nchi

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Madhara ya nchi itakapowekewa vikwazo na Marekani

    Nchi inapowekewa vikwazo na Marekani hukabiliwa na uhaba mkubwa wa fedha za kigeni, kuporomoka kwa sarafu yake, na uhaba wa bidhaa muhimu kama dawa na vyakula. Kisiasa, nchi hiyo hutengwa kimataifa, hupoteza ushawishi kwenye diplomasia, na huingia katika hatari ya machafuko ya ndani kutokana na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Soko la Maua la Dounan ni pepo ya duniani inayovutia wageni kutoka nchi mbalimbali

    Soko la Maua la Dounan, lililoko Wilaya ya Chenggong, mji wa Kunming, Mkoa wa Yunnan, ni soko kubwa zaidi la biashara ya maua barani Asia. Soko hili lenye shughuli nyingi huvutia wageni kutoka nchi mbalimbali kutokana na aina zake nyingi na za kustaajabisha za maua. Wakati huohuo soko hili...
  3. JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba: Ninaomba Serikali ichukue hatua ngumu kukomesha hii 'narrative' ya utekaji. Tutaharibu Nchi yetu nzuri bila sababu za msingi!

    Watanzania ni watu wanaopenda amani na hawajazoea kuishi kwa hofu. Niwapongeze Polisi kwa kujibu haraka kwamba wanachunguza tukio la 'kutekwa' Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ndugu Djumbe. Nitoe pole kwake na kwa familia yake! Kuna maadui zetu wanaweza kutumia mwanya wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nini tusifute Vyama vya vya Upinzani haiwezekani Wapinzani wanaishi Kama Wakimbizi kwenye Nchi Yao

    Kuna mambo ukijiuliza unabaki na uzuni. Siasa za vyama upinzani afrika tumeshindwa kuwa wastarabu ni bora vyama vya upinzani vifutwe ?Hii inaonyesha afrika hatuna huwezo wa kuvumilia mawazo mbandala ! Tukajenga nchi zetu? Ni jambo la kusikitisha sana. Vyama vya ukombozi vya afrika baada ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video: Polisi Uganda wamekamata gauni la kifahari aliyekuwa spika wa nchi hiyo kufuaia tuhuma za rushwa zinazomkabili

    Police in Uganda have arrested a dress belonging to Parliament Speaker Anita Among. The designer outfit, which she wore during President Museveni's recent swearing-in, was reportedly purchased for Ksh. 1.1 million. Among is facing corruption allegations.
  6. JamiiForums Tanzania Msaada, kufahamu utaratibu wa kuingiza viuatilifu kutoka nje ya nchi

    Habari ya wakati huu wakuu. Naomba kuuliza utaratibu wa kuingiza viuatilifu yaani madawa ya kilimo kutoka nje ya nchi. Ninataka kujua mamlaka na vibali vinavyohitajika kabla ya kuleta bidhaa hizo
  7. JamiiForums Tanzania Matatizo ya nchi hii hayatokani wala kusababishwa na CHADEMA bali CCM imekengeuka sio tena Chama cha wakulima na wafanyakazi

    CCM ikiongoza serikali wanaangaika na Chadema bila hata sababu za msingi. Swali la kujiuliza CCM bado inasimamia misingi ya uanzishwaji wake? CCM imezaliwa na TANU cha kushangaza chama cha wakulima na wafanyakazi ghafla kikawa chama cha wafanya biashara, Mafisadi ni ukweli usiopingika kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania Beside Tanzania, ni nchi gani Africa ungechagua kuweka makazi ya muda mrefu?

    Mimi ningechagua Botswana, Kuna demokrasia, kuna utulivu, hakuna mfumuko wa bei, lakini pia ni nchi inayoongoza kuwa na wadada wenye makebo makubwa.
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakimbizi wengi wa Kiislamu hawakimbilii kwenye nchi nyingine za Kiislamu?

    85% ya wakimbizi duniani ni waislamu ila hawakaribishwi na hawakimbilii ktk nchi 50 za kiislamu bali huenda katika mataifa wanayayo yaita ya makafir Dini ni illusion. Tuliundwa ili kutegemeana, ila hio dini inayokupasa kukufikisha kwa Mungu ndio hio tena inakutenganisha na wengine hapa duniani...
  10. JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Si wote Wanaokomenti mitandaoni wakionesha kuumia ni Wana-CHADEMA, wanapigania maslahi ya nchi

    Mchora Katuni mkongwe Masoud Kipanya kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision akielezea mtazamo wake kuhusu tabia ya watu wanaotoa maoni kupitia mitandao mbalimbali.
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgomo wa sekta ya usafiri Kenya watikisa nchi

    Completely barabara zote ziko deserted, hakuna gari kabisa. Gen Z naona wako kazini kumshughulikia yeyote mwenye gari atakayesaliti UMMA. Kwetu je? Midabwada Angalia K24 tv
  12. JamiiForums Tanzania Wavutiwa na siasa za nchi gani kana kwamba ungependa nchi yetu iwe kama wao ?

    Eti wadau tiririkeni hapa. Kwa malalamiko yetu ya kila siku dhidi ya ccm na siasa zetu, ungependa nchi yetu iwe na siasa kama za nchi gani duniani na kwa sababu zipi?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Tukijenga Utaratibu wa kuwa wakweli, Tukijenga utaratibu wa kutoa mawazo yetu kwa nia njema, tutajenga Nchi kwa kiwango kikubwa sana

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki mazishi ya Marehemu Boniface Makene, aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal, yaliyofanyika katika Kijiji cha Mabui...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania imara itajengwa na Vijana wenye Uzalendo na Mapenzi kwa nchi yao

    Umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini TAHLISO wameamuakupaza sauti na kusema #NeverAgain kwa machafuko na uharibifu. Kwa pamoja Tuipende, Tuitunze na Tuilinde nchi yetu.
  15. E

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mjadala wa Kitaifa Kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Nchi yetu

    Leo Mei 16, Chama cha ACT Wazalendo inafanya mjadala wa Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/yw9QUyBkdXE?si=_psmu3H58c7p20re...
  16. L

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Mjadala wa Kitaifa Kuhusu Mwelekeo na Khatima ya Nchi yetu

    Leo Mei 16, Chama cha ACT Wazalendo inafanya mjadala wa Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/yw9QUyBkdXE?is=Wg_4_djGZTsIrnyM
  17. R

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tanzania siyo nchi ya kuamuliwa na Wanaharakati

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, wakati wa mahojiano na Bongo FM Mei 15, 2026, amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayojiongoza kwa mujibu wa katiba, sheria na kanuni zake, na haitakubali kuendeshwa au...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Anayekwenda nje ya nchi na akaanza kukosoa wengi wao wamekuwa katika miradi au mipango ya watu wenye malengo hasi dhidi ya nchi

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 Mwandishi: "Kwenye hili swala la uhuru, wakosoaji wengi wamekuwa wakikosolea nje ya nchi huku kukiwa na taarifa za watu kutekwa na mambo...
  19. JamiiForums Tanzania Nchi yetu ni kubwa kuliko mwekezaji yeyote yule

    Nchi ni kubwa kuliko muwekezaji yeyote yule Dangote akiamua kujenga kiwanda chake Mombasa Tanzania tususie kiwanda chake hicho na sisi tutafute muwekezaji mwengine wa kujenga kiwanda pale Tanga Halafu pia tumfanyie figisu kwenye kiwanda chake cha Mtwara , haiwezakini akadharau maamuzi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Nchi yangu Tanzania haina tena THINK TANKS wa muelekeo wa kiuchumi, ni bora liende!

    Rais wa Awamu ya kwanza , Mwalimu Nyerere aliwaweka watu waliobpbea kiuchumi kuwa washauri wake. Mwalimu aliweza kubishana na IMF kwa kipindi kirefu kutokana na misimamo inayotokana na ushauri wa kitaalam toka kwa washauri wake wa kiuchumi. Mwalimu alishauriwa na magwiji kama Dr Mwaluko, Prof...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…