForums Tanzania TISS imefikia huku. Wanapiga picha wakiwa kwenye msafara na kujipost. Kweli Nchi imejifia hii

    Huko Instagram nimekutana na hiki kituko. TISS ya sasa wamefikia kujipiga picha wakisafirisha consignments na kujipost. Kweli Nchi imeshajifia hii
  18. JamiiForums Tanzania Waislamu waziba barabara Canada wakishinikiza Palestina iachwe huru, watu wahoji kwanini wasiende kuandamana huko uarabuni

    Nchi nyingi za Magharibi kwa miaka mingi zimekuwa zikikariwa na jamii ya watu wa Dini ya kikristo, Nazungumzia Amerika Kaskazini, Amerika Kusini na Ulaya. Lakini hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la waarabu kutoka Mashariki ya Kati na Waafrika ambao upeleka tamaduni zao katika nchi hizo na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania 'Abdul wa Mama' iko siku atakimbia nchi!

    Maisha ni mabadiliko kwasasa watapiga kila deal za pesa Lakini hawa viongozi wajue iko siku wataondoka na watoto wao watatiwa hatiani i Huyu dogo ataishia kukimbia Dubai au Oman. Tutaonantu
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini manabii wasiombee nchi yetu iwe tajiri?

    Mengine yoooote wanaombea nchi hii ifanikiwe kama vile eti wanaombea amani,uchaguzi,nk. Kwanini wasiombee nchi au wananchi wote wawe matajiri??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…